Mkuu huyo yupo kwa ligi zaidi.Anaijua ndio.
Kama yeye ndiye aliyeandika Bible(maandiko matakatifu) iweje useme haijui.
Au neno Bible linakuchanganya?
Basi ita "Maandiko matakatifu" maana Hilo neno lilolotoholewa naona linakuchanganya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Angalia hili ngirimaji hata lugha tu linashindwa kuelewa... sasa hapo unashindwa kuelewa kwamba hiyo "huyo" inamrejea huyohuyo Jibril? Ndo utaelewa mambo mazito kwa spidi hiyo ya uelewa!!!?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😭😭Dah watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..so mussa alikuwa mwanafunzi wa yesu alikuwa na mfundisho wa yesu??mussa na yesu Nan wa kwanza kuja katika zama zake..kaandikaje wakati alikuja duniai kabla ya mugu wenu ambaye ni yesu .
Kwa vile halipo kweny qur an coz kweny qur an imesadifu yaliyopita yote...yote yamelewa ila hyo aya haipo na haingii akilini..sikia nakuuliza mussa na yesu Nan wa kwanza kuja ulimwenguni?Halimo kwenye torati, zaburi na injili ipi?
Wewe mkuu umejuaje halimo?
Em ziweke hapa namm nizisome nihakikishe kama kweli halimo.
Hilo halina ubishi, ila sasa tatizo ni dini yenyewe au wahusika?Hawa ndugu zetu wanakalia kukaririshwa kikasuku nao wanajiendea tuu.
Badala wajadili hoja naona wanapiga kelele na kutukana.
Eti hata mimi nashangaaMimi nashangaaga dini inavyowabagua wanawake na bado wanawake wapo tu humo.
Halafu bado wanaolewa wanne wanne.Eti hata mimi nashangaa
😂😂😂Mussa haijui bible kama unavyodanganywa vitabu vingi havikuwa zimewekwa kweny mfumo wa kusomeka Bali yalikuwa ni masimulizi na wahyi ..ni kwamba muss hakuandika biblia kama unabisha leta ushahidi hata aya kwny bible kwamba kipind cha mussa yey ndo alaindika bible?Wewe umeuliza Musa anaijua Biblia nikakujibu ndio anaijua.
Nikakuambia yeye kaandika Biblia alafu asiijue!
Nikakuambia Kama neno biblia lililotoholewa kwenye neno Bible kutoka Biblio linalomaanisha maandiko matakatifu linakuchanganya basi ita maandiko matakatifu kwani ndio Kiswahili.
Kuhusu Musa na Yesu naona unataka kuniuliza maswali ya kitoto ambayo hata Quran iliyo-copy maandiko ya kiyahudi imeeleza wazi
Kama wewe hata elimu zero ndo unapokimbilia kwa elimu gani zaidi ya kuiba mitihani mashule yenu vilaza wengi hamna jipya...Hilo halina ubishi, ila sasa tatizo ni dini yenyewe au wahusika?
Yani kama ni dini, je tukipata msomi muislam aliyesoma mpaka Phd nayeye atakuwa anajibu kwa kelele na kutukana hivyo?
Kama ni wahusika, ina maana waislam wengi hawaendi shule?Kwanini?
Huu sasa ni ujinga pro max.Kwa vile halipo kweny qur an coz kweny qur an imesadifu yaliyopita yote...yote yamelewa ila hyo aya haipo na haingii akilini..sikia nakuuliza mussa na yesu Nan wa kwanza kuja ulimwenguni?
Yaani acha tu ni yale majini yao yanawapumbaza wanakaa tu halafu wote wanamuhangaikia pamoja na dawa wanazoogea acha tu mpaka ujitambue kakuzalisha kachoka wanaume wakislamu nawaogopaga niliwahi kufungwa kwa nazi na nazi imeandikwa kiarabu nilichoka nilipogundua aisee eti niolewe niwe second wife naakila akiniambia kitu nifuate sio niamue mimi kama mimiHalafu bado wanaolewa wanne wanne.
(Na huwa hawapendi)
Naomba kama kweli ni mjuvi kama unavyojinasibu utoke kwenye GENERAL UENDE KWENYE SPECIF....
