Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

Kingine, umesema mwanaume haangalii mahusiano kama njia ya kuhudumiwa nakubali ila ni kwa wale wanaume wanaojitambua tu. Wanaume wanaongia kwenye mahusiano kufata pesa hawa mbona wapo tena wengi tunajionea. Sasa hawa wana utofauti gani na wanawake wanaodate wanaume kwa ajili ya pesa tu? Ni wale wale tofauti majina.
Kwenye hili suala ni asilimia ndogo sana ya wanaume wanafanya hivi. Usiangalie kesi moja moja unazozijua wewe kwenye cycle yako angalia picha nzima kwenye jamii unayoishi.
Nachokiona kama unataka kudate mwanamke anaejiweza hakikisha na wewe unajiweza, huwa nachekaa sana utaskia wanawake maskini hawafai ukija kumfatilia anaesema hivyo nae ni wa kuonewa huruma. Na si wanaume tu, hata kwa wanawake ukitaka mtu ako na pesa na wewe tafuta zako mkutane huko ama la uwe na bahati sana.
Ni kweli dada angu lakini kama nilivyokujibu kwenye aya ya kwanza. Kila mmoja akiwa na kipato cha kutimiza mahitaji yake ni sawa sio lazima mlingane au mkaribiane muhimu tu kusiwe na mmoja anaembebesha mwenzake gharama za kutaka kutunzwa, posho ya sex au ku-maintain mahusiano
 
Ona sasa 🤣 ebu atuache tule hela ebooh
Hela kula dada ila sasa ukifika muda wa unahitaji uhuru wa kuamua kusitisha mahusiano na bahati mbaya shemeji hana kifua cha kustahimili maumivu ya gharama alizoingia kwako hapo sasa malizaneni wenyewe wawili. Hakuna mtu kukimbilia polisi, mahakamani au kulialia na kujifanya victim ili jamii imuonee huruma na kumtetea.
 
Hela kula dada ila sasa ukifika muda wa unahitaji uhuru wa kuamua kusitisha mahusiano na bahati mbaya shemeji hana kifua cha kustahimili maumivu ya gharama alizoingia kwako hapo sasa malizaneni wenyewe wawili. Hakuna mtu kukimbilia polisi, mahakamani au kulialia na kujifanya victim ili jamii imuonee huruma na kumtetea.
Na hichi ndio kinachowaondoa WANAWAKE Wengi uhai wao

Anakula pesa, anasomeshwaa , anajengewa nyumba, analipiwa vikoba harafu inafika point anataka kuondoka kwenda pengine hapa ndio huwa kuna mauaji
 
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba

Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka hela kama nguzo ya hayo mahusiano, hakuna pesa hakuna mapenzi.

Dada angu unataka pesa au matunzo kutoka kwa mwanaume tambua ya kwamba unauza uhuru, uko mbeleni ukichepuka au kutaka muachane iyo lazima italeta shida.

Hakuna mwanaume atataka kukutawala ikiwa hajawahi kuingia gharama ya hata shilingi 1 kwa ajiri yako, kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume uliyenae siku zote za maisha yako basi usile hela zake.

NB: Kama unajiuza weka wazi pale pale unapotongozwa mkubaliane bei then baada ya tendo hakuna kugandana wala kubebeshana gharama zozote.
Usitafute wenye njaa. Hujiulizi je zikikosa itakuwaje
 
Ahhhh wewe Acha hizo mkuu sisi wenye sura personal tumekubali pesa zetu ziliwe na watoto wazuri mkuu.
Ongeza volume shamwali huku nyuma hawajasikia 😂😂😂
 
Wanawake wanapewa favour sana kwenye jamii na wanaitumia ipasavyo. Kikubwa usiishi kwa kuwaendekeza kupambana na mwanamke ni sawa na kupambana na ibilisi.
Sisi Ibilisi kweli hujakosea, kaa kwa password. Tulikutana na ibilisi live na kitu muhimu tulichokubaliana suala la PESA
 
Tafuteni mabinti wa kishua, mboga 7, hawa wengine achaneni nao kbsaa.
Tatizo mboga 7 hawana amsha amsha ipo km mikuku midoli, afu game inakuwa tamu ukipiga na manzi aliyekula pesa zako..!! Unakuwa unaitafuna pesa yako ujue 🤸‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Tatizo mboga 7 hawana amsha amsha ipo km mikuku midoli, afu game inakuwa tamu ukipiga na manzi aliyekula pesa zako..!! Unakuwa unaitafuna pesa yako ujue 🤸‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
😀😀😀😀 kwamba unajilipa
 
Back
Top Bottom