Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Hao Hibollah wenyewe wamebaki kwanza wanatafakari kinachotokea Gaza kuona kama watakimudu
Mziki wa Hezbollah ni mkubwa sana Israel anaujua na anawaogopa mno.

Taliban wameomba njia ya kupita baadhi ya mataifa ili afike Israel akapambane na wayahudi. Hao Taliban nao ni moto mwingine.
 
Ungejua siasa za dunia ungeelewa kwa nini Tanzania hatuwezi kuwa kama israel.

Ushawai jiuliza kwa nini israel ndio nchi pekee duniani yenye raia ambao hawafanani na majirani zake wote kimuonekano ? China , korea, japan wanafanana kimuonekano, india, bagladesh, Pakistan, wanafanana kimuonekano, Tanzania, burundi, kenya, uganda, rwanda , Zambia, Malawi tunafanana kimuonekano.marekani, mexico na canada wanafanana kimuonekano, south america Argentina, uruguay, Venezuela, raia wanafanana kimuonekano.

Cha kushangaza Israel wazungu kwa muonekano ila majirani zao nchi karibu zote ni wa arab kwa muonekano.

Pili ushawai kujiuliza kwa nini team za mpira za israel zinashiriki mashindano ya uefa champions league na europa league huku nchi yao haipo ardhi ya ulaya.

Wayahudi wengi baada ya kutawanyika walizaliana na mataifa ya watu wa ulaya hata usishangae wako hivyo,sio suala la rangi ila damu na imani ndio inayowatambulisha.
 
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika!
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?

Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana

Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Irani

Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?

Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?

Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani

Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k

Africa tuna kwama wapi?

Mfano kama Nchi yangu Tanzania!

Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?

Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile

Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?

Hayo maswali yako yanatupeleka tu kwenye conclusions kwamba ni Taifa la Mungu.
 
Ungejua siasa za dunia ungeelewa kwa nini Tanzania hatuwezi kuwa kama israel.

Ushawai jiuliza kwa nini israel ndio nchi pekee duniani yenye raia ambao hawafanani na majirani zake wote kimuonekano ? China , korea, japan wanafanana kimuonekano, india, bagladesh, Pakistan, wanafanana kimuonekano, Tanzania, burundi, kenya, uganda, rwanda , Zambia, Malawi tunafanana kimuonekano.marekani, mexico na canada wanafanana kimuonekano, south america Argentina, uruguay, Venezuela, raia wanafanana kimuonekano.

Cha kushangaza Israel wazungu kwa muonekano ila majirani zao nchi karibu zote ni wa arab kwa muonekano.

Pili ushawai kujiuliza kwa nini team za mpira za israel zinashiriki mashindano ya uefa champions league na europa league huku nchi yao haipo ardhi ya ulaya.
Hoja za kijinga kabisa hizi, wapalestina na Waisrael wanafanana sana tu, ni race moja. Kucheza mashindano ya Ulaya hata UTURUKI anashiriki mashindano ya Ulaya na hayupo Ulaya.
 
Hayo maswali yako yanatupeleka tu kwenye conclusions kwamba ni Taifa la Mungu.
Wanapigika kirahisi sana walipigwa na mgambo tu wa hezbollah 2006 na sasahivi hawa mgambo wa hamas tu hadi wanaomba msaada wa mataifa ya ulaya na marekani hiyo inaonyesha they are weak ila porojo nyingi ,kama ulaya walivyoyakanyaga kwa mrusi sasahivi vikwazo vinawaumiza wenyewe
 
Sawa, nenda na wewe kasaidie na jambia lako.
 
Israel no propaganda tu,hana lolote.hakuna vita yoyete amewahi kupigana na akashinda,anapigana na wala tende na harua tu.
Na ile vita ya June 1967 ya siku 6 ni propaganda? Maana naona hapa Aljazeera wanaicover kwa kuhoji pande zote zilizohusika ukiondoa Israel tu.Egypt,Syria,Lebanon na wenzo wote wanakiri walichapika haswa na wanaelezea kilichopelekea kuchapika kwao.Kwa hiyo na hao wanaeneza propaganda za Magharibi ?

Pata muda angalia hicho kipindi please halafu urudi hapa utueleze hizo propaganda
 
Ile vita

Israel mwaka 2006 alipoteza kwa mgambo wa hezbollah na kupelekea makamanda wake wote wa juu kujiuzulu
 
Naongelea vita ya June 1967,ungeona niliyekuwa namjibu usingeniletea hizo chokochoko za kikundi cha Magaidi wanaojifichia kwa watu na mwisho wa siku wanapigwa vizuri tu.Haya ielezee ile vita iliyokuwa real battle kati ya Wanajeshi wa Israel na wanajeshi wa hizo Nchi alizopigana nazo.
 
Ile vita

Israel mwaka 2006 alipoteza kwa mgambo wa hezbollah na kupelekea makamanda wake wote wa juu kujiuzulu
Vita sio mchezo especially unapopigana na mtu ambae hana cha kupoteza unadhani marekani mjinga kupeleka vifaa na kutaka kupeleka jeshi ?anajua what is there na akienda kifalafala anaaibika wale iran hujui wamepanga nini na mrusi ndio maana marekani anaenda kwa kusita sita, vita sio lelemama kama mtu ameweza kuingia ndani ya nchi yako na kuteka makamanda wako unadhani ni fala huyo?
 
Wanapigika kirahisi sana walipigwa na mgambo tu wa hezbollah 2006 na sasahivi hawa mgambo wa hamas tu hadi wanaomba msaada wa mataifa ya ulaya na marekani hiyo inaonyesha they are weak ila porojo nyingi ,kama ulaya walivyoyakanyaga kwa mrusi sasahivi vikwazo vinawaumiza wenyewe
Hebu nenda kaangalie kwa page ya 'eye on Palestina' uone kichapo kinavyotembezwa na uzuri wanapost ni wao wenyewe Wapalestina.
 
Vita sio mchezo especially unapopigana na mtu ambae hana cha kupoteza unadhani marekani mjinga kupeleka vifaa na kutaka kupeleka jeshi ?anajua what is there na akienda kifalafala anaaibika wale iran hujui wamepanga nini na mrusi ndio maana marekani anaenda kwa kusita sita, vita sio lelemama kama mtu ameweza kuingia ndani ya nchi yako na kuteka makamanda wako unadhani ni fala huyo?
Uzuri wako unaongea kile ungependa kiwe na hauongelei uhalisia wenyewe[emoji3]
 
Kuua watu 900 ikiwemo wanajeshi na kuteka wengine ndani ya ardhi ya mtu anayelindwa na mataifa yote ya ulaya sio kazi ndogo hamas wapewe maua yao ,israel imegundua kwamba pamoja na kutumia gharama nyingi kujilinda but they are still weak (na hapo iran and russia are watching very closely kujua weakness ya adui)
 
Hata Israel kila uchwao hushambulia raia wasio na hatia wa Palestina.
Wale watu waliouliwa wa music festival hawakuwa raia wasio hatia?.watavuna walichopanda, tena ili kuwakomesha watoto wa Yakobo waichukue gaza yote kama afanyavyo mrusi kule Ukraine mbona kazi ipo. Ila Mungu ashukuriwe sana.
 
Back
Top Bottom