Paulo kaishi na kakutana na wanafunzi wa Yesu...maana yake alikuwa hai kipindi cha yesu na huenda alisikia habari zake kabla ya kiangikwa msalabani.Paulo hakuish wakat wa yesu kijana chimba zaidi, katika wanafunzi wa Yesu paulo alikuepo ?
Sio kufaga tu Muhammad kasema kila muislamu ana jini anaambatana nalo kama companionNyie mbona mnaimani ya ajabu sana. Alowambia uislam ni kufuga majini
Sio kila muislam hata ww jina unalo linakupotosha kila siku ni ww tu sasa kulishinda au likuahinde likupotoshe, na nyny nd limefanikiwa kwasbb ametufundisha dua za kusoma kujilinda nayo, nyie mnasoma dua kujilinda nayo ??Sio kufaga tu Muhammad kasema kila muislamu ana jini anaambatana nalo kama companion
Majini mliyonayo Muhammad kasema ni ndugu zenu na ni walinzi wenu pia , mm jini ata kunisogelea haliweziSio kila muislam hata ww jina unalo linakupotosha kila siku ni ww tu sasa kulishinda au likuahinde likupotoshe, na nyny nd limefanikiwa kwasbb ametufundisha dua za kusoma kujilinda nayo, nyie mnasoma dua kujilinda nayo ??
SomaSio kila muislam hata ww jina unalo linakupotosha kila siku ni ww tu sasa kulishinda au likuahinde likupotoshe, na nyny nd limefanikiwa kwasbb ametufundisha dua za kusoma kujilinda nayo, nyie mnasoma dua kujilinda nayo ??
Kuna Shehe mmoja jinsi anavyoyapenda majini hadi anajiitaSoma
Wakristo wanalindwa na Malaika
Psalm 91:11”For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.
Waislamu wanalindwa na mapepo
Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
Maana ya hadith ni kwamba kila mtu anakua na shaitan ambae anamfuata kila kona na lengo lake ni kumpotosha, sio kwamba watu wanaongozana nayo kwa wema au yanawalinda. Na ndo maana tumefundishwa dua tuwe tunazisoma kila mda na kujilinda na shaytwan na vitimbi vyake.Soma
Wakristo wanalindwa na Malaika
Psalm 91:11”For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.
Waislamu wanalindwa na mapepo
Allah anasema
, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
Huwezi eleza uongo ukaaminikaMaana ya hadith ni kwamba kila mtu anakua na shaitan ambae anamfuata kila kona na lengo lake ni kumpotosha, sio kwamba watu wanaongozana nayo kwa wema au yanawalinda. Na ndo maana tumefundishwa dua tuwe tunazisoma kila mda na kujilinda na shaytwan na vitimbi vyake.
Sasa ww hata nikikuelekeza hutataka kuelewa utabak na ubish kwaio we endelea kuamn utakavyoamini tu. Wala hakuna shida.
Kwa Nini unataka kuwapinga kaka zako mapepo,Maana ya hadith ni kwamba kila mtu anakua na shaitan ambae anamfuata kila kona na lengo lake ni kumpotosha, sio kwamba watu wanaongozana nayo kwa wema au yanawalinda. Na ndo maana tumefundishwa dua tuwe tunazisoma kila mda na kujilinda na shaytwan na vitimbi vyake.
Sasa ww hata nikikuelekeza hutataka kