Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Itakuwa dawa imeanza kufanya kazi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipepe%2B6.jpg
 
Alafu wewe,uwe unatumia japo akili kidogo ulizobaki nazo kichwa.

Jina Yehova ni jina alilojitambulisha Mungu Mwenyezi kwa wana wa Israel tu.Na hapa ujue wana wa Israel ni uzao wa Yakobo tu.
Ndiyo maana unaona hapo Mungu Mwenyezi anasema ku huko mwanzo yeye hakujitambulisha kwa jina hilo.
Japo kuwa yeye ndeye Mwenyezi Mungu wa babu na baba zao.

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

Na ikasisitizwa kuwa jina hilo litabaki hivyo kwa vizazi vya wana wa Israel siku zote.
Sasa wewe kulazimisha kutumia jina Yehova,ni kujichetua tu.
Vinginevyo uweke ushahidi hapa kuwa wewe pia ni katika vizazi vya wana wa Israel.

Hivi unaelewa kinachojadiliwi humu?

Nani kasema hapa anamuamini huyo Yehova au Allah?

Mada inazungumzia Jambo jingine, wewe unazungumzia Jambo jingine.

Hapa tunalinganisha vitabu, usahihi wake, kipi kiwe rejea kuu, kitabu kipi kimeiba matini kutoka kitabu chenzake,
Yehova na Allah nani kamuibia mwenzake madini.

Hayo ndio yapo kwenye mjadala,
Sasa wewe unaleta mambo ya kuamini hiyo miungu, hiyo ni kesi nyingine Kabisa.

Ambayo nafikiri ukitaka unaweza ianzishia Uzi.
Kama utashindwa nitaanzisha Uzi wake na nitakuwekea Yale uyatakayo kuhusu ni Kwa nini Yehova anastahili kuwa Mungu wa mataifa yote Duniani, na rejea za kutosha kuhusu Hilo.

Mjadala uliopo hapa mpaka sasa Quran imeshashindwa kutokana na watetezi wake kushindwa kutoa hoja zenye mantiki, na mnaanzisha hoja zisizohusiana na Shauri lililopo mahakamani.

Na hiyo ni kutokana na Elimu yenu kuwa ndogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni jina la Mwenyezi Mungu kwa watu wote lilo katika lugha ya Kiarabu.

Tupe personal name yake sasa!
Kama Allah ni kiarabu kumaanisha Mungu Kwa lugha ya Kiswahili.
Tupe Personal name yake.

Alafu hoja hii imewashinda wakubwa zako wenye Elimu, Taaluma ya sheria, tangu huko juu kwenye mjadala.
Sasa wewe na elimu yako ya kiokoteza huenda unaweza kuwaokoa.

Naomba ukijibu ujibu moja Kwa moja swali,
Allah ni Mungu Kwa kiarabu
Personal name yake ni ________

Karibu
 
Tutaelewana tu.

Hoja yangu ni kwamba Yahweh ni title tu yenye maana ya "Bwana" The Lord, na ndio maana utaona Kutoka 3:15 inajieleza vizuri tu:

"Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote."

Sasa wewe unakuja kusema hiyo expression ya "I am who I am" ni tafsiri ya neno Yahweh, hapo ndio nikakwambia umepata wapi hiyo tafsiri?

Ndio maana ukaambiwa shule ni MUHIMU.

Kasome Aina za maneno uzielewe vizuri hasa "NOMINO"

Kwa kukusaidia, Nomino ni Aina ya maneno inayotambulisha majina ya watu,vitu, mahali, hali na Jambo Fulani n.k
Kuna Aina za nomino Kati ya hizo ni Nomino ya pekee na nomino za kawaida.

Nomino ya pekee ni majina yanayotambulisha mtu au kitu au mahali mahususi.
Mfano Robert Heriel hiyo ni nomino ya pekee.
Au Jakaya kikwete hiyo ni nomino ya pekee.

Nomino ya kawaida
Ni majina yanayotambulisha majina ya kawaida au ya jumla jumla na sio mahususi.
Mfano Mlima, mto, Waziri, Rais, Mheshimiwa n.k

Mfano ukisema Mheshimiwa Jaji. Hiyo ni nomino ya kawaida, ipo jumlajumla haimtambulishi mtu mahususi.

