akili gani mkuu watanzania 98% hatuna akili na hatujawahi kuwa na akili na hatuji kuwa nazo kamweeeeeHivi hata kama kukata tamaa ndio uambiwe kuna nyumba za kudownload? Au kuna pesa za kudownload? Au eti unaweza kudownload gari? Jamani jamani tutumie hata hizi akili ndogo tulizonazo.
JiheshimuNiliwahi kushauri, Tanzania tuwe na mfumo wetu, kura za kuchaguwa Rais zisipigwe kwa kigezo cha Uraia au kutimiza miaka 18, inabidi na sisi tutengeze mfumo wetu wa college vote kama za Marekani ili Rais achaguliwe na wachache na mikoa yenye watu wajinga kama Morogoro na Tabora ipewe nafasi chache zaidi za kura za Urais.
Watanzania badala ya kufanya kazi, wako busy wanakunywa kahawa na kutafuta pesa za rahisi za mitandaoniWambane yule jamaa anajiita mshauri serikali yeye si alikuwa anaitangaza
Sana
Ova
Huyo sijui mshauri wa serikali ,mkosoaji blhblh tuView attachment 2383171
Jamaa kajianika vizuri mno. Huyu akichukiliwa maelezo ataeleza hao jamaa wapo wapi na pesa zinarudi.
Nimepitia tena akaunt ya Kalynda naona wanafuta posts zao kuondoa ushahidi
Account fake sio ya serikali hii, wamesha piga pesa saivi wanakula maiti za kuku na kuchagua madinga uko viwandani mida hii
Wapuz sana ,wanasubiria pesa za kudownloadWatanzania badala ya kufanya kazi, wako busy wanakunywa kahawa na kutafuta pesa za rahisi za mitandaoni
Mshauri wa serikali si anajiitagaAccount fake sio ya serikali hii, wamesha piga pesa saivi wanakula maiti za kuku na kuchagua madinga uko viwandani mida hii
Kuhusu nini?Jiheshimu
Ngoja tujifunze kwanza.....Wapuz sana ,wanasubiria pesa za kudownload
Hakuna pesa nyepesi hata siku moja
Wengine kwenye biashara hiyo mln 1
Unaitafuta faida ya 130,000 na kwa mbinde alafu anakuja mtu anakuambia weka 1m baada ya mwezi utapata mln 5 umeona wapi hiyo
Ova
Una muandiko mzuri mashaallah mashaallah. Bila shaka na msambwanda unaoMrejesho huu hapa ameniambia niache unafiki [emoji23]
View attachment 2383167
Kalynda hawajashindwa bali wameshinda, walioshindwa ni wananchi walitapeliwa pesa zao.Anayezungumza kwenye hii video ni binamu yangu kabisa. Alikuja nyumbani ijumaa kunishawishi kujiunga. Hata kabla sijafanya shauri la kujiunga au la Kalynda wakakimbia. Kifupi watu hawajui tu nadhani wengi wanaojiunga wanajua kwamba ni scam schemes ila wanaamini mwanzoni watapiga hela, na kweli wa mwanzo wamepata hela na hawana hasara sasa hawa waliojiunga juzi hapo ndo wanalia. Na wengi walidhani aftaer six month itawashinda ila Kalyinda wameshindwa hata miezi minne haijaisha π
π π π π π
Binamu aka BIG aka Mtu Mzito kama huko humu basi nakusalimu. .