Sio Watanzania wote, do not sugarcoat, ili tukubali ujinga, alikuwa ana refer Chadema, ndio mana ni wao waliokuwa wanavaa Tshirts zilizoandikwa MALOFA KWENYE UBORA WAO, and i was one of them
Mimi niliukubali ualimu...mama ndio alinishauri na sijajutia ushauri wake wala maamuzi yake. Ila nilipomaliza kusoma aliniambia kama hujapata skuli za private kaa hapo lkn za government usisomeshe...nashkuru baada kama miezi 6 tu nikapata ajira.
Naamini ualimu ndio umenisaidia kupata hii ajira niliyonayo kwa sasa