Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

Kwenye hili suala ni asilimia ndogo sana ya wanaume wanafanya hivi. Usiangalie kesi moja moja unazozijua wewe kwenye cycle yako angalia picha nzima kwenye jamii unayoishi.
Ni kweli dada angu lakini kama nilivyokujibu kwenye aya ya kwanza. Kila mmoja akiwa na kipato cha kutimiza mahitaji yake ni sawa sio lazima mlingane au mkaribiane muhimu tu kusiwe na mmoja anaembebesha mwenzake gharama za kutaka kutunzwa, posho ya sex au ku-maintain mahusiano
 
Ona sasa 🀣 ebu atuache tule hela ebooh
Hela kula dada ila sasa ukifika muda wa unahitaji uhuru wa kuamua kusitisha mahusiano na bahati mbaya shemeji hana kifua cha kustahimili maumivu ya gharama alizoingia kwako hapo sasa malizaneni wenyewe wawili. Hakuna mtu kukimbilia polisi, mahakamani au kulialia na kujifanya victim ili jamii imuonee huruma na kumtetea.
 
Na hichi ndio kinachowaondoa WANAWAKE Wengi uhai wao

Anakula pesa, anasomeshwaa , anajengewa nyumba, analipiwa vikoba harafu inafika point anataka kuondoka kwenda pengine hapa ndio huwa kuna mauaji
 
Usitafute wenye njaa. Hujiulizi je zikikosa itakuwaje
 
Ahhhh wewe Acha hizo mkuu sisi wenye sura personal tumekubali pesa zetu ziliwe na watoto wazuri mkuu.
Ongeza volume shamwali huku nyuma hawajasikia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanawake wanapewa favour sana kwenye jamii na wanaitumia ipasavyo. Kikubwa usiishi kwa kuwaendekeza kupambana na mwanamke ni sawa na kupambana na ibilisi.
Sisi Ibilisi kweli hujakosea, kaa kwa password. Tulikutana na ibilisi live na kitu muhimu tulichokubaliana suala la PESA
 
Tafuteni mabinti wa kishua, mboga 7, hawa wengine achaneni nao kbsaa.
Tatizo mboga 7 hawana amsha amsha ipo km mikuku midoli, afu game inakuwa tamu ukipiga na manzi aliyekula pesa zako..!! Unakuwa unaitafuna pesa yako ujue πŸ€Έβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Sisi Ibilisi kweli hujakosea, kaa kwa password. Tulikutana na ibilisi live na kitu muhimu tulichokubaliana suala la PESA
Amelaaniwa mwanamke aangaliaye pesa na sio upendo🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwamba unajilipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…