Lakini pia NAKUSHANGAA UNAVYOITOA BIBILIA KUTOKA MANENO YA MUNGU KUWA MASIMULIZI YA WATU KAMA YALIVYOWATOKEA... JE UNATAKA KUWEKA KWENYE MIZANIA MASIMULIZI YA WATU NA MANENO YA MOLA MLEZI AKIELEZEA JINSI ALIVYOWAANGAMIZA WALIOMKADHIBISHA AU ALIVYOWANUSURU WALIOMWAMINI
KAMA IBRAHIMU DHIDI YA KUCHOMWA MOTO, NUHU DHIDI YA GHARIKA AU MUSSA DHIDI YA FIRAUNI AU YESU DHIDI YA KUSULUBIWA? lakini Mola Mlezi haishii kusimulia tu BASI ANATOA BISHARA KWA YETU ATAKAYECHUKUA NJIA YA KUNDI LOLOTE KATI YA HAYO YALIYO PITA BASI AJUE KABISA NDIVYO YATAKAVYOKUWA MAFIKIO YAKE SAWA NA HAO WALIOPITA....
Lakini TOFAUTI na visa na matukio ya waliopita MOLA MLEZI AMEELEZA MAADA MBALIMBALI KWENYE QUR'AN KAMA;
1. Embryology rejea SURATUL muuminun aya za mwanzo
2. Akaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, mabadiliko ya usiku na mchana kama ishara ya uwepo wake...
3. Akaelezea masuala ya sheria kama MARRIAGE yupi na yupi wanaweza kuoana na yupi na yupi hawawezi kuoana, akaelezea masuala ya mirathi wanaopasa kurithi mpaka na viwango vyao,
4. Ameelezea masuala ya biashara na vilivyokatazwa katika biashara..
5. Ameelezea hali ya siku ya HUKUMU na watakavyokuwa watu siku hiyo....
6. Ameeleza juu ya HUKUMU ya vitu ZAKA NA MAKUNDI YANAYOPASWA KUPEWA HIYO ZAKA TOFAUTI NA BIBILIA AMBAYO HUWEZI KUPATA MGAWANYO HUO NA MATOKEO YAKE ZAKA NI YA VIONGOZI PEKEE...
7. Kwenye QUR'AN MOLA MLEZI Ameonya juu ya tabia mbaya kama UNAFIQ na mafikio yao, upunguzaji wa mizani katika mauziano, Uchawi n.k LAKINI HUWEZI KUKUTA VITU HIVYO WITH CLARITY AND CONSISTENT kwenye BIBLE...
8. Ameelezea mitume waliopita, mitihani walioipata kutoka kwa watu wao, yakini yao kwa Mola Mlezi na jinsi alivyowaokoa na MADHILA LAKINI PIA ANATOA BIDHARA KWETU SISI... Je unataka KUWEKA KWENYE MIZANI NA BIBILIA AMBAYO ndani anasimuliwa Mitume kwa uovu kama IFUATAVYO:
1. Abraham anatuhumiwa uzinzi
2. Nuhu anatuhumia Ulevi [Alcoholism]
3. Luti anatuhumia kuzini na binti zake
4. Daudi kuzini na mke wa kamanda wake na kumuua mwenye mke..
Uhalisia wa mambo hata tungechukua sample za matukio na kuyalinganisha kama yalivyosimuliwa na vyanzo vyote viwili utagundua kimoja hakiko consistent wala facts based na kingine simulizi ziko very clear, consistent and facts based...
1. Mfano nikikuambia lete simulizi ya Yusuf Alayhim Salam kama ilivyosimuliwa kwenye bibilia na kwenye Qur'an utaona utofauti
2. Malezi ya Maria mama wa Yesu, baba yake, mama yake, mlezi wake baada ya kufa kwa wazazi wake Mtume wa Allah Zakariah, miujiza yake kama kupokea chakula kutoka peponi/mbinguni, kuzaliwa kwa Yahaya, kuzaliwa kwa Yesu, miujiza ya Yesu kuwasemeza watu akiwa KICHANGA yako very clear, consistent na facts based kuliko unavyoweza kuyapata kwenye bibilia.
3. Matukio kama vijana wa pangoni na miujiza ya muda waliokuja pangoni, idadi yao na mbwa wao angalia kwenye BIBILIA na JINSI YALIVYO KWENYE QUR'AN ni mbingu na ardhi...
