Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu,
Nimekuta sehemu imetumwa hii Kalenda ya Jeshi la Magereza mwezi Oktoba Una siku 32.
Hii imekaaje wakuu...?
View attachment 3140081Hiyo ni CODE maalamu ya kijeshi
Kabla ya kujadili kwanza huyo kwenye picha unamuonaje?
Mkuu, watu wanapenda sana kutumia Manual kwa nini wasitumie Automatic wakati inarahisisha zaidi...?Watu muna muda aisee kuangalia hizo kalenda za ukutani sikumbuki ni lini ....often natumia sana kalanda ya kwenye simu.