sahihi kabisa hakikisha jasho linatokaUkiachana na mazoezi pia kazi ndogo ndogo za nyumbani na kijamii sio za kumuachia msaidizi. Palilia,fyeka,katia maua na kazi zote ambazo zitafany Mwili wako ushughulike haswa(kwa wale ambao hutumia muda mwingi ofisini)
Maji siwezi acha kama ambavyo siwezi acha mazoezi bwashee 😁 mda mwingine natamani hata kunenepa kidogo nipate uzoefu mpya na mimi😅ila pia maji uache sasa
Facilities ni chache. Hata huko wanaporundikana wanaishia kuliwa hela zao tu wala hawapati tibaTatizo bongo wagonjwa wanarundikana wengi pia katika hospitali chache kwa hiyo unaweza kufikiria watu wanaumwa sana hivyo kumbe kawaida tu huduma ndio changamoto.
Kutembea mimi naona sio mazoezi kwa sababu kila mtu anatembea mkuu na bado matatizo ya uzito yapoTembea walau hatua elfu 8 kwa siku
Goti linasumbuaKimbia uchome zaidi na kutafuta pumzi
Amesema vijana kwa sababu ukiona mzee anaumwa magonjwa ya kutoambukiza maana yake yalijitengeneza kwa muda mrefu tangu akiwa kijana hasa ile miaka ya balehe.Mazoezi ni kwa kila rika na kwa wakati wote wa maisha
Unatakiwa utembee kwa zaidi ya nusu saa kila siku.Kutembea mimi naona sio mazoezi kwa sababu kila mtu anatembea mkuu na bado matatizo ya uzito yapo
Nimemwelewa sijui kwa nini umeona sijaelewa🤔Amesema vijana kwa sababu ukiona mzee anaumwa magonjwa ya kutoambukiza maana yake yalijitengeneza kwa muda mrefu tangu akiwa kijana hasa ile miaka ya balehe.
Hivyo, ukifikisha miaka 30 ni vyema kubadilisha mfumo wa maisha ikiwemo ulaji na mazoezi mana impact yake utaiona kuanzia miaka 50
Mhm huu ni aina ya uvivu wa mazoezi tu bwasheeUnatakiwa utembee kwa zaidi ya nusu saa kila siku.
No,hatua elfu 8 ni 7km,wanaotembea hawatembei umbali huo,zamani wakati hakuna bodaboda mikoani,watu hawakua na vitambi wala uzito mkubwa,maana shule unakuta ipo 2km na unaenda na kurudi mara nne kwa siku(8km), hiyo ni pamoja na waalimuKutembea mimi naona sio mazoezi kwa sababu kila mtu anatembea mkuu na bado matatizo ya uzito yapo
Shida ni nini?Goti linasumbua
Mara nyingi jioni nafataga mahindi ya kuchoma mbali kidogo na ninapo ishi, nahisi itanisaidiaTembea walau hatua elfu 8 kwa siku
Nikikimbia 2km goti linaanza kuuma tu,sijui shida niniShida ni nini?
Kukimbia nje ni zaidi,ila kwa dar usiombe ukutane na watu wanakimbiza mwizi halafu mwizi kala kona,watakuungia weweunaweza nunua mashine za kukimbia ukaweka home japo kukimbia nje nzuri zaidi unarefresh na ubongo kidogo na kukutana nawatu pia