Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Serikali iwajibike. Haiwezekani waruhusiwe kufanya biashara ya pesa bila dhamana.

Wananchi wataelewa serikali ndiyo imewatapeli.

Walisajiriwa brella wakalipa kodi.

Huku mtaani ni vilio tu mpaka huruma.

Nashukuru Mungu sikufanya ujinga huu
 
Muwe mnaelewa kwanini watazanzajia ni wepesi kusahau na kutaka vitu vya mkato mkato? Hii inatokana na uvivu, tufanye kaziiii! Chonga kibubu chako Hela zitaongezeka, wekeza kwenye kilimo, ufugaji huko hela itaongezeka.
 
Serikali iwajibike. Haiwezekani waruhusiwe kufanya biashara ya pesa bila dhamana.

Wananchi wataelewa serikali ndiyo imewatapeli.

Walisajiriwa brella wakalipa kodi.

Huku mtaani ni vilio tu mpaka huruma.

Nashukuru Mungu sikufanya ujinga huu
Shule zinatosha kutambua utapeli ukishindwa kujiongeza utapigwa kama ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…