Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kijana umeshiba ugali nenda kalale, hoja nyepesi sana umekuja nayo
 
Anatumia zaidi akili yake na utashi wake bila ya elimu ya hicho anachokiandika

Embu zijibu hoja nilizozianisha hapo juu Kwa weledi.

Jibu Kwa Logic Kama upo mahakamani, Usitongozwe na mihemko ya Kidini haitasaidia lolote.

Hivyo vifungu vya sijui Allah akasema sijui blah! Blah! Mshairi yeyote mahiri anaweza kuandika
 
Kila siku nawaambia na hii ni proof kubwa wakristo hamfuati Biblia.

Yesu Alivaa Hivyo mnavyoviita Vipedo na Makubadhi.

So mnapodhihaki watu kuvaa hivyo vipendo mnamdhihaki na Yesu. Kesho Yesu akirudi na Vazi lake la kanzu fupi na sandals mtamkataa?

View attachment 2403327
Oya hivi makubadhi ndio hizo sendos au hizo nguo?

Maana kila siku kwenye mijadala hii inayohusisha dini hizi mbili nimekuwa nikikutana na neno hilo frequenly na sijawahi jua lina indicate kitu gani
 
Sasa mmi nitaamini vip kitabu kimeandikwa Italy Tena Kuna sehemu kimeandikwa "upumbavu wa mungu" hata kama ni wewe japo ulipata zero form unaweza kweli ukakubali icho kitabu..elewa kitu kimoja vitabu vimekuja kuandikwa zama za mwisho baada ya mitume walishaondoka kama bible iliandikwa kipind cha yesu.

Wapi panaonyesha kwamba yesu alisoma bible ?
Duh hebu tusihame mada, maana hizi trick za kuruka mada nazijua sana.
Nakukumbusha: Mada hapa ni kuchakachuliwa kwa injili, zaburi na torati.

Umesema hivo vitabu vimeongezewa vitu na kupunguziwa kwenye biblia. Sasa ili ujue hayo inabidi uwe umeshavisoma original zake ukafanya comparisons.
Wewe original zake umezisomea wapi namimi nikazisome?

Mbona unaruka kitu rahisi kama hiko?
Huenda namm nikisoma hizo original nikagundua zile copy zake kwenye bible zimechakachuliwa, nitasilimu.

Vinginevyo kama hauna original, hata kama kwenye bible imeandikwa Mungu ni shoga itabaki kuwa hivyo huwezi kusema imeongezewa, imeongezewa kutoka wapi sasa?
 
Embu zijibu hoja nilizozianisha hapo juu Kwa weledi.
Jibu Kwa Logic Kama upo mahakamani,
Usitongozwe na mihemko ya Kidini haitasaidia lolote. Hivyo vifungu vya sijui Allah akasema sijui blah! Blah! Mshairi yeyote mahiri anaweza kuandika
Yaani mlevi kwamba mussa aliandika bible Ina maana mpaka yesu anakuja dunia bible ipo je ni wapi aliisoma au wanafunzi walikuwa wanasoma bible?😂😂😂kipind cha zama zake
 
Waislam wanachuki na wanaroho mbaya sana hawanaga huruma ukiwaga nao karibu unatakiwa ujaribu sana uwahakikishie unawapenda sana .
Hataa kama ni mwanamke watu hao hapana
We dada toka umeishi hapa Tanzania lini muislamu alikushikia kisu kukulazimisha akupende au umepanda daladala waislamu wakasema wakristo wawapishe siti.

Hizi chuki unazosema mostly ni hearsay speaks about your own experience na waislam kwa kutoa ushuhuda wako and elezea uhalali wa hiyo chuki kua ni exclusively tu kwa waislam.
 
QURAN 2:23-24
23."Na ikiwa mna shaka kwa haya tuliyo mteremshia mja wetu; basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.

24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. "

Haya nyie mnaosema Quran ni maneno ya uongo hebu tuleteeni japo sura moja tu inayofana na Quran; fanyeni hilo tu wajameni ndio tuwaamini!!! jibu ni hamuwezi na wala hamtaweza kamwe
Inayofanana kivipi ?
 
Duh hebu tusihame mada, maana hizi trick za kuruka mada nazijua sana.
Nakukumbusha: Mada hapa ni kuchakachuliwa kwa injili, zaburi na torati.

Umesema hivo vitabu vimeongezewa vitu na kupunguziwa kwenye biblia. Sasa ili ujue hayo inabidi uwe umeshavisoma original zake ukafanya comparisons.
Wewe original zake umezisomea wapi namimi nikazisome?

Mbona unaruka kitu rahisi kama hiko?
Huenda namm nikisoma hizo original nikagundua zile copy zake kwenye bible zimechakachuliwa, nitasilimu.

Vinginevyo kama hauna original, hata kama kwenye bible imeandikwa Mungu ni shoga itabaki kuwa hivyo huwezi kusema imeongezewa, imeongezewa kutoka wapi sasa?
Nakuuliza swali je katika unamkubali kwamba mussa ndo aliandika bible au imeandikwa baada ya yesu kuondoka?

