Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Cha ajabu zaid hao palestine na israel ni Babu yao mmoja yani ibrahim lkn ajabu kabisaa hawafanani kabisa mwenyez Mungu akawatenganisha kabisa wkt damu ni ya babu yao mmoja
 

Marekani huchangia siyo chini ya $3.8b kwa mwaka katika misaada ya kijeshi kwa Israel. Israel ndiyo mpokeaji mkubwa zaidi wa misaada ya kigeni ya Marekani tangu Vita vya Pili vya Dunia.


Bajeti ya ulinzi wa Israeli ikijumuisha misaada ya Marekani inakadiriwa kuwa dola bilioni 23.6 mwaka 2023.

Sasa inaonekana wana spend smartly tofauti na wenzao huko Middle East ambao bajeti zao ni kubwa zaidi.

Mfano…Bajeti ya ulinzi ya Saudi Arabia ilirekodi ongezeko la 5.7% hadi kufikia $69.1 bilioni mwaka 2023.
 
Uwezo wao kimedani vipi mkuu
 
Mossad ni moja ya sophisticated intelligence agencies duniani , zana na teknolojia nyingi duniani hutoka kwa hawa jamaa , hata tunavoongea quantum computing mpaka mRNA ya covid ni jews marekani ndo walivumbua .
Walichukua F35 ya marekani wakaifanya stealth mpaka kuna rumour wakiitest ilipaa juu iran mpaka mji mkuu ila hamna radar ilidetect ,story yenyewe iliachiliwa na news station ya kuwait .
Wale jamaa wana kismart fulani sio cha kawaida
 
Mbona sasa hivi wanapigwa vibaya na vikosi vya wanamgambo?wakiwachinja iran si watapigwa vibaya?acheni story za kwenye kahawa.
 
HAMAS wapigwe mpaka wachakae japo itaenda sambamba na kupotezwa kwa maisha ya Wapalestina wengi wasio na hatia,lakini mwana kulitaka mwana kulipewa.
Mtazamo wako,ingawa sijui kama huyo unaemuomba atakuitikia hiyo dua!!
 
Invincibility yake kwisha. Ni ka nchi ka hovyo hata kiulinzi kameumbuliwa
 
Huna unachokijua kuhusu Israel.
Sema ww unachokijua tusikie.

israel ipo pale inalindwa na mataifa ya magharib kwa kila kitu ukijuacho kama hufahamu.

Hawana uwezo wa kusimama wenyewe kwa wenyewe kama unavyofikiri.

Kinachowatesa wapalastina ni kukosa support ya nje,kwa kuwa mataifa yote ya kiarabu ukiacha iran ni wanafiki watupu.

Hivyo hakuna taifa ambalo linawasaidia wapalestina km ilivyo kwa waisrael.
 
Soma vizuri historia ya hio nchi kwenye medan za kivita.
Hakuna vita ambayo israel walipigana wenyewe.

Vita yote wanasimamiwa na mataifa ya magharibi ikiongozwa na marekani.

Ndio ukaona mara baada ya shambulizi la juzi marekani katangaza kutoa manuary ya kivita kwenda kuisaidia israel.
 
Kwani hao wanajeshi wa israel hawashambulii raia wa palestine,au hao wanaokufa wote ni wapiganaji wa hamas??
 
Pale myahudi toka tandale kwa tumbo anapoisifia israel ya mashariki ya kati.
 
Kabisa wako nyuma yao kumlinda, bila hivyo israel ni kama jeshi la bongo tu
Jeshi letu ni zuri, lakini hutakuwa sahihi kulilinganisha na Jeshi la Israeli.

Mwaka 1964, Israel ilitoa msaada wa mafunzo kwa maofisa wa JWTZ, baada ya kuombwa na TANU. Lakini sina taarifa kama na nchi yetu imeshawahi kuisaidia Israeli kwa jambo lolote.

Kumbuka, mkubwa ndiyo humsadia mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…