Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Hapo ndo uwa inanijia ile sauti ya pinda.
" hakuna namna wapigwe tu,umeambiwa fanya hivi unafanya vile lazima upigwe tu"
 
Unamuheshimu mtu vizuri kumbe na yeye ametapeliwa kalynda[emoji38][emoji38][emoji38]
Pole mkuu
 
Nyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,

Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI

Jasho letu haliwezi kwenda bure.
Mungu Haurumii Wajinga...mna angamia kwa kukosa maarifa...tena mzidi kupigwa hadi hizo Akili na bongo zifunguke!!!!
 
Nyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,

Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI

Jasho letu haliwezi kwenda bure.
Ndio ukome sasa na ufanye kazi kwa mikono yako, nani alikuambia Duniani kuna cha rahisi namna hiyo.
 
Kwa hyo ni Aina ya Tozo inaitwa kalynda...
We si umeona hata Brela walivyoielezea wanasema wananchi ndio wajinga, kuhusu hilo mimi sijui ila nilikatazwa nikaambiwa serikali ina mkono wake uko usijiunge hao matapeli, ukiangalia screenshot inajieleza mkuu
 
Ndio kitu gani hio[emoji1787][emoji1787]

Another DECI

mtapigwa kwa ponzi schemes hadi lini

1. DECI

2. RIFARO

3. FOREVER LIVING

4. QNET

5. KALYNDA

6.....

Nyingine nyingi zitakuja sababu wapumbavu ni wengi sana .
Bado hujamaliza kutaja mkuu
Scatec
D9
Jatu nk
 
Hello,

Sina maneno mengi nimepigwa laki 2 huko kalyanda, na sina sababu za kujitetea nimefanya uzuzu kama mazuzu wengine, nimepigwa kizembe sina hata nguvu za kuelezea, nilipinga sana kalyanda ila kuna manzi aliipaisha sana kalyanda, nikamwambi nitoe ganji basi na laki 4 akanitoa akanambia haya weka laki2.

Nikaweka la haula la kwata nimeukalia, ila sio mbaya huyu manzi kama mganga vile aliichomoa pesa yake, sasa hivi niko nae gheto ananifariji nampiga nao mfano wa kalyanda na watanzania. namkamua kwa hari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Kila mmoja apambane na hali yake.

Tumerithi uzuzu toka kwa Sultani Mangungo wa Msovero, haina haja ya kujilaumu hii ishu ni genetic kwa Tanzania tutapigwa mpaka kiama there shall come on different versions and the identical or similar episodes shall continue. Simply this kacountry is endowed with uzuzu

I salute you in the name of growth, progress and success my entire Mazuzu fellas.

Niko na Mbususo ina nifariji. Kalyanda Mwakulyanda, Mwakulwanda, Mwakinyogoli, Mwakadundulusi, Mwakajwaga, Mwanjokolilo, Mwakipulumusi.

Ukipigwa msifu na alokupiga sio kulalamika tu.
Wajinga ndio waliwao.
 
Back
Top Bottom