Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Mbona unamapengo mkuu, togwa imehalibu meno?
Una uhakika gani kuwa mungu alietajwa katika kitabu chako cha dini ndie aliekuuumba?Swali hili ukilijibu basi Je, Binadamu alitoka wapi,
Usitumie stori za watu tafadhali.
Swali langu hujajibu mkubwa.Una uhakika gani kuwa mungu alietajwa katika kitabu chako cha dini ndie aliekuuumba?
Togwa ni niniMbona unamapengo mkuu, togwa imehalibu meno?
Hilo ndio jibu lake.Swali langu hujajibu mkubwa.
Kwa nini ni muhimu kutoka wapi?Swali hili ukilijibu basi Je, Binadamu alitoka wapi,
Usitumie stori za watu tafadhali.
Bear ya asili sawa sawa na komon, ulanzi, au mbege, inaonekana na ulevi wako lakini bado ni wa kishua kabisa, hadi ujui majina ya unywaji mkuu...Togwa ni nini
Usipo jua ulipo toka, Huwezi jua unapokwenda Mkuu.Kwa nini ni muhimu kutoka wapi?
Yeye Mungu katoka wap?Usipo jua ulipo toka, Huwezi jua unapokwenda Mkuu.
Je Mungu alitoka wapi?Swali hili ukilijibu basi Je, Binadamu alitoka wapi,
Usitumie stori za watu tafadhali.
Mungu ametoka wapi na anaenda wapi?Usipo jua ulipo toka, Huwezi jua unapokwenda Mkuu.
Usilinganishe mbege na vitu vya ajabu bwashee 😅Bear ya asili sawa sawa na komon, ulanzi, au mbege, inaonekana na ulevi wako lakini bado ni wa kishua kabisa, hadi ujui majina ya unywaji mkuu...