Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

kabisa Dr.Luu
 
mazoezi ni muhimu sana, ni bima ya afya yako kwa baadae, ukifika miaka 35 kwenda mbele unakua hauumwi ovyo
 
Na ndio maana mimi kucheza mpira sijaacha mpaka umri huu Sasà wa miaka 37, hayo ni mazoezi tosha kwangu
 
kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
Wazo nizuri sana na ni la msingi sana na Uzuri kisukari ukiwahi kabla ya hatari kubwa unaishi nacho miaka 1000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…