Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.

Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
oi weeeh hy kitu ni 🔥🔥🔥🔥
 
Write your reply...Rhumba LA kawaida sijaona utofauti kweli the beauty is in the eyes of the beholder
 
Kwani uliwahi kuwa na marafiki hapa JamiiForums?

Labda huyu LIKUD tu.!😂😂
Mpumbavu kama Wewe na huyo Mumeo anayekukanda / anayekuweka 24/7 ( Uliyemtaja hapa ) hawajawahi na hawatowahi kuja kuwa Marafiki zangu.
 
Fally tunampenda lakini Ferre Gola tunampenda zaidi mawe yake hua yanampoteza fally sema ferre bongo hasikiki sana maana hakujibrand lakini ni moto

Fally Ipupa kajibrand kimataifa zaidi hata ukiangalia video zake zinaongea mengi kama mtu aliyewekeza kwenye music kwasbb zina quality ya kutosha,, angalia ngoma kama Flye, Maria PM, Téléphone etc video zote ni kali zenye hadhi ya msanii mkubwa kimataifa, hvyo zinamuongezea popularity ktk soko la music duniani

Ferre Gola bado yupo nyuma nyuma sana, anategemea sauti (audio) ndio imuuze, hata ukiangalia ngoma zake kama Vita Imana, 100 kilos unaweza kudhani hizi ngoma zilirekodiwa zama za akina Kanda Bongoman

Fally mfanano wake ni kama Diamond, Ferre ni kama Ali Kiba
 
Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.

Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
Ni kweli hata kwangu mie napenda sana mziki wa rhumba, kuhusu hii rhumba ya fally ipupa nimeisikiliza ni nzur sana. Lakin mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni kwenye swala la mziki wa congo wa rhumba kwa sasa hakuna anaye msogelea le padre ferre gola hata kidogo sababu yeye huwa habatishi kwenye rhumba.
 
Niseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!

Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize
Sikiliza hizi hapa
Kamasutra
Maboko pamba
3eme doigt
Vitaimana
100kilos
Mea culpa
Realite
Poisson d'avrill
Ukimalizia na hii ameimba kimtindo wa RNB inaitwa pyromane.
Ukimaliza hizi ndio upitie mizigo yake mingine ambapo nayo ni mikali sana na jamaa huwa habatishi huyo ndio lepadre ferre gola.
 
Write your reply...Rhumba LA kawaida sijaona utofauti kweli the beauty is in the eyes of the beholder

Kwakweli na mm nimelifata Utube nimesililiza wala sjaenjoy kama nilivyosiakaga maria Pm,Associe na Sopeka za huyu mwamba kwa Ferre huko nna 100kilos na vitaimana!
 
Utamu wa hili goma unaanzia kwenye science fictions...na tunaipata se yo ...
Bado part 3 yake tukisubiria formule 7 album dec 2
 
Niseme ukweli mimi fere gola simjui kabisa... huwa na msikia ila fally namjua kitambo!

Nitajieni goma kali la fere gola nikalizikilize
Katika hiyo list uliyopata ya Ferre gola usisahau na Marathon, Liberte
 
Final episode keshooooo....Guard of heart
Screenshot_20221201-110848_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom