Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hii se yo ni ngoma kali sana, naunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sipendi Vibovu Vibovu Mkuu.Hii se yo ni ngoma kali sana, naunga mkono hoja
Nice audio nice video[emoji91]nyimbo moja ya ki gentleman sana,Fallie ametisha.Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.
Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
Mwamba ni mmoja tuNi nzuri ila fally bado kumfikia ferregola
Naona se yo ni muendelezi wa science fictionNingeidownload ila haiifikii Science fiction
You're a damn Fool.
TAZAMA KOFFI OLOMIDE ALIVYOWASHINDANISHA FALLY IPUPA NA FERRE GOLA KUCHEZ KISANOLA.....NANI KATSHA ZAIDI WAKUU
View: https://www.youtube.com/watch?v=SZQuCI9mBz0
andika kizungu basi..kama wewe sio mswahiliUmeshindwa kuanzisha Uzi wako juu ya hii Video na Ulichokiuliza mpaka Uulize ndani ya Uzi wangu? Miswahili bhana....!!
Hana akili huyuUmeshindwa kuanzisha Uzi wako juu ya hii Video na Ulichokiuliza mpaka Uulize ndani ya Uzi wangu? Miswahili bhana....!!