Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
oi weeeh hy kitu ni 🔥🔥🔥🔥Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.
Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
Sichoki kabisa Kulisikiliza hilo Rhumba.oi weeeh hy kitu ni 🔥🔥🔥🔥
-100kilosNiseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!
Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize
BushmanStupid.
Niseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!
Nitajieni goma kali la fere gola nikaliziki
wumela by fere gola is fireeeeNiseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!
Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize
Sikiliza.hizi ngoma 3 tu halafu nipe mrejesho mkuu hata pmCapitaine De Benelux remix.
Mpumbavu kama Wewe na huyo Mumeo anayekukanda / anayekuweka 24/7 ( Uliyemtaja hapa ) hawajawahi na hawatowahi kuja kuwa Marafiki zangu.
'Se Yo' imefunika hizi zote tajwa hapa.Sikiliza.hizi ngoma 3 tu halafu nipe mrejesho mkuu hata pm
100kilos
Vita imana
3dtueme
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Fally tunampenda lakini Ferre Gola tunampenda zaidi mawe yake hua yanampoteza fally sema ferre bongo hasikiki sana maana hakujibrand lakini ni moto
Ni kweli hata kwangu mie napenda sana mziki wa rhumba, kuhusu hii rhumba ya fally ipupa nimeisikiliza ni nzur sana. Lakin mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni kwenye swala la mziki wa congo wa rhumba kwa sasa hakuna anaye msogelea le padre ferre gola hata kidogo sababu yeye huwa habatishi kwenye rhumba.Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.
Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
Sikiliza hizi hapaNiseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!
Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize
Write your reply...Rhumba LA kawaida sijaona utofauti kweli the beauty is in the eyes of the beholder
Katika hiyo list uliyopata ya Ferre gola usisahau na Marathon, LiberteNiseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!
Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize