Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Naamini Kwa sababu Miungu yote miwili Allah na Yehova Kwa mujibu wa vitabu vyote viwili imeonyesha mapungufu makubwa ya kibinadamu.
Tafsiri yake ni kuwa Yupo Mungu WA miungu ambaye yupo above hiyo miungu ambaye hajishughulishi na maisha ya Wanadamu, kwani tayari kawaachia utawala miungu mingine wafanye.

Uwepo wa miungu mingi pia ni sababu ya kunifanya niamini yupo Mungu Mkuu MUWEZA WA YOTE ambaye ametoa majukumu Kwa kila mungu kulingana na jamii za viumbe na watu.
Sasa huyo Mungu unayeamini ndio wa Mungu wa miungu tutajuaje kama nae hana kasoro kama hao wengine, maana hawa wengine wameelezewa au tuseme wamejieleza kwenye vyenye kuaminika ni vitabu vyao na ndio maana wewe ukaweza kujua mapungufu yao.
 
Kuamini nako kuna sababu, sasa wewe mwenzetu unaamini kwa sababu zipi?
anasema kila dini inamungu wake ukimuuliza mungu Alie umba dunia niyupi Hana majibu yamoja kwamoja anaji umaumatu mala aseme alieumba nimungu mkuu mala haonekani Yani anajichanganya mwenyewe
 
Sijawapa mimi Ila ndio uhalisia huo.

Wewe unababa yako na Asili yako
Mimi Nina Baba yangu na Asili yangu. Ila Kwa vile wote ni Waafrika basi bila Shaka tunatoka kwenye mzizi mmoja.
Mimi na Wewe muafrika hatuwezi kufanana miungu na Wazungu au waarabu au wachina au wahindi.

Ndio maana kuna mmoja humu nilimuambia Hana maarifa na ufahamu wa elimu ya Protocol za Kiroho.
Yeye anachojua akiomba Mungu anafikiri Mungu anayemuomba yeye Muafrika ndiye huyohuyo anayeombwa na Mchina.

Huu ulimwengu ulivyoumbwa uliumbwa Kwa Kwa mipaka na madaraja na order.
Mimi sionagi ku make sense hoja ya mungu wa kabila au jamii, nachojua issue ya mungu ni suala la imani ya mtu husika hakuna mungu wa asili ya jamii au taifa fulani, ukiangalia hizi jamii zinavyopatikana na mambo yake ni ajabu sana kuwa et na mungu wa asili wa jamii.
 
Jibu maswali haya;

1. Torati imeandikwa na nani?
2. Huyo aliyeandika Torati ni taifa gani?
3. Mungu WA taifa Hilo anaitwa Nani?

4. Aliyeandika Zaburi ni Nani?
5. Huyo aliyeandika Zaburi ni taifa gani?
6. Mungu wa taifa Hilo anaitwa Nani?

7. Aliyeleta Injili ni Nani?
8. Huyo aliyeleta injili ni taifa gani?
9. Mungu WA taifa Hilo anaitwa Nani?

10. Aliyeleta Quran ni Nani?
11. Huyo aliyeleta Quran ni taifa gani?
12. Mungu wa taifa hilo anaitwa Nani?

Ukishajibu maswali hayo utaelewa kuwa ulichokuwa unabishania kilikuwa nje ya uwezo wako wakufikiri.
Code:
1. Torati imeandikwa na nani?
Mwandishi wa Torati hatambuliki.
Kama wewe unamtambua,mtaje.

Code:
2. Huyo aliyeandika Torati ni taifa gani?
Taifa lake halitambuliki maana yeye mwenyewe mwandishi hatambuliki.

Code:
3. Mungu WA taifa Hilo anaitwa Nani?
MUngu wa mataifa yote anahitwa MUNGU MWENYEZI.

Code:
4. Aliyeandika Zaburi ni Nani?
Nabii Daud.

Code:
5. Huyo aliyeandika Zaburi ni taifa gani?

Alikuwa ni miongoni mwa mataifa 12 ya wana wa Israel.

Code:
7. Aliyeleta Injili ni Nani?
Ni Mungu Mwenyezi.

Code:
8. Huyo aliyeleta injili ni taifa gani?
Ni Mungu Mwenyezi wa mataifa yote ulimwenguni.

Code:
9. Mungu WA taifa Hilo anaitwa Nani?

Anahitwa Mungu Mwenyezi.

Code:
10. Aliyeleta Quran ni Nani?
Ni Mwenyezi Mungu.

Code:
11. Huyo aliyeleta Quran ni taifa gani?
Mwenyezi Mungu ni wa mataifa yote,hana taifa moja tu.

Code:
12. Mungu wa taifa hilo anaitwa Nani?

Ni Mwenyezi Mungu muumba wa Mbingu na ardhi.
 
kwahio huyo mungu mkuu ndio kaumba dunia nakilakitu ikiwemo sisi?na hakutuwekea sheria yoyote?walahakuandika kitabu chochote kitakacho tuongoza? kamahawa miungu wengine walivyo fanya kutuandikia vitabu vyao ambavyo vinatuongoza sisi tunao waamini.

Mungu Mkuu sio mhitaji, huwezi fanya lolote likamfurahisha au likamchukiza,
Ila miungu aliyoiweka kusimamia viumbe wengine kulingana na jamii na Madaraja Yao ndio imewekewa Hali ya uhitaji ndio maana imeweka sheria ili itumikiwe na kufurahishwa.

Ndio maana kila mungu anasheria zake kulingana na matakwa yake na Mapenzi yake.
Lakini Mungu WA miungu hanaga hizo sheria.

