UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Nimeshajibu hapo, suala kwamba nilichojibu ni uongo ni tofauti na kwamba sijajibu.Ni uongo Allah hajawahi kuwa mungu wa wayahudi
Alafu Kuna verse ata moja Allah anasema nilijulikana kwao kama Jehovah?
Tuelewane kwanza sawa hapo.