Wewe zaidi ya kukopi na kupest huwezi kutoa hoja toka kichwani mwako.
Hebu soma hapa.
Kutoka 3:15 Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
(Sema, kuna Wamakonde hapo au Waarabu?)
Hata hujuiUnazidi kujivua nguo kuonyesha ukaranga wako , ndio hivyo vitabu ni vya nani hapo ??
Mimi nimewauliza sana hili Swali na wanakwepa kwepa tu.
Tunataka andiko linalosema Mungu akamwambia Muhammadi.
"Mimi Mungu jina langu ni Allah, nakutuma ukaseme hivi na hivi kwa watu flani"
Kama Mungu alivyo mwambia Musa hapa.
Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli MIMI NIKO amenituma kwenu.
Tunaona maneno tu hakika sisi tumekuteremshia qurani ya ajabu.
Nasi tunakutuma ukawe mtume
Hayo maneno hata mimi naweza kuyasema.
Hata hujui
Torati
Zaburi
Injiri
Waliandika akina nani
Sasa sisi tukusaidieje mkuu.
Basi tufanye waliandika Wachaga.
Mwandishi wa kabila la IsraeliMungu akamwambia Musa , huyo anayesema hapo ni nani ??
Mwandishi wa kabila la Israeli
Aliyeandika hapo.
Au yaliandika Majini ?
Hivyo vitabu ni vya Waisraeli, wakiandika kuhusu Mungu wao Yehova.Swali ni vitabu hivyo ni vya nani ??? Au kiswahili umeanza kuwa huelewi ??? ukaranga umekuzidi ??
Huelewi kuwa vitabu hivyo ni vya Mungu ???
Lakini sio Biblia
Musa.Mwandishi huyo hana jina ??
Kwani kwa Yesu ilikuwaje yeye!Mtume Muhammad alikuwa ni mtu mwerevu sana.
Mwenye kumbukumbu nzuri na uwezo wa kusimulia hadithi alizozijua kutokana na kusafiri safiri kwake miji tofauti kibiashara.
Akiwa safarini Alisikia hadithi nyingi za dini zilizokuwepo kipindi hiko kutoka kwa Mayahudi (walioishi Arabuni wakati huo) na za Kikristo (kutoka kwa safari zake za kwenda Syria ki biashara) na akaunganisha hadithi alizozisikia kutoka kwenye dini tofauti hadi kwenye dini mpya aliyoianzisha ya kiislamu yenye hoja ya Mungu mmoja na yeye mwenyewe kama Mtume.
(Ni kama story za utani za kumsema nyerere enzi zile akiona kitu kwenye tv anakuja kusema ameoteshwa kwamba Marekani kimetokea hiki.. sababu watu wengine hawana tv wanaamini kaoteshwa kweli)
Alifanikiwa kuitumia dini hii mpya kufikia malengo mawili, moja la muda mfupi na moja la muda mrefu.
Malengo yake ya muda mfupi yalikuwa ni ya kumfanya yeye kuwa Chief Man in Arabia jambo ambalo alifanikiwa kulipata hadi wakati wa kifo chake na, baada ya kifo chake, warithi wake walifanikiwa kufikia lengo lake la muda mrefu la kuwafanya waarabu waitawale dunia kwa kutumia advantage waliyonayo ya uislam na lugha ya kiarabu isambae dunia nzima na waarabu wawe watu muhimu kwenye jukwaa la kimataifa
Ukisoma vizuri quran story zilizopo kwenye quran zinazungumzia mazingira ambayo Mohammad aliyajua tu (kwa kufika ama kusikia story zake). Mazingira ya mbali hayapo kwenye quran Maana alikuwa hajawai kufika na hakuwai sikia story zake. Maana ni mbali na uarabuni
Mfano matunda yaliyotajwa , wanyama waliotajwa kwenye quran, ndege waliotajwa kwenye quran, vyakula na mengineyo ni vya mazingira ya middle east tu ambayo Mohammad aliyaona ama aliyasikia kwa watu jirani zake ( Mungu angeandika Quran asingefanya hili kosa maana anayajua mazingira ya dunia nzima na angeyaweka kwenye quran)
The Qur’an really speaks only of the animals found in the Arabian lands (midle east) , and only the plants and fruits that grow in that geography.”
Also Foods known in the ( midle east) Arabian lands such as figs, grapes, pomegranates, dates, olives, honey, onions, garlic, gherkin, etc. have also been used in various Qur’anic verses and examples for various topics…
Jiulize Why do animal, and fruit names not belonging to the arab land doesn’t indicated in the Qur’an?
Utapata jibu Prophet wrote these names which he saw in places he went and he heard story from other merchants .
Inshort prophet Mohammad had a dream
Nothing was going to stop him from making that dream come true…
He came up with Islam to gain political power and to unite his people under the rule of one goverment
Ukijiuliza swali hili
Why does the Quran not mention prophets in America, Australia, Asia, Northern Europe, China, Japan, or South Africa?
Jibu litakalokujia kichwani haraka haraka ni hili
Because the writers of the Qur'an would not have been aware if these lands. Islamic religion is invented in one small area of the world (arabs land) which is why quran, hadith, & sunnah text only mentions things happen in that area only
Bora hata Muhammed lakini yesu alisema kabisa Mimi sikuja bali kwa kondoo wa nyumba ya Israel tu.Mtume Muhammad alikuwa ni mtu mwerevu sana.

Pengine wewe haujui hata Historia ya Muhammad kupewa utume.
Hapo Makka kulikuwepo Wakiristo wenye maandiko ya kiyahudi,
Huyo Muhammad Alichofanya ni kuibiaibia Stori za hao Wakristo wa wakati ule na kuziweka kwenye Quran.
Allah hawezi kuwa na uwezo Mkubwa Kwa kuiba Visa vya manabii wa kiyahudi, na pamoja na kuiba bado kavikosea Kwa kiasi kikubwa, na pia kashindwa kuvisimulia in details. Ndio maana Kwa mtu ambaye ameenda shule akaiacha akili yake kuwa huru Quran ataiona ni kitabu ambacho hakijitoshelezi.
mungu mkuu anae miliki hio miungu vipi yeye hahusiki kwenye kuumba dunia?Hakuna ushahidi wowote wenye mantiki utaoletwa mahakamani unaothibitisha ni nan mmiliki wa hii DUNIA.
Kila mungu wa kila jamii anatamba kuwa yeye ndiye mmiliki.
Mbona hauelewi Jambo dogo Hilo.
Ukienda Kwa Waarabu wao wanaamini Allah ndiye mungu aliyeumba dunia.
Ukienda Kwa Wayahudi wanakuambia Yehova,
Ukienda Kwa wachina wanakuambia Buddha,
Ukienda Kwa Wahindi wekundu wanakuambia Omens ndiye kaumba.
Sasa kila mmoja anatakiwa athibitishe wa kike akisemacho. Kwa sababu miungu ipo mingi.
Nilisha wakalisha kitambo.Hawana hoja.Unaandika meengii halafu ni uharo tu, hata Musa kaandika kitabu kwa mkono wake(kwa mujibu wako, sababu kwenye bible haionekani hivyo). Yesu kaandika kitabu gani kwa mkono wake!?
Zaidi ya vitabu vingi vya Imani ya kikristo kuandika na Paulo ambaye hakuwa na time na Yesu alipokua hai!?
Hujui chochote kuhusu Qur'an. Unasema vitabu vyote kwenye Qur'an kashushiwa Muhammad peka yake, Qur'an ni kitabu kimoja hivyo vingi umevitoa wapi!?
Ibrahim alikua dini gani!? Maana najua alikua muhamiaji pale Yerusalem, alikua mwarabu wa Iraq!?
Neno eloi Kama mtamkavyo kwa lugha ya Yesu ni ilahi ina maana ya mungu wangu ambapo kwa kiarabu ni illahiy
kwani muhamadi ndio aliiandika Quran hadiuseme amaibia ibia? halafu unasema allah hanauwezo wakati ulisema kila jamii inamungu wake allah unamlinganisha na mungu wajamii ipi?Pengine wewe haujui hata Historia ya Muhammad kupewa utume.
Hapo Makka kulikuwepo Wakiristo wenye maandiko ya kiyahudi,
Huyo Muhammad Alichofanya ni kuibiaibia Stori za hao Wakristo wa wakati ule na kuziweka kwenye Quran.
Allah hawezi kuwa na uwezo Mkubwa Kwa kuiba Visa vya manabii wa kiyahudi, na pamoja na kuiba bado kavikosea Kwa kiasi kikubwa, na pia kashindwa kuvisimulia in details. Ndio maana Kwa mtu ambaye ameenda shule akaiacha akili yake kuwa huru Quran ataiona ni kitabu ambacho hakijitoshelezi.
Muhammad na Allah ni kitu kimojakwani muhamadi ndio aliiandika Quran hadiuseme amaibia ibia? halafu unasema allah hanauwezo wakati ulisema kila jamii inamungu wake allah unamlinganisha na mungu wajamii ipi?
unaweza kuni fafanulia allah ninani na muhammadi ninani? Kama unaelewa lakini.Muhammad na Allah ni kitu kimoja
33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
Umeelewa kwanza away wiwili ndio wanaamua kwa kushirikiana ? Wakisha kubaliana ndio linaletwa kwenu?unaweza kuni fafanulia allah ninani na muhammadi ninani? Kama unaelewa lakini.
Unapo andika andiko la kisomi husemi
"mashuhuda waliniambia mimi"
Bali unasema
"mashuhuda walimwambia mtafiti"
Au
"Mashuhuda walisema"
Yaani unajitoa kabisa uwepo wako binafsi.
Ndio maana unaona
Musa anaandika.
Mungu akasema.
Badala ya kuandika;
"Mungu aliniambia mimi Musa"
Umeelewa hapo dogo Gavana, ?
Na wengine mnao uliza uliza maswali ya kiloko.
Bible imeandikwa Kisomi.
Ndio maan kwenye Qurani ukiona neno linatangulia "Sema"Umeelewa kwanza away wiwili ndio wanaamua kwa kushirikiana ? Wakisha kubaliana ndio linaletwa kwenu?
33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
Hivyo vitabu ni vya Waisraeli, wakiandika kuhusu Mungu wao Yehova.
Hivi wewe ilikuwaje darasani
Ulikuwa unapata hata maksi moja kweli ?
Au hujui Waarabu nao wameandika kuhusu Mungu wao Allah.
Wale Maswahaba wa Mtume, Waarabu.