Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

H

izi zipo kuanzia 3mil unapata
Mkuu ukiona passo inauzwa milion 3 usinunue toka mbio. Tena kimbia Sana. Hata ukiangua ùkiumia unuka vumilia we kimbia tu. Passo ya cc 1290 kali kabisa ukibahatika labda milioni 6.5 lakini inaweza kufika hadi milioni 8. Hizo ni bei za mkononi sio za kuagiza nje. Kwa watu wa vipato vya kawaida ukinunua gari hii ukaitunza na kuipenda yaani utasahau nauli za daladala.
 
Bora nitembee kwa TZ 11 kuliko kuwa na passo au fan cargo....bora nisiwe na gari kuliko kutembelea kibiriti.

Hivyo vibiriti waachieni watoto wa shule,namshangaa Mussa Kipanya Super Star amefanya kazi miaka kibao lakini anatembelea KIBIRITI yaani ameshindwa hata kuvuta Crown? Kwakuwa yupo WCB nadhani ataji-upgrade hadi Salma Dakota alimpiga DONGO juzi na KIBERITI chake.
 
Acha dhereu
 
Acha dhereu
Mtu ambaye hajawai kumilikia gari anakuwa na mzuka sana wa kuwa na gari hivyo ataanza kununua KIBIRITI ili aoshee kitaani.....Siyo dharau mkuu ni mtizamro wangu ,mimi siwezi kununa sijui passo ,fan cargo ,vitz halafu nitembelee ,hizo gari ni kumnunulia mwanao aendelee college au dada wa kazi aendee sokoni kununua bidhaa.

Ni mtizamo tu ,kama sina uwezo wa kununua gari ninayoipenda ni bora nipige ng'ondi tu.
 
Unazidi kuniumiza roho
 
Anyway, I accept the challenge.

Natarajia in two years nitoke kwenye boda mpaka Vitz ya cc 990 au Passo.

Next challenge ni within 3 years kuifikia gari ya cc 1500 in VW

I hope I will make it
 
Tuko pamoja Mkuu, napiga hesabu hizi pia. Naamini tunafanikisha.
 
Wewe sio dereva, mm nasafiri na hii gari mwanza dar sio mara moja huwa nasafiri kila baada ya miezi3 na huwa nasafiri kila wiki 700km haijawahinipa shida sijui unaposema ni ya safari fupifupi una basisi zipi
nafikiri muambie unatumia passo yenye engine gani sidhani kama unayotumia wewe ni cc900
 
Bora nitembee kwa TZ 11 kuliko kuwa na passo au fan cargo....bora nisiwe na gari kuliko kutembelea kibiriti.

Hivyo vibiriti waachieni watoto wa shule,namshangaa Mussa Kipanya Super Star amefanya kazi miaka kibao lakini anatembelea KIBIRITI yaani ameshindwa hata kuvuta Crown? Kwakuwa yupo WCB nadhani ataji-upgrade hadi Salma Dakota alimpiga DONGO juzi na KIBERITI chake.
tunatofautiana sana kwenye personality na preference wala usimshangae, wewe gari yako unaweza kua unaitumia kwa mauzo ila others wanaangalia namna gari inamfaidisha safari zake mbali mbali.
 
Back
Top Bottom