Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

Kaliba ya Ualimu lazima iheshimiwe

Inawezekana kabisa kosa ni la kahaba aliyekuzaa hakukupa na kukufunza maadali na kukuonesha baba Yako mzazi Sasa hasira zoooote Kwa walimu
Unaona sasa, Teacher On Duty, mtabaki tumiwa kama mipira....
 
Uliza vizuri.
Sio Watanzania wote, do not sugarcoat, ili tukubali ujinga, alikuwa ana refer Chadema, ndio mana ni wao waliokuwa wanavaa Tshirts zilizoandikwa MALOFA KWENYE UBORA WAO, and i was one of them
 
Mimi niliukataa Uwalimu.

Kataa ndoa.
Mimi niliukubali ualimu...mama ndio alinishauri na sijajutia ushauri wake wala maamuzi yake. Ila nilipomaliza kusoma aliniambia kama hujapata skuli za private kaa hapo lkn za government usisomeshe...nashkuru baada kama miezi 6 tu nikapata ajira.

Naamini ualimu ndio umenisaidia kupata hii ajira niliyonayo kwa sasa
 
Back
Top Bottom