Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Nashangaa Waislamu wanavyo Bisha kuhusu aina za miungu na wenye hiyo miungu.
Hebu someni hapa chini
Kutoka 3:15
Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.
Hapo tunaona Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye ndio Israeli anajitambulisha kwao.
Je kuna mahali Mungu Allah alisha sema kuwa ni Mungu yule yule Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo ?
Yaani Mungu wa Israeli ?
Tuache huko zamani.
Je Leo Waisraeli ambao wanaamini dini ya Kiyahudi kama dini ya asili yao Wanamtambua Mungu Allah ?
Maana Mungu wao Yehova au MIMI NIKO wanamtambua na kufuata maagizo yake toka zama za Nabii Ibrahimu na Musa na Wayahudi walio fuata.
Leo Waisraeli Wanamwabudu Allah na kukiri kuwa ni yule yule Mungu wa Ibrahimu Isaka na yakobo ?
Kama sio ni kwanini ?
Wakristo baada ya kuchekecha na kutafakari kwa makini wakaachana na miungu ya kabila zao na wanasema wazi Mungu waliye mchagua ni yule Mungu aliyejitambulisha kwa Musa, Mungu Wa Ibrahimu Isaka na Yakobo na wana tamka popote.
Je kuna mahali Muhammadi aliwahi kukiri kuwa Mungu aliye Mtuma ni yule yule Mungu Wa Ibrahimu Isaka na Yakobo aitwaye Yehova au MIMI NIKO ?
Nasubiri Jibu