Lakini ukisema Mheshimiwa Jaji Rashid hamduni. Hapo umetumia nomino ya kawaida na nomino ya kawaida ili kumtambulisha mhusika.

Tukirejea kwenye Hoja yako.
Ukisema neno "Bwana"
Hilo halitambulishi mtu au mhusika mahususi,
Ukiongeza "BWANA MUNGU" pia haitambulishi mhusika mahususi.
Bado watu hawatamtambua ni mhusika gani anayezungumziwa.

Ukiongeza Bwana Mungu wa Israel, hapo utakuwa umeshamtaja mhusika kuwa ni Yehova. Kwa sababu tayari Mungu wa Israel jina lake linafahamika.

Ni Sawa useme,
Mheshimiwa Rais,
Watu hawatajua ni mhusika gani umemlenga,
Ukiongeza Mheshimiwa Rais wa Tanzania moja Kwa moja watu watamjua ni Samia Suluhu.

Ukisema Mheshimiwa Rais mstaafu,
Hapo hautakuwa umetaja mhusika kwani wastaafu wapo wengi, lakini ukiongeza Mheshimiwa Rais Mstaafu WA awamu ya pili, hapo hata usipotaja jina watu watakisia kuwa unamtaja Hassan mwinyi ikiwa upo unaishi Tanzania.
Ingawaje mahakamani Kama hukutaja Tanzania unaweza kujitetea, Ila wataangalia na muktadha wa Mazingira na mazungumzo.

Kusema Bwana Mungu haitoshi kuelezea ni Mungu yupi, ndio maana wanaongezea Bwana Mungu, Mungu WA Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Ili kumrejelea Yehova, yaani watu watambua anayezungumziwa hapo ni Yehova.

Kumbuka tupo mahakamani, hivyo Logic ni muhimu zaidi.

Alafu kumbuka walioandika maandiko hayo ya kiyahudi walikuwa wanaakili ndio maana kila taarifa muhimu waliweka.

Sasa Kama wewe hujui mambo madogo Kama hayo, basi huu mjadala haukufai labda uwe unauliza Kwa ajili ya kujifunza,na sio kubisha Kama mtu anayejifanya anajua wakati hujui hata mambo madogo
 
Hizi story za dini zimekaa kama story za kalynda E-commerce na mchina wao Mr.Thomas tunapangwa sana
 
Hivi unaelewa kinachojadiliwi humu?

Nani kasema hapa anamuamini huyo Yehova au Allah?

Mada inazungumzia Jambo jingine, wewe unazungumzia Jambo jingine.

Hapa tunalinganisha vitabu, usahihi wake, kipi kiwe rejea kuu, kitabu kipi kimeiba matini kutoka kitabu chenzake,
Yehova na Allah nani kamuibia mwenzake madini.

Hayo ndio yapo kwenye mjadala,
Sasa wewe unaleta mambo ya kuamini hiyo miungu, hiyo ni kesi nyingine Kabisa.

Ambayo nafikiri ukitaka unaweza ianzishia Uzi.
Kama utashindwa nitaanzisha Uzi wake na nitakuwekea Yale uyatakayo kuhusu ni Kwa nini Yehova anastahili kuwa Mungu wa mataifa yote Duniani, na rejea za kutosha kuhusu Hilo.

Mjadala uliopo hapa mpaka sasa Quran imeshashindwa kutokana na watetezi wake kushindwa kutoa hoja zenye mantiki, na mnaanzisha hoja zisizohusiana na Shauri lililopo mahakamani.

Na hiyo ni kutokana na Elimu yenu kuwa ndogo
Ni wewe uliye ya andika haya.

Code:
Mbona kama huelewi Kiswahili ndugu wakili.
Embu soma haya maandiko vizuri,

Maandiko yanasema Yehova ni mungu aliyemtokea Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ila tofauti ni kuwa Kwa hao hakujitambulisha jina lake.
Soma;
Kutoka 6:2 
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA; 

Kutoka 6:3 
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao. 

kweli akili ni Mali.
Allah ni mungu wa waarabu, hawezi kuandika torati, injili, na zaburi ambayo ni vitabu vya Wayahudi ambao Mungu wao ni Yehova.

Na Yehova hawezi andika Quran kwani Quran ni kitabu cha Allah mungu wa waarabu.

Hoja iliyopo mezani kuwa iweje Allah aibe maandiko ya Yehova na kumpatia Muhammad? Alafu akayaita Quran?

1)Ibrahim,Isaka na Yakobo hawakumtambua Mungu Mwenyezi kwa jina la Yehova.
Je,walimtambua kwa jina gani?.

2)Allah Ndiye aliyevileta vitabu vya mwanzo na ndiye aliyechukua nukuu za vitabu na kuviweka katika Quran.

3)Allah ni Mungu wa waarabu ndiyo.
Waarabu wenyewe ni hawa,

Tukisoma ndani ya biblia,

1 Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini.
Mwanzo 13:1

2 Naye Abramu alikuwa ni tajiri sana kwa mifugo, kwa fedha, na kwa dhahabu.
Mwanzo 13:2

3 Akaendelea kusafiri kutoka kusini mpaka Betheli, mahali pale palipokuwapo hema yake kwanza kati ya Betheli na Ai;
Mwanzo 13:3

4 napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la Bwana hapo.
Mwanzo 13:4

5 Na Lutu aliyesafiri pamoja na Abramu, yeye naye alikuwa na makundi ya ng'ombe na kondoo, na hema.
Mwanzo 13:5

6 Na ile nchi haikuwatosha, ili wakae pamoja; maana mali zao zilikuwa nyingi, hata wasiweze kukaa pamoja.
Mwanzo 13:6

7 Kukawako ugomvi kati ya wachunga wanyama wa Abramu, na wachunga wanyama wa Lutu; na siku zile Wakanaani na Waperizi walikuwa wakikaa katika nchi.
Mwanzo 13:7

8 Abramu akamwambia Lutu, Basi, usiwepo ugomvi, nakusihi, kati ya mimi na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wachungaji wako; maana sisi tu ndugu.
Mwanzo 13:8

9 Je! Nchi hii yote haiko mbele yako? Basi ujitenge nami, nakusihi; ukienda upande wa kushoto, nitakwenda upande wa kuume; ukienda upande wa kuume, nitakwenda upande wa kushoto.
Mwanzo 13:9

10 Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora, lilikuwa kama bustani ya Bwana, kama nchi ya Misri hapo unapokwenda Soari.
Mwanzo 13:10

11 Basi Lutu akajichagulia Bonde lote la Yordani; Lutu akasafiri kwenda upande wa mashariki; wakatengana wao kwa wao.
Mwanzo 13:11

14 Bwana akamwambia Abramu, alipokwisha kutengana na Lutu, Inua sasa macho yako, ukatazame kutoka hapo ulipo, upande wa kaskazini, na wa kusini na wa mashariki na wa magharibi;
Mwanzo 13:14

15 maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Mwanzo 13:15
Unaona sasa,kumbe Ibrahim aliishi sana katika ukanda wa waarabu.Lakini unaweza sema hapana,Misri hiyo si Misri ya sasa.

Lakini ukiangalia mipaka ya nchi waliopewa uzao wake Ibrahim ndiyo utajua kwa undani mipaka yake.

Ebu tuone mipaka hii na tuitafute katika mipaka ya Sasa.

18 Siku ile Bwana akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,
Mwanzo 15:18

19 Mkeni, na Mkenizi, na Mkadmoni,
Mwanzo 15:19

20 na Mhiti, na Mperizi, na Mrefai,
Mwanzo 15:20

21 na Mwamori, na Mkanaani, na Mgirgashi, na Myebusi.
Mwanzo 15:21

Sasa unapoleta malalamiko uwe unaleta kwa akili.
 
Ndio maana ukaambiwa shule ni MUHIMU.

Kasome Aina za maneno uzielewe vizuri hasa "NOMINO"

Kwa kukusaidia, Nomino ni Aina ya maneno inayotambulisha majina ya watu,vitu, mahali, hali na Jambo Fulani n.k
Kuna Aina za nomino Kati ya hizo ni Nomino ya pekee na nomino za kawaida.

Nomino ya pekee ni majina yanayotambulisha mtu au kitu au mahali mahususi.
Mfano Robert Heriel hiyo ni nomino ya pekee.
Au Jakaya kikwete hiyo ni nomino ya pekee.