LAKINI PIA MPANGILIO WA MANENO YA BIBILIA NA QUR'AN:
1. Bibilia inajumuisha records za matendo na maneno ya Yesu pamoja na Maneno ya watu wengine KAMA MTUME PAULO ambyo sii maneno ya Yesu wala ya MUNGU lakini QUR'AN NI MANENO YA MOLA MLEZI KILA SURA INAANZA KWA JINA LAKE NA NANI MOLA MLEZI ANATUZUNGUMZISHA SISI WANAADAM
Note: USISOMA SURA YA 53 [NAJM] Mola Mlezi anaeleza haya HAYAKUWA NI MASIMULIZI YA MUHAMMAD ila ni WAHAY utokao Kwake YEYE
Nimechoka ngoja nifanye majukumu MENGINE
Wewe hata kuunda tu sentesi inaonekana unapata tabu sana.Kama wewe hata elimu zero ndo unapokimbilia kwa elimu gani zaidi ya kuiba mitihani mashule yenu vilaza wengi hamna jipya...
Sasa mmi nitaamini vip kitabu kimeandikwa Italy Tena Kuna sehemu kimeandikwa "upumbavu wa mungu" hata kama ni wewe japo ulipata zero form unaweza kweli ukakubali icho kitabu..elewa kitu kimoja vitabu vimekuja kuandikwa zama za mwisho baada ya mitume walishaondoka kama bible iliandikwa kipind cha yesu.Huu sasa ni ujinga pro max.
Unasema injiili ya bible imeongezewa vitu nakuuliza injili original ikowapi unanambia tena kuhusu habari za quran..Quran ndio injili original?
Mimi siiamini Quran.
Sasa hebu tuassume huu ni mwaka 300AD kabla ya Quran wala mtume kuzaliwa, ila biblia ipo.
Sasa hapa kwa muktadha huu, una hoja zipi za kusema injili ya biblia imechakachuliwa?
Wakati Mo anakufa aliacha kitabu kinaitwa Quran au maswahaba wake ndio waliokiandika ?Mkuu binafsi huwa naheshimu sana maandiko yko mengi ila hili nimekushusha thamani mpk kwenye 0 kiukweli,yan mpk nimerud tena juu nihakiki kma ni kweli ndo wewe uliyeandika hv,sijaamini kma ndo wewe unaweza kuandika nonsense kma hv.
Hv unaijua Quran sawasawa mkuu?
Ulishawahi kuisoma vzr ukaielewa?
Unajua Quran ni nini na ni maneno ya nani?
Unajua Muhammad yale si maneno yake?
Unawafahamu walioiandaa hiyo bible?Unaelewa makusudio yao?
Yan leo umeandika kama mtoto wa std7 aisee.....Kaa chini usome Quran uelewe sio unakurupuka tu
Sikujibu kwa qur an maana naona hauna hoja za maana ...njoo kweny ulingo unazunguka sasa mtu ulipata four form 4 Nibishane na wewe kwa lip? Kukariri tu hujui unakimbilia kwamba sitaki maandiko basi potea ,Nan apate tabu na mpubavu😂😂😂Wewe hata kuunda tu sentesi inaonekana unapata tabu sana.
Nilikua naamini Musa alishushiwa torati kule mlimani alikokwenda, kumbe tofauti!!?Hakuna kitabu kilichowahi kushushwa.
Alafu Elewa Torati, Zaburi na Injili walioiandika ni Wayahudi na Mungu wao ni Yahwe!
Alafu akatokea Allah wa waarabu akai-copy akaiita Quran.
Mpaka leo Mungu WA Wayahudi ni Yahwe.
Na mpaka leo Mungu WA Waarabu ni Allah.
Ndio maana kuna hoja nimelezea Jambo hili kama ushahidi kuonyesha Biblia inaweza kutumika kama Rejea kuu kuliko Quran.
Kwa sababu haiwezekan Allah mungu wa waarabu miaka zaidi ya elfu mbili yote awatumie Wayahudi Kama manabii alafu awaache watu wake(waarabu) alafu mara paah! Mwisho kabisa ndio amtumie Muarabu Kama Mtume WA mwisho. 😊 Tumia akili hata ya kuzaliwa. Halikadhalika na Yahwe miaka yote awatumie Wayahudi watu wake kama manabii alafu mara paap! Amuokote muarabu Muhammad mwishoni kama Nabii au Mtume. Hivi mlijifunza haya mambo wapi?