mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Pina sana sana ugomv wake slipway na koko beachDudu Baya na ubabe wake kwa jamaa alikuwa anakula kona
Alikuwa anategemea kundi tu lile
Ova
Pina sana sana ugomv wake slipway na koko beachDudu Baya na ubabe wake kwa jamaa alikuwa anakula kona
Tena mate chini.ngwea ananyota ya kupendwa tu ila hanalolote
Sijapita Slipway siku nyingi miaka Kibao, sijui pakoje? Bado unyama mwingi kama zamani?Pina sana sana ugomv wake slipway na koko beach
Alikuwa anategemea kundi tu lile
Ova
Siku hizi pale hakuna matamashaSijapita Slipway siku nyingi miaka Kibao, sijui pakoje? Bado unyama mwingi kama zamani?
Au matajiri wamejenga vitu vyao?
Huyu nampasua km mdogo wanguHii ndiyo ilikuwa picha yake wakati akifanya hayo matukio View attachment 3340405
Kwa sasa umri umesogea ameingia utu uzima kiasi.
niteme mate chini we ushatema mara ngapi? ngwear mburula tu prom inambebaTena mate chini.
Ngwear alikuwa anajua Sana.
Ali-flow na beat, lyrics kali zenye ubunifu kila kitu.
Jamaa ngoma zake zingine hadi kesho zikipigwa utazani za miaka hii tu.
😂 Jamaa huyu PINA inaonyesha mtu wa BANGE Sanaa.Pina sana sana ugomv wake slipway na koko beach
Alikuwa anategemea kundi tu lile
Ova
Story za vijiwen hakuna kitu kama hicho,Hapo story ya ukwel ni ya BOUNAKO ambayo alipigwa ngumi na Pina akiwa amevaa KNUCLES za chuma zilizopasua mdomo wake Hilo Vagi lilitokea SLIPWAY masaki..Pina pia aliwah kumzingua Solo Thang (wateule) kumbe ni ndugu kwa upande wa mama...hizo za voice wonder na blue ni uongoUkizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41.
Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa kuimba.
Msiomjua Voice Wonder tafuteni wimbo wake unaitwa “Nimpende nani?”
Kala Pina pia alitaka kumtolea posa Mr Blue kwa kubana sauti wakati wa kuongea na kung’ata lips alipokuwa anaongea/kuhojiwa. Pina hakuwa anafurahishwa pia na style ya Mr Blur kupaka rangi kwenye nywele.
Kala Pina aliwahi kugombana na machalii wa Chugga, baada ya kumpiga na chuma kwenye mdomo msanii wa kundi la Nako2 Nako aliyefahamika kama Bou Nako. Jamaa ilibidi afanyiwe operesheni kubwa ya kurekebisha meno yake.
Kala Pina kwenye 1&2 aliwahi kumteka Salama Jabir kwasababu ya Salama kupenda kumnanga jamaa kuwa huwa anatoa video mbaya.
Leo nimejikuta nimenkumbuka Mzee wangu Kala Pina na kundi lake la Kikosi cha Mizinga pale maskani kwao Block 41.
Kama uhuni ulifanywa sana zamani, BASATA hawakuwa na meno kama ilivyosasa!!
We hujui muziki Ngwea alikua noma sanangwea ananyota ya kupendwa tu ila hanalolote
ThibitishaStory za vijiwen hakuna kitu kama hicho,Hapo story ya ukwel ni ya BOUNAKO ambayo alipigwa ngumi na Pina akiwa amevaa KNUCLES za chuma zilizopasua mdomo wake Hilo Vagi lilitokea SLIPWAY masaki..Pina pia aliwah kumzingua Solo Thang (wateule) kumbe ni ndugu kwa upande wa mama...hizo za voice wonder na blue ni uongo
pina ni mdg wangu kabisa😂 Jamaa huyu PINA inaonyesha mtu wa BANGE Sanaa.
Brother mrangi inaonyesha wewe pia ulikua mwamba Sanaa.. Pina inaonyesha alikua mbambe mbabe Ila wewe ume mcrash kua hakua na nguvu ONE AGAINST ONE 😁
Nyumba yao blok41 jirani ilishauzwa....mambo ya mirathiYuko wapi sasa huyo kala pina? Picha yake je?
Vyuma vile vilikuwa vinamdanganyaMimi nilikuwa sio fan wa Pina, pale Kikosi kulikuwa jamaa wanaflow poa lakini kwenye show yeye ndio anajiweka mwisho anavua shati anaanza kupiga makelele
Sasa yupo anawahudumia wahuni wenzie wa zamani kwa kuwashauri waache kubwia unga kupitia mawinguUkizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41.
Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa kuimba.
Msiomjua Voice Wonder tafuteni wimbo wake unaitwa “Nimpende nani?”
Kala Pina pia alitaka kumtolea posa Mr Blue kwa kubana sauti wakati wa kuongea na kung’ata lips alipokuwa anaongea/kuhojiwa. Pina hakuwa anafurahishwa pia na style ya Mr Blur kupaka rangi kwenye nywele.
Kala Pina aliwahi kugombana na machalii wa Chugga, baada ya kumpiga na chuma kwenye mdomo msanii wa kundi la Nako2 Nako aliyefahamika kama Bou Nako. Jamaa ilibidi afanyiwe operesheni kubwa ya kurekebisha meno yake.
Kala Pina kwenye 1&2 aliwahi kumteka Salama Jabir kwasababu ya Salama kupenda kumnanga jamaa kuwa huwa anatoa video mbaya.
Leo nimejikuta nimenkumbuka Mzee wangu Kala Pina na kundi lake la Kikosi cha Mizinga pale maskani kwao Block 41.
Kama uhuni ulifanywa sana zamani, BASATA hawakuwa na meno kama ilivyosasa!!
Hapo sawaaa.pina ni mdg wangu kabisa
Ova
Pina ugomvi wake mwingi kisa madem na kuwatingisha watoto wa kushuwaHapo sawaaa.
"Umoja ni nguvu", "hip hop bila madawa", n.k.Hivi zaidi ya MSTARI WA MBELE, kuna wimbo gani mwingine uliobamba kutoka kwa PINA?
Namuona insta kawa chawa wa mama na ccmYuko wapi sasa huyo kala pina? Picha yake je?