IPO miungu inayotawala nuruni na IPO miungu inayotawala gizani.
Ipo miungu yenye nguvu na IPO miungu dhaifu.
 
Mimi sionagi ku make sense hoja ya mungu wa kabila au jamii, nachojua issue ya mungu ni suala la imani ya mtu husika hakuna mungu wa asili ya jamii au taifa fulani, ukiangalia hizi jamii zinavyopatikana na mambo yake ni ajabu sana kuwa et na mungu wa asili wa jamii.

Basi ngoja nikuache alafu waalimu wako watakuelewesha vizuri katika suala hili.

Maana Kama hutambui kuwa kila jamii ilikuwa na mungu wake basi unamaanisha hata huyo Allah humjui vizuri
 
Mungu Mkuu sio mhitaji, huwezi fanya lolote likamfurahisha au likamchukiza,
Ila miungu aliyoiweka kusimamia viumbe wengine kulingana na jamii na Madaraja Yao ndio imewekewa Hali ya uhitaji ndio maana imeweka sheria ili itumikiwe na kufurahishwa.

Ndio maana kila mungu anasheria zake kulingana na matakwa yake na Mapenzi yake.
Lakini Mungu WA miungu hanaga hizo sheria.

IPO miungu inayotawala nuruni na IPO miungu inayotawala gizani.
Ipo miungu yenye nguvu na IPO miungu dhaifu.
sasa Kama unayajua haya kwanini umeandika uziwako huu kumbe unajua kua kila watu wanamungu wao kutokana nasehemu husika. unataka ugundue nini?
 
Wewe endelea kuvaa nepi hadi utakapo kua ndiyo uje
huku.
Unaijua the BIG BANG wewe?.

Quran 21:30
"Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were joined entity, and we separate them and made from water living thing.Will they, then, not believe (that We created all this)?"

أَوَلَمْ يَرَ الَّذِينَ كَفَرُوا أَنَّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًا فَفَتَقْنَاهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ الْمَاءِ كُلَّ شَيْءٍ حَيٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ

(AL - ANBIYAA - 30)
Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini?
😂😂😂 Nenda kasome big bang, nani alikwambia big bang mbingu na ardhi 😂😂😂

Alafu Allah anasema walikufuru hawakuona kwani walikuwepo 😂😂😂 Allah kila akiongea anaongea pumba
 
sasa Kama unayajua haya kwanini umeandika uziwako huu kumbe unajua kua kila watu wanamungu wao kutokana nasehemu husika. unataka ugundue nini?

Wagundue utapeli upo hata Kwa miungu, Mungu mmoja anaweza IBA mambo ya Mungu mwingine
 
Kumbuka tu kwanza kwamba ukizungumzia Qur'an ni kwamba unazungumzia kitabu kimoja chenye kusimama chenyewe na si mkusanyiko wa maandiko ya Mayahudi na mengineyo.
Kimesimama chenyewe , na mada hii mmeshindwa kujibu kimetoa wapi story za wayahudi
 
Mungu Mkuu sio mhitaji, huwezi fanya lolote likamfurahisha au likamchukiza,
Ila miungu aliyoiweka kusimamia viumbe wengine kulingana na jamii na Madaraja Yao ndio imewekewa Hali ya uhitaji ndio maana imeweka sheria ili itumikiwe na kufurahishwa.

Ndio maana kila mungu anasheria zake kulingana na matakwa yake na Mapenzi yake.
Lakini Mungu WA miungu hanaga hizo sheria.

IPO miungu inayotawala nuruni na IPO miungu inayotawala gizani.
Ipo miungu yenye nguvu na IPO miungu dhaifu.
sasa hapa Alie tuumba nihio miungu yenye mamlaka nasisi au mungu mkuu asie namamlaka nasisi?
 
Wagundue utapeli upo hata Kwa miungu, Mungu mmoja anaweza IBA mambo ya Mungu mwingine
aweza kuiba kivipi? ikiwa umeseme kila jamii inamungu wao namambo yao? kwahio mungu anaona mambo yake hayatoshi anaiba yamiungu wengine/wenzake?
 
Mtoa mada nimjuaji asie jua chochote tumuache ajifurahishe asongeshe sikuzake zakuishi sikuyake iwadie akakutane na mashangazo ndio atakapo jilaumu lakini itakua ashachelewa.
Mpaka sasa hakuna aliepangua hoja za post number 1, mnaanzisha mada tofauti kukwepa kijibu
 
Yaani utafiti ufanywe na mwarabu,halafu ukosoe Quran!Ili tuamini hadithi za Quran;chukua mwili wa mnayemwita Firauni pale misri,chimbeni shimo hadharani,mfukieni,halafu kaburi lilindwe na wanajeshi wa magharibi huku CCTV camera zikiwa on 24:7 tukifuatilia live ardhi ikimtema.Uone kama kutakuwa na uislam dunianj
We nawe unamix madesa tu, hebu soma comment yangu kama inahusiana na mwili wa Firauni.
 
Mpaka sasa hakuna aliepangua hoja za post number 1, mnaanzisha mada tofauti kukwepa kijibu
mbona ashajibiwa. na anaulizwa maswali anajikanyaga kanyagatu kiufupi yeye mwenyewe mambo anayo uliza hayaelewi. Kama unayafuatilia kwaundani majibuyake lakini.kiufupi ana bwabwajatu
 
mbona ashajibiwa. na anaulizwa maswali anajikanyaga kanyagatu kiufupi yeye mwenyewe mambo anayo uliza hayaelewi. Kama unayafuatilia kwaundani majibuyake lakini.kiufupi ana bwabwajatu
Allah ilikuwaje akawa na story za wayahudi?
 
Back
Top Bottom