Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ha...ha...ha. Umenikumbusha Connotative meaning. Somo la Sementic ni tamu sana aiseeh.

Hao wengi hawafiki huko.
 
Ha...ha...ha. Umenikumbusha Connotative meaning. Somo la Sementic ni tamu sana aiseeh.

Hao wengi hawafiki huko.

Hiyo ndio shida ya kukimbia Shule.

Yeye akisikia mungu anafikiri huyo mungu Hana jina?
Ndio maana kuna Proper nouns ambazo zipo kwaajili ya kutambulisha mtu, kitu au mahali mahususi.
Yeye hapo anashindwa kufafanua na kuelewa mpaka natamani niwe upande wake nimjibie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106]
 
Hapa kuna vitu viwili kuna "NIKO AMBAYE NIKO" na kuna "YEHOVA".

Sasa naomba unisaidie Yehova maana yake nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeisha kueleza huko juu kuwa unapojadiliana nami,kazichukue kwanza akili ulikoziacha ndiyo uje.

Nilikuacha huko ulikokuwa unakomaa na eti personal name!Yaani wewe unaona Mwenyezi Mungu ni sawa na wewe tu eti?
Yaani wewe uwe na personal name na Mwenyezi Mungu naye awe na personal name kama wewe!?
Kwako wewe Mwenyezi Mungu ni
Kitu rahisi tu kama wewe!?

ALLAH ni huyu hapa,

اللَّهُ لَا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ ۚ لَا تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلَا نَوْمٌ ۚ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِندَهُ إِلَّا بِإِذْنِهِ ۚ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ ۖ وَلَا يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلَّا بِمَا شَاءَ ۚ وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ ۖ وَلَا يَئُودُهُ حِفْظُهُمَا ۚ وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ

(AL - BAQARA - 255)
Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.

ALLAH NI LIKITU LIKUBWAAAA SAAAAAANA!.
 
MWARABU ASILI NI HUYU HAPA,
MAISHA YAKE ALIYAISHI KATI YA MTO NAILI NA MTO EFRAT.
 
Tatizo lako wewe ni kushindwa kuelewa hoja zangu, mimi sina tatizo na maana ya majina ambayo ni personal names na wala sipingi kwamba Yahweh sio personal name ya Mungu kwa sababu ya maana yake bali nimeeleza kwamba Yahweh si personal name ya Mungu bali ni title tu kama zengine, na hilo Yahweh lina maana ya "Bwana".

Ila wewe ukapinga ukasema Yahweah ni personal name ya Mungu na lina maana ya NIKO AMBAYE NIKO. Kwahiyo ubishi wetu upo hapo.
 

Unaposema title unamaanisha nini?
 
Kwa sababu hujui msingi Mkuu wa hizo dini upo wapi, hivyo sio ajabu hujaelewa naulizia nini
Umedandia tu treni kwa mbele, mimi nimesema uislamu hauna unachoficha uislamu unahimiza kila muislamu kusoma elimu ya dini yake. Hivyo kwenye uislamu ni suala la wewe tu kutafuta elimu kadri uwezavyo hakuna habari za masheikh kuficha mambo kwenye uislamu.
 

Haya jibu swali langu Kule juu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Mambo ya dini yana maswali mengi ambayo hayana majibu kwanza tuweke pembeni bible na quran haya maandishi yamegunduliwa mwaka gan.!? Na hizi biblia na quranzimeandikwalin jama ziliandikwa toka zaman huko zaman waliandika waap tunaomba kujuaa
 
Mambo ya dini yana maswali mengi ambayo hayana majibu kwanza tuweke pembeni bible na quran haya maandishi yamegunduliwa mwaka gan.!? Na hizi biblia na quranzimeandikwalin jama ziliandikwa toka zaman huko zaman waliandika waap tunaomba kujuaa

Hayo ni maandiko tuu ya kujifunza, hayana maana yoyote
 
Quran haijui wapi dunia imetoka ilipo na wapi inapoenda. Wakati Biblia inaeleza wapi Dunia ilipotoka na wapi ilipo na inapokwenda.🤣🤣
 
Jamaa watakutajia Takbiir badala ya kujibu hoja😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…