Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kijana umeshiba ugali nenda kalale, hoja nyepesi sana umekuja nayo
 
Anatumia zaidi akili yake na utashi wake bila ya elimu ya hicho anachokiandika

Embu zijibu hoja nilizozianisha hapo juu Kwa weledi.

Jibu Kwa Logic Kama upo mahakamani, Usitongozwe na mihemko ya Kidini haitasaidia lolote.

Hivyo vifungu vya sijui Allah akasema sijui blah! Blah! Mshairi yeyote mahiri anaweza kuandika
 
Oya hivi makubadhi ndio hizo sendos au hizo nguo?

Maana kila siku kwenye mijadala hii inayohusisha dini hizi mbili nimekuwa nikikutana na neno hilo frequenly na sijawahi jua lina indicate kitu gani
 
Duh hebu tusihame mada, maana hizi trick za kuruka mada nazijua sana.
Nakukumbusha: Mada hapa ni kuchakachuliwa kwa injili, zaburi na torati.

Umesema hivo vitabu vimeongezewa vitu na kupunguziwa kwenye biblia. Sasa ili ujue hayo inabidi uwe umeshavisoma original zake ukafanya comparisons.
Wewe original zake umezisomea wapi namimi nikazisome?

Mbona unaruka kitu rahisi kama hiko?
Huenda namm nikisoma hizo original nikagundua zile copy zake kwenye bible zimechakachuliwa, nitasilimu.

Vinginevyo kama hauna original, hata kama kwenye bible imeandikwa Mungu ni shoga itabaki kuwa hivyo huwezi kusema imeongezewa, imeongezewa kutoka wapi sasa?
 
Embu zijibu hoja nilizozianisha hapo juu Kwa weledi.
Jibu Kwa Logic Kama upo mahakamani,
Usitongozwe na mihemko ya Kidini haitasaidia lolote. Hivyo vifungu vya sijui Allah akasema sijui blah! Blah! Mshairi yeyote mahiri anaweza kuandika
Yaani mlevi kwamba mussa aliandika bible Ina maana mpaka yesu anakuja dunia bible ipo je ni wapi aliisoma au wanafunzi walikuwa wanasoma bible?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kipind cha zama zake
 
Waislam wanachuki na wanaroho mbaya sana hawanaga huruma ukiwaga nao karibu unatakiwa ujaribu sana uwahakikishie unawapenda sana .
Hataa kama ni mwanamke watu hao hapana
We dada toka umeishi hapa Tanzania lini muislamu alikushikia kisu kukulazimisha akupende au umepanda daladala waislamu wakasema wakristo wawapishe siti.

Hizi chuki unazosema mostly ni hearsay speaks about your own experience na waislam kwa kutoa ushuhuda wako and elezea uhalali wa hiyo chuki kua ni exclusively tu kwa waislam.
 
Inayofanana kivipi ?
 
Nakuuliza swali je katika unamkubali kwamba mussa ndo aliandika bible au imeandikwa baada ya yesu kuondoka?

Hapa nakupima kama kilaza au maana mnapisha hapa na mtoa kashiba mbege tangu afike dar anaropoka, jibu hilo then tuendlee !
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwahyo huyo ndio yesu (kwenye hiyo picha ) ?
 
Nakuuliza swali je katika unamkubali kwamba mussa ndo aliandika bible au imeandikwa baada ya yesu kuondoka?? Hapa nakupima kama kilaza au maana mnapisha hapa na mtoa kashiba mbege tangu afike dar anaropoka..jibu hilo then tuendlee !
Mzee mimi sinaga tabia ya kuwa narukaruka mada naacha zingine zinaelea kama nyani.

Huko tutafika tu, tumalize kwanza tulilokuwa tunajadili
Nakukumbusha: tulikuwa tunajadili kuchakachuliwa kwa injili, zaburi na torati.

Umesema hivo vitabu vimeongezewa vitu na kupunguziwa kwenye biblia. Sasa ili ujue hayo inabidi uwe umeshavisoma original zake ukafanya comparisons.
Wewe original zake umezisomea wapi namimi nikazisome?

Mbona unaruka kitu rahisi kama hiko?
Huenda namm nikisoma hizo original nikagundua zile copy zake kwenye bible zimechakachuliwa, nitasilimu.

Vinginevyo kama hauna original, hata kama kwenye bible imeandikwa Mungu ni shoga itabaki kuwa hivyo huwezi kusema imeongezewa, imeongezewa kutoka wapi sasa?
 
Moderators kinini tena ichi tandika ban
 
Kizuri ni kwamba akili hazifichiki na hazifekiki, kama hauna, hata ukijifanya unazo kiasi kipi, watu wakikuona tu wanajua kiwango chako..

Kama unazo, Hata ukijifanya hamnazo kiasi kipi ila watu wakikusoma tu watajua unazo kiasi kipi.
Njoo huku wacha kuzunguka ...mi hata nisingesoma hata darasa moja kwa ujinga wenu hamuwezi kunishawishi kwamba mpaka sasa mitume bado wanaendelea Kuna yule wa mwamposaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Katika ukoo wenu ukitoa vyeti fake hakuna wa kunifikia kwa elimu .
Kizuri ni kwamba akili hazifichiki na hazifekiki, kama hauna, hata ukijifanya unazo kiasi kipi, watu wakikuona tu wanajua kiwango chako..

Kama unazo, Hata ukijifanya hamnazo kiasi kipi ila watu wakikusoma tu watajua unazo kiasi kipi.
 

Mkuu Kwanza pole Sana ikiwa andiko hili limekufanya ujihisi vibaya. Ila nilichoandika ndivyo ilivyo, Quran nimeisoma Kwa bahati siku hizi zimetafsiriwa hivyo kila mtu anaweza kuzisoma.

Nimesoma Stori zote zinazohusu Religious Figures wote waliopo katika Quran ambao kimsingi 90% wametajwa pia kwenye Biblia. Ndio mana nikaleta hizo hoja hapo.

Unachopaswa kukifanya ni kupangua hoja moja baada ya nyingi alafu watu wenyewe eataamua/majaji hasa wasio na Dini hizi mbili.

Maana naona Wakristo na Waislam kila mmoja anavutia kwake ilhali vinachojadiliwa ni vitabu.

Watu waweke dini pembeni kisha watoe hoja au wapinge hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…