Nomino ya kawaida
Ni majina yanayotambulisha majina ya kawaida au ya jumla jumla na sio mahususi.
Mfano Mlima, mto, Waziri, Rais, Mheshimiwa n.k

Mfano ukisema Mheshimiwa Jaji. Hiyo ni nomino ya kawaida, ipo jumlajumla haimtambulishi mtu mahususi.

Lakini ukisema Mheshimiwa Jaji Rashid hamduni. Hapo umetumia nomino ya kawaida na nomino ya kawaida ili kumtambulisha mhusika.

Tukirejea kwenye Hoja yako.
Ukisema neno "Bwana"
Hilo halitambulishi mtu au mhusika mahususi,
Ukiongeza "BWANA MUNGU" pia haitambulishi mhusika mahususi.
Bado watu hawatamtambua ni mhusika gani anayezungumziwa.

Ukiongeza Bwana Mungu wa Israel, hapo utakuwa umeshamtaja mhusika kuwa ni Yehova. Kwa sababu tayari Mungu wa Israel jina lake linafahamika.

Ni Sawa useme,
Mheshimiwa Rais,
Watu hawatajua ni mhusika gani umemlenga,
Ukiongeza Mheshimiwa Rais wa Tanzania moja Kwa moja watu watamjua ni Samia Suluhu.

Ukisema Mheshimiwa Rais mstaafu,
Hapo hautakuwa umetaja mhusika kwani wastaafu wapo wengi, lakini ukiongeza Mheshimiwa Rais Mstaafu WA awamu ya pili, hapo hata usipotaja jina watu watakisia kuwa unamtaja Hassan mwinyi ikiwa upo unaishi Tanzania.
Ingawaje mahakamani Kama hukutaja Tanzania unaweza kujitetea, Ila wataangalia na muktadha wa Mazingira na mazungumzo.

Kusema Bwana Mungu haitoshi kuelezea ni Mungu yupi, ndio maana wanaongezea Bwana Mungu, Mungu WA Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Ili kumrejelea Yehova, yaani watu watambua anayezungumziwa hapo ni Yehova.

Kumbuka tupo mahakamani, hivyo Logic ni muhimu zaidi.

Alafu kumbuka walioandika maandiko hayo ya kiyahudi walikuwa wanaakili ndio maana kila taarifa muhimu waliweka.

Sasa Kama wewe hujui mambo madogo Kama hayo, basi huu mjadala haukufai labda uwe unauliza Kwa ajili ya kujifunza,na sio kubisha Kama mtu anayejifanya anajua wakati hujui hata mambo madogo
Umezunguka koote kwenye nomino na mifano kibao ila hujajibu hoja za msingi hapa.

1. Yahweh ni title yenye maana ya "The Lord" inakusudia Mungu na si kwamba Yahweh ni Personal name ya Mungu.

2. "NIKO AMBAYE NIKO" huu ni usemi tu ila wewe unadai kwamba hiyo ni tafsiri ya neno Yahweh, ndipo nimekuuliza umepata wapi hiyo tafsiri ya kwamba Yahweh tafsiri yake ni NIKO AMBAYE NIKO ??

Vitu vyengine vipo wazi kabisa Yehova lingekuwa ni personal name ya Mungu lingejulikana toka kwa Adam huko ila sio et toka Adam huko jina la Mungu halijulikani halafu lije kujulikana wakati wa Musa, halafu ukihoji kwanini iwe hivyo mtu anakujibu et jina la Mungu halitajwi tajwi hovyo!
 
Tupe personal name yake sasa!
Kama Allah ni kiarabu kumaanisha Mungu Kwa lugha ya Kiswahili.
Tupe Personal name yake.

Alafu hoja hii imewashinda wakubwa zako wenye Elimu, Taaluma ya sheria, tangu huko juu kwenye mjadala.
Sasa wewe na elimu yako ya kiokoteza huenda unaweza kuwaokoa.

Naomba ukijibu ujibu moja Kwa moja swali,
Allah ni Mungu Kwa kiarabu
Personal name yake ni ________

Karibu
Allah ni Mwenyezi Mungu na haina maana ya Mungu kama Mungu.

