Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
oi weeeh hy kitu ni 🔥🔥🔥🔥Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.
Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.