Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kylinda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now KyLINDA wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
View attachment 2383601
Hamjui hata jina la kampuni kila my anafungua thread
 
Kalynda waliwaaminisha watanzania wapenda slope maeneo haya jamaa walikua na akili sana

1. Kujitangaza ITV na redio mbalimbali mfano huku mikoan iringa kuna redio inaitwa Nuru Fm walikua wakitangaza sana hawa jamaa

2. Leseni za biashara na Mlipakodi

3. Kupanga NSSF House 30 floor

4. Matangazo mpaka barabarani

5. Returnrate more than 102% yaaan jamaaa walikua wanalipa kuliko kampuni yoyote dunian [emoji1787] hata elon musk na Tesla yake alikua hauwez moto wa Kalynda

Baadhi ya mambo ambayo mjanja angeweza kustuka

1. Ponzi scheme ziko hivi always; ukiona tu mtu anasema njoo mahala fulan kwa kukulazimisha kuna fursa ujue wewe ndio fursa kaiona kwako

2. Application yao haikua ikiomesha moderator ni nan uwanja wa comment umefungwa na haieleweki nyuma ya kampuni wapo akina nan watendaji wakuuu ajabu mtendaji mkuu raia wa china anaitwa Mr. Thomas[emoji1787] aloooo

Watanzania fanyeni kazi, wanakuja wengine.
 
Screenshot_20221011-153931.png


Niliambiwa mimi na huyu mwamba one b kwamba usiingie huko, serikali ina mkono wake huko itawapiga isepe

Nikanyuti sikuingia mara paaaa chali watu washaliwa, sasa ndio nmeamini kabla ya kufanya Jambo tafuta washauri wazuri usikurupuke
 
Back
Top Bottom