Kala Pina alitaka kuwatolea posa wasanii wenzake ambao ni Voice Wonder pamoja na Mr Blue nyakati hizo!!

Pina ugomvi wake mwingi kisa madem na kuwatingisha watoto wa kushuwa

Ova
Umenikumbusha jamaa mmoja rafiki yangu primary alikuaga anawadindia ma brother wale wababe wababe enzi ZILE na wakawa wanamuogopa jamaa alikuaga na mabrother zake wababe wababe balaa.

Brother kiranga bila shaka utakua unamjua lufunyo mvungi.?
 
Zamani kulikuwa na utemi wa kijinga sana
Mtu cheni au saa anataka kukuvua kinguvu
Hiyo ya cheni ilinikutaga langata miaka hyo napiga zangu bia
Nahama tu natoka kwa mzee Fernández naenda langata shingoni nna kamba ,kumbe kuna fala yule Paul siza(rip)
Si akanifata chooni na syo kama alikuwa hanijui sema alinchukulia baharia Bishooo...nashangaa nashikwa Bega nkageuka nko attention maana rekod yk nlishaipata kuwa mkabaji

Ile anatoa kitasa nkainama nkamgusa ya chembe+upper cut akayumbaaa anataka dondoka
Kunichek ahh kumbe baharia akakimbia...
Siza lilikuwa na maguvu akili hana
Badaye akaja kutana na promoter fulani akamuingiza apigane ngumi heavy weight akapataga mapambano kadhaa...ehh si watu wakaja wakamuingiza kwenye ujambazi,kuna siku walienda piga tukio mahali wakashtukiwa wenzake wakakimbia aka baki yy walipiga hadi kuua

Mkuu una visanga vingi sana nakumbuka kuna wale jamaa mtu na mkewe walifungwa maisha uliwachambua sana na biashara yao ya unga unga
 
Zamani kulikuwa na utemi wa kijinga sana
Mtu cheni au saa anataka kukuvua kinguvu
Hiyo ya cheni ilinikutaga langata miaka hyo napiga zangu bia
Nahama tu natoka kwa mzee Fernández naenda langata shingoni nna kamba ,kumbe kuna fala yule Paul siza(rip)
Si akanifata chooni na syo kama alikuwa hanijui sema alinchukulia baharia Bishooo...nashangaa nashikwa Bega nkageuka nko attention maana rekod yk nlishaipata kuwa mkabaji

Ile anatoa kitasa nkainama nkamgusa ya chembe+upper cut akayumbaaa anataka dondoka
Kunichek ahh kumbe baharia akakimbia...
Siza lilikuwa na maguvu akili hana
Badaye akaja kutana na promoter fulani akamuingiza apigane ngumi heavy weight akapataga mapambano kadhaa...ehh si watu wakaja wakamuingiza kwenye ujambazi,kuna siku walienda piga tukio mahali wakashtukiwa wenzake wakakimbia aka baki yy walipiga hadi kuua

Ova
Sasa hapo nimeamini brother wewe upo fiti maana ungekua mtoto wa mama jamaa angekukalisha..

Ndio maana UKIWA MWANAUME IMABIDI UWE TAYAR TAYAR KWA LOLOTE MUDA WOWOTE
 
Huo mji una mambo sana kuna story nataman niisikie ya yule kambiaso.
Hivi hajatoka....maana kipindi cha nyuma alikuwepo jaji fulani walikuwa wanacheza naye sana
Ashapata msala kipindi fulani alitoka...ila sahv namuona hyu mkurugenzi wa kitengo lymo ni man 2 man 😄

Ova
 
Sasa hapo nimeamini brother wewe upo fiti maana ungekua mtoto wa mama jamaa angekukalisha..

Ndio maana UKIWA MWANAUME IMABIDI UWE TAYAR TAYAR KWA LOLOTE MUDA WOWOTE
Ahh kabisa,zamani kulikuwa na utemi sana nakumbuka nshakwaruzana na wakina stiba alafu kinondoni alikuwa mbabe mmoja anaitwa Bob chura marehemu sahvi
Ila badaye wote wakaja kuwa wana,Bob chura nlikujaga onana nayee anachechemea hana ufit ule tena,si unajuwa kuna wakati walichukuliwa mabaunsa, wababe kwenda ilikuwa mwabepande/bunju b kama skosei kwenda kuwahamisha wananchi kuwatoa kinguvu huko walikula kichapo sana wengine hadi kupoteza uhai
Mjomba chura ananiambia nlikula kipigo pona yangu nkijifanya nmekufaaaa...... 😄 basi tangu hapo chura akawa dhaifu

Ova
 
Hivi hajatoka....maana kipindi cha nyuma alikuwepo jaji fulani walikuwa wanacheza naye sana
Ashapata msala kipindi fulani alitoka...ila sahv namuona hyu mkurugenzi wa kitengo lymo ni man 2 man 😄

Ova
Hajatoka mkuu,sheria yenyewe ina meno makali sana hata dhamana hakuna
 
Back
Top Bottom