Hapa nakupima kama kilaza au maana mnapisha hapa na mtoa kashiba mbege tangu afike dar anaropoka, jibu hilo then tuendlee !
 
TheStoryTimeFacts [emoji310]
Habari [emoji112]
Naitwa Erry Mars ni msimuliaji wa Historia,makala na simulizi
Nathamini sana mchango wako ndugu [emoji120],Naomba support yako nisaidie ku SUBSCRIBE na kugusa KENGELE kwenye channel yangu.[emoji120]
Link Bonyeza Hapa[emoji116]

Asante sana [emoji120]

🙏🙏🙏🙏
 
Nakuuliza swali je katika unamkubali kwamba mussa ndo aliandika bible au imeandikwa baada ya yesu kuondoka?? Hapa nakupima kama kilaza au maana mnapisha hapa na mtoa kashiba mbege tangu afike dar anaropoka..jibu hilo then tuendlee !
Mzee mimi sinaga tabia ya kuwa narukaruka mada naacha zingine zinaelea kama nyani.

Huko tutafika tu, tumalize kwanza tulilokuwa tunajadili
Nakukumbusha: tulikuwa tunajadili kuchakachuliwa kwa injili, zaburi na torati.

Umesema hivo vitabu vimeongezewa vitu na kupunguziwa kwenye biblia. Sasa ili ujue hayo inabidi uwe umeshavisoma original zake ukafanya comparisons.
Wewe original zake umezisomea wapi namimi nikazisome?

Mbona unaruka kitu rahisi kama hiko?
Huenda namm nikisoma hizo original nikagundua zile copy zake kwenye bible zimechakachuliwa, nitasilimu.

Vinginevyo kama hauna original, hata kama kwenye bible imeandikwa Mungu ni shoga itabaki kuwa hivyo huwezi kusema imeongezewa, imeongezewa kutoka wapi sasa?
 
TheStoryTimeFacts [emoji310]
Habari [emoji112]
Naitwa Erry Mars ni msimuliaji wa Historia,makala na simulizi
Nathamini sana mchango wako ndugu [emoji120],Naomba support yako nisaidie ku SUBSCRIBE na kugusa KENGELE kwenye channel yangu.[emoji120]
Link Bonyeza Hapa[emoji116]

Asante sana [emoji120]

Moderators kinini tena ichi tandika ban
 
Kizuri ni kwamba akili hazifichiki na hazifekiki, kama hauna, hata ukijifanya unazo kiasi kipi, watu wakikuona tu wanajua kiwango chako..

Kama unazo, Hata ukijifanya hamnazo kiasi kipi ila watu wakikusoma tu watajua unazo kiasi kipi.
Njoo huku wacha kuzunguka ...mi hata nisingesoma hata darasa moja kwa ujinga wenu hamuwezi kunishawishi kwamba mpaka sasa mitume bado wanaendelea Kuna yule wa mwamposa😂😂😂
 
Katika ukoo wenu ukitoa vyeti fake hakuna wa kunifikia kwa elimu .
Kizuri ni kwamba akili hazifichiki na hazifekiki, kama hauna, hata ukijifanya unazo kiasi kipi, watu wakikuona tu wanajua kiwango chako..

Kama unazo, Hata ukijifanya hamnazo kiasi kipi ila watu wakikusoma tu watajua unazo kiasi kipi.
 
Mkuu binafsi huwa naheshimu sana maandiko yko mengi ila hili nimekushusha thamani mpk kwenye 0 kiukweli,yan mpk nimerud tena juu nihakiki kma ni kweli ndo wewe uliyeandika hv,sijaamini kma ndo wewe unaweza kuandika nonsense kma hv.
Hv unaijua Quran sawasawa mkuu?
Ulishawahi kuisoma vzr ukaielewa?
Unajua Quran ni nini na ni maneno ya nani?
Unajua Muhammad yale si maneno yake?
Unawafahamu walioiandaa hiyo bible?Unaelewa makusudio yao?
Yan leo umeandika kama mtoto wa std7 aisee.....Kaa chini usome Quran uelewe sio unakurupuka tu

Mkuu Kwanza pole Sana ikiwa andiko hili limekufanya ujihisi vibaya. Ila nilichoandika ndivyo ilivyo, Quran nimeisoma Kwa bahati siku hizi zimetafsiriwa hivyo kila mtu anaweza kuzisoma.

Nimesoma Stori zote zinazohusu Religious Figures wote waliopo katika Quran ambao kimsingi 90% wametajwa pia kwenye Biblia. Ndio mana nikaleta hizo hoja hapo.

Unachopaswa kukifanya ni kupangua hoja moja baada ya nyingi alafu watu wenyewe eataamua/majaji hasa wasio na Dini hizi mbili.

Maana naona Wakristo na Waislam kila mmoja anavutia kwake ilhali vinachojadiliwa ni vitabu.

Watu waweke dini pembeni kisha watoe hoja au wapinge hoja
 
Back
Top Bottom