Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

Kama bado hujasikiliza hili Rhumba Kali 'Se Yo' la Fally Ipupa Wewe siyo Rafiki yangu hapa Jamiiforums

Kwa Rhumba hili Kali 'Se Yo' lake Fally Ipupa 'Decaprio" itoshe tu kisema Shikamoo Fally Ipupa popote pale ulipo.

Mpinzani wako mkubwa Ferre Gola ana Kazi ya ziada ya Kukujibu kwani ni Wimbo mtamu, mzuri, umepangika na umeutendea haki na Sauti yako ya Dhahabu.
Nice audio nice video[emoji91]nyimbo moja ya ki gentleman sana,Fallie ametisha.
 
Ngoma kali sana..ms.enge anaimba sana *****...kuna binti anapigwa mistari humo..wakongo ni nyoko aisee.
 
Seyo moko, mama mokonzi, Denz Love na ngai mama mokonzi
Se yo moko mama mokonzi, aaah mama, mama mokonzi eeeh

L'Amour inconditionnel ya toi et moi (ya toi et moi)
Fais-moi danser avec amour Denz Love (Love)
Même dans une autre vie tu seras mon seul choix (mon choix unique)
Laissons parler les aigris, bako yoka soni (soni na bango)
 
Mh!.
Mtu anasikiliza akiwa peke ake,afu Kama vile katika usingizini anakemea kwa nguvu Mambo aliyokuwa anayaota .

S
Kwa sie ambao hatuwafatilii hao watajwa hivi karibuni mnatusaidiaje.
Nikajua mmetuwekea hata hizo track za wajuba Kumbe hola!.

Nchi hii ngumu Sana.
 
Back
Top Bottom