Mafeking
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 225
- 471
Hiyo chuma hapo pikipikCc 200 Passo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo chuma hapo pikipikCc 200 Passo?
Anhaa yeah hapo sawa kabisaHiyo chuma hapo pikipik
Mkuu ukiona passo inauzwa milion 3 usinunue toka mbio. Tena kimbia Sana. Hata ukiangua ùkiumia unuka vumilia we kimbia tu. Passo ya cc 1290 kali kabisa ukibahatika labda milioni 6.5 lakini inaweza kufika hadi milioni 8. Hizo ni bei za mkononi sio za kuagiza nje. Kwa watu wa vipato vya kawaida ukinunua gari hii ukaitunza na kuipenda yaani utasahau nauli za daladala.H
izi zipo kuanzia 3mil unapata
Mil 3 duuh ndogo sana hiiH
izi zipo kuanzia 3mil unapata
Hiyo ya cc 600 ndio naitaka.Hyo 6ml kuna sehemu niliulizia ila zpo Ml 4 cc250....pia 3.5ml cc200
Zpo adi za ml 9 Dayun cc 600
Miguu miwili..Cc 200 Passo?
Acha dhereuBora nitembee kwa TZ 11 kuliko kuwa na passo au fan cargo....bora nisiwe na gari kuliko kutembelea kibiriti.
Hivyo vibiriti waachieni watoto wa shule,namshangaa Mussa Kipanya Super Star amefanya kazi miaka kibao lakini anatembelea KIBIRITI yaani ameshindwa hata kuvuta Crown? Kwakuwa yupo WCB nadhani ataji-upgrade hadi Salma Dakota alimpiga DONGO juzi na KIBERITI chake.
Ist ni Bajaji yenye usukaniIst ni gari nzuri ila tofauti yake ist hainesi kama passo, passo ipo luxury ukilinganisha na ist ka ist ndani kamebana sana passo ndabi kubwa ina space
Zi suggest basi mkuuSawa lakini zipo gari nyingi tu ambazo mtu anayejitafuta anaweza kuchukua sio passo
Mtu ambaye hajawai kumilikia gari anakuwa na mzuka sana wa kuwa na gari hivyo ataanza kununua KIBIRITI ili aoshee kitaani.....Siyo dharau mkuu ni mtizamro wangu ,mimi siwezi kununa sijui passo ,fan cargo ,vitz halafu nitembelee ,hizo gari ni kumnunulia mwanao aendelee college au dada wa kazi aendee sokoni kununua bidhaa.Acha dhereu
Kwel kabisaa.. Mad Max Umem quote mwenzio bado analia lia huko kala cha mbavu 🤣🤣🤣🤣 hata magar sasa hiv hana hamu nayo 😆
Unazidi kuniumiza rohoMtu ambaye hajawai kumilikia gari anakuwa na mzuka sana wa kuwa na gari hivyo ataanza kununua KIBIRITI ili aoshee kitaani.....Siyo dharau mkuu ni mtizamro wangu ,mimi siwezi kununa sijui passo ,fan cargo ,vitz halafu nitembelee ,hizo gari ni kumnunulia mwanao aendelee college au dada wa kazi aendee sokoni kununua bidhaa.
Ni mtizamo tu ,kama sina uwezo wa kununua gari ninayoipenda ni bora nipige ng'ondi tu.
Anyway, I accept the challenge.Mtu ambaye hajawai kumilikia gari anakuwa na mzuka sana wa kuwa na gari hivyo ataanza kununua KIBIRITI ili aoshee kitaani.....Siyo dharau mkuu ni mtizamro wangu ,mimi siwezi kununa sijui passo ,fan cargo ,vitz halafu nitembelee ,hizo gari ni kumnunulia mwanao aendelee college au dada wa kazi aendee sokoni kununua bidhaa.
Ni mtizamo tu ,kama sina uwezo wa kununua gari ninayoipenda ni bora nipige ng'ondi tu.
Anyway, I accept the challenge.
Natarajia in two years nitoke kwenye boda mpaka Vitz ya cc 990 au Passo.
Next challenge ni within 3 years kuifikia gari ya cc 1500 in VW
I hope I will make it
Tuko pamoja Mkuu, napiga hesabu hizi pia. Naamini tunafanikisha.Anyway, I accept the challenge.
Natarajia in two years nitoke kwenye boda mpaka Vitz ya cc 990 au Passo.
Next challenge ni within 3 years kuifikia gari ya cc 1500 in VW
I hope I will make it
nafikiri muambie unatumia passo yenye engine gani sidhani kama unayotumia wewe ni cc900Wewe sio dereva, mm nasafiri na hii gari mwanza dar sio mara moja huwa nasafiri kila baada ya miezi3 na huwa nasafiri kila wiki 700km haijawahinipa shida sijui unaposema ni ya safari fupifupi una basisi zipi
tunatofautiana sana kwenye personality na preference wala usimshangae, wewe gari yako unaweza kua unaitumia kwa mauzo ila others wanaangalia namna gari inamfaidisha safari zake mbali mbali.Bora nitembee kwa TZ 11 kuliko kuwa na passo au fan cargo....bora nisiwe na gari kuliko kutembelea kibiriti.
Hivyo vibiriti waachieni watoto wa shule,namshangaa Mussa Kipanya Super Star amefanya kazi miaka kibao lakini anatembelea KIBIRITI yaani ameshindwa hata kuvuta Crown? Kwakuwa yupo WCB nadhani ataji-upgrade hadi Salma Dakota alimpiga DONGO juzi na KIBERITI chake.