Mungu kwa kiarabu ni Ilah.
Na kwa nyongeza yako tu,Ilah ina maana ya mungu,miungu,pia Ilah ina jinsia ya kike na kiume.
 
Umezunguka koote kwenye nomino na mifano kibao ila hujajibu hoja za msingi hapa.

1. Yahweh ni title yenye maana ya "The Lord" inakusudia Mungu na si kwamba Yahweh ni Personal name ya Mungu.

2. "NIKO AMBAYE NIKO" huu ni usemi tu ila wewe unadai kwamba hiyo ni tafsiri ya neno Yahweh, ndipo nimekuuliza umepata wapi hiyo tafsiri ya kwamba Yahweh tafsiri yake ni NIKO AMBAYE NIKO ??

Vitu vyengine vipo wazi kabisa Yehova lingekuwa ni personal name ya Mungu lingejulikana toka kwa Adam huko ila sio et toka Adam huko jina la Mungu halijulikani halafu lije kujulikana wakati wa Musa, halafu ukihoji kwanini iwe hivyo mtu anakujibu et jina la Mungu halitajwi tajwi hovyo!

Ndio maana nikakuambia Wewe bado uelewa wako ni mdogo.

Kwani Kwa uelewa wako wa maandiko, ni Nabii au Mtume yupi aliyeuliza jina la mungu zaidi ya Musa?

Embu nitajie manabii unaowajua waliokuwa nyuma ya Musa alafu elezea ni yupi Kati Yao aliyemuuliza Mungu jina lake, alafu utapata jibu Kwa nini jina la mungu halikufahamika (personal name yake)

The lord tafsiri yake ni Bwana,
 
Allah ni Mwenyezi Mungu na haina maana ya Mungu kama Mungu.

Mungu kwa kiarabu ni Ilah.
Na kwa nyongeza yako tu,Ilah ina maana ya mungu,miungu,pia Ilah ina jinsia ya kike na kiume.

Kwa hiyo personal name ya Allah ni ipi?
Mbona haujibu maswali uliyoulizwa?

Alafu ukishamaliza kutaja hiyo personal name ya Allah type Rejea kwenye maandiko
 
Ni wewe uliye ya andika haya.

Code:
Mbona kama huelewi Kiswahili ndugu wakili.
Embu soma haya maandiko vizuri,

Maandiko yanasema Yehova ni mungu aliyemtokea Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ila tofauti ni kuwa Kwa hao hakujitambulisha jina lake.
Soma;
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.

kweli akili ni Mali.
Allah ni mungu wa waarabu, hawezi kuandika torati, injili, na zaburi ambayo ni vitabu vya Wayahudi ambao Mungu wao ni Yehova.

Na Yehova hawezi andika Quran kwani Quran ni kitabu cha Allah mungu wa waarabu.

Hoja iliyopo mezani kuwa iweje Allah aibe maandiko ya Yehova na kumpatia Muhammad? Alafu akayaita Quran?

1)Ibrahim,Isaka na Yakobo hawakumtambua Mungu Mwenyezi kwa jina la Yehova.
Je,walimtambua kwa jina gani?.

2)Allah Ndiye aliyevileta vitabu vya mwanzo na ndiye aliyechukua nukuu za vitabu na kuviweka katika Quran.

3)Allah ni Mungu wa waarabu ndiyo.
Waarabu wenyewe ni hawa,

Tukisoma ndani ya biblia,

1 Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini.
Mwanzo 13:1

2 Naye Abramu alikuwa ni tajiri sana kwa mifugo, kwa fedha, na kwa dhahabu.
Mwanzo 13:2

3 Akaendelea kusafiri kutoka kusini mpaka Betheli, mahali pale palipokuwapo hema yake kwanza kati ya Betheli na Ai;
Mwanzo 13:3

4 napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la Bwana hapo.
Mwanzo 13:4

5 Na Lutu aliyesafiri pamoja na Abramu, yeye naye alikuwa na makundi ya ng'ombe na kondoo, na hema.
Mwanzo 13:5

6 Na ile nchi haikuwatosha, ili wakae pamoja; maana mali zao zilikuwa nyingi, hata wasiweze kukaa pamoja.
Mwanzo 13:6

7 Kukawako ugomvi kati ya wachunga wanyama wa Abramu, na wachunga wanyama wa Lutu; na siku zile Wakanaani na Waperizi walikuwa wakikaa katika nchi.
Mwanzo 13:7

