Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
1665489067222.jpg
 
Serikali iwajibike. Haiwezekani waruhusiwe kufanya biashara ya pesa bila dhamana.

Wananchi wataelewa serikali ndiyo imewatapeli.

Walisajiriwa brella wakalipa kodi.

Huku mtaani ni vilio tu mpaka huruma.

Nashukuru Mungu sikufanya ujinga huu
 
Muwe mnaelewa kwanini watazanzajia ni wepesi kusahau na kutaka vitu vya mkato mkato? Hii inatokana na uvivu, tufanye kaziiii! Chonga kibubu chako Hela zitaongezeka, wekeza kwenye kilimo, ufugaji huko hela itaongezeka.
 
Serikali iwajibike. Haiwezekani waruhusiwe kufanya biashara ya pesa bila dhamana.

Wananchi wataelewa serikali ndiyo imewatapeli.

Walisajiriwa brella wakalipa kodi.

Huku mtaani ni vilio tu mpaka huruma.

Nashukuru Mungu sikufanya ujinga huu
Shule zinatosha kutambua utapeli ukishindwa kujiongeza utapigwa kama ngoma
 
Back
Top Bottom