8 Abramu akamwambia Lutu, Basi, usiwepo ugomvi, nakusihi, kati ya mimi na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wachungaji wako; maana sisi tu ndugu.
Mwanzo 13:8

9 Je! Nchi hii yote haiko mbele yako? Basi ujitenge nami, nakusihi; ukienda upande wa kushoto, nitakwenda upande wa kuume; ukienda upande wa kuume, nitakwenda upande wa kushoto.
Mwanzo 13:9

10 Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora, lilikuwa kama bustani ya Bwana, kama nchi ya Misri hapo unapokwenda Soari.
Mwanzo 13:10

11 Basi Lutu akajichagulia Bonde lote la Yordani; Lutu akasafiri kwenda upande wa mashariki; wakatengana wao kwa wao.
Mwanzo 13:11

14 Bwana akamwambia Abramu, alipokwisha kutengana na Lutu, Inua sasa macho yako, ukatazame kutoka hapo ulipo, upande wa kaskazini, na wa kusini na wa mashariki na wa magharibi;
Mwanzo 13:14

15 maana nchi hii yote uionayo, nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Mwanzo 13:15
Unaona sasa,kumbe Ibrahim aliishi sana katika ukanda wa waarabu.Lakini unaweza sema hapana,Misri hiyo si Misri ya sasa.

Lakini ukiangalia mipaka ya nchi waliopewa uzao wake Ibrahim ndiyo utajua kwa undani mipaka yake.

Ebu tuone mipaka hii na tuitafute katika mipaka ya Sasa.

18 Siku ile Bwana akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,
Mwanzo 15:18

19 Mkeni, na Mkenizi, na Mkadmoni,
Mwanzo 15:19

20 na Mhiti, na Mperizi, na Mrefai,
Mwanzo 15:20

21 na Mwamori, na Mkanaani, na Mgirgashi, na Myebusi.
Mwanzo 15:21

Sasa unapoleta malalamiko uwe unaleta kwa akili.

Shule ni muhimu Sana.

Kamuite mwalimu wako, huu Uzi umekuzidi uwezo.

Ibrahimu Hakuwa Muarabu.
Na hata nikikuambia utaje chanzo cha waarabu haujui.

Hujui muarabu ni Nani
Hujui chanzo na Asili ya muarabu
Hujui nchi za kiarabu ni zipi

Nakushauri, muite mwalimu wako.
Huyo mwalimu awe na angalau Degree moja, advance awe amesoma masomo ya Historia,
Lakini sio uniletee waalimu Kama kina mazinge ambao uelewa wao wa mambo ya kielimu ni Mdogo.
 
Kwa hiyo personal name ya Allah ni ipi?
Mbona haujibu maswali uliyoulizwa?

Alafu ukishamaliza kutaja hiyo personal name ya Allah type Rejea kwenye maandiko
Wameanza kumkanusha mungu wao Allah.
Mwenye mabinti watatu warembo, Uzza, Lutta na Manata.

Sisi tunawaambia ukweli wao, ambao wanafichwa na waalimu wao na hawataki kuelewa.

Kama wanajitambua nawaambia tena wakawaulize mashehe wao.

Vitendo vya kulisujudia Jiwe Jeusi la huko Maka,
Kulizunguka Kaaba wakiwa na kitambaa cheupe bila nguo za ndani, na
Kuweka sanamu za Nyota na Mwezi misikitini, ni ruhusa ipi ya Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi ?

Waombe Aya za vitabu vitakatifu vilivyo waruhusu kufanya hivyo vitendo.

Nipo nimekaa nakunywa kawaha nasubiri jibu.
 
Ukweli wanaujua sema hawapendi kuusema.

Allah anafahamika alikuwa anaabudiwa kwenye Alkaba pale Makka kama moja ya miungu wakuu Kati ya Ile miungu 360.
Watoto wa Allah wapo na wanafahamika Kwa Majina.

Ndio maana kuna siku niliwauliza humu Allah kabla ya Muhammad na Allah baada ya Muhammad ni kitu kimoja au ni miungu wawili tofauti?
Hakuna aliyenijibu.

Lakini ushahidi unaonyesha wazi kuwa Allah Yule aliyeabudiwa pale Alkaaba ndio huyuhuyu aliyeidhinishwa na Muhammad kwenye Quran.
Alichofanya Muhammad ni kuwatoa watoto wake hao watatu na kusema Hana watoto, hajazaa wala hajazaliwa.
Ila ibada zote za Allah mwenye watoto na huyu Allah wa Muhammad ni zilezile
 
Ndio maana nikakuambia Wewe bado uelewa wako ni mdogo.

Kwani Kwa uelewa wako wa maandiko, ni Nabii au Mtume yupi aliyeuliza jina la mungu zaidi ya Musa?

Embu nitajie manabii unaowajua waliokuwa nyuma ya Musa alafu elezea ni yupi Kati Yao aliyemuuliza Mungu jina lake, alafu utapata jibu Kwa nini jina la mungu halikufahamika (personal name yake)

The lord tafsiri yake ni Bwana,
Na kama ndio hivyo kwamba jina la Mungu halifahamiki hadi Mungu aulizwe basi hadi leo jina la Mungu halijulikani, maana Yehova sio personal name ya Mungu.

Hoja za msingi, Yahweh ni title yenye maana ya "The lord" na si personal name ya Mungu.

NIKO AMBAYE NIKO si tafsiri ya Yahweh.
 
Wameanza kumkanusha mungu wao Allah.
Mwenye mabinti watatu warembo, Uzza, Lutta na Manata.

Sisi tunawaambia ukweli wao, ambao wanafichwa na waalimu wao na hawataki kuelewa.

Kama wanajitambua nawaambia tena wakawaulize mashehe wao.

Vitendo vya kulisujudia Jiwe Jeusi la huko Maka,
Kulizunguka Kaaba wakiwa na kitambaa cheupe bila nguo za ndani, na
Kuweka sanamu za Nyota na Mwezi misikitini, ni ruhusa ipi ya Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi ?

Waombe Aya za vitabu vitakatifu vilivyo waruhusu kufanya hivyo vitendo.

Nipo nimekaa nakunywa kawaha nasubiri jibu.
Mkuu kwenye uislamu hakuna hakuna cha kuficha, yani katika uzuri wa uislamu moja ni hilo.
 
Na kama ndio hivyo kwamba jina la Mungu halifahamiki hadi Mungu aulizwe basi hadi leo jina la Mungu halijulikani, maana Yehova sio personal name ya Mungu.

Hoja za msingi, Yahweh ni title yenye maana ya "The lord" na si personal name ya Mungu.

NIKO AMBAYE NIKO si tafsiri ya Yahweh.
Hivi tukuamini wewe au Maandiko yetu.

Kutoka 3:13 Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n'nani? Niwaambie nini?

14 Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.

Unajua maana ya neno Jina ?
 
Na kama ndio hivyo kwamba jina la Mungu halifahamiki hadi Mungu aulizwe basi hadi leo jina la Mungu halijulikani, maana Yehova sio personal name ya Mungu.

Hoja za msingi, Yahweh ni title yenye maana ya "The lord" na si personal name ya Mungu.

NIKO AMBAYE NIKO si tafsiri ya Yahweh.

Unaelewa nini ukisikia mtu akisema Personal name?
Maana isijekuwa tunajadiliana alafu hujui lolote.

Kwa hiyo kwaajili yako Hizo personal name hazina meaning?

Kwa mfano personal name Kama "Israel" meaning yake ni "aliyeshindana na Mungu akashinda"
Kwa akili yako na Uelewa wako Personal name haina maana?

Kasome Kozi moja iitwayo Semantic/Semantiki ili uibusti akili yako kwenye ishu zinazohusiana na MAANA.
Hapo ni baada ya kusoma Aina za maneno.

Majina yanamaana, lakini katika maana hizo zipo maana ya Msingi, maana za ziada, maana dokezi, n.k.

Haya Kwa Uelewa wako Personal name ni nini?
Maana tumetoka kwenye mada inabidi tufundishe watu waliokimbia shule
 
Back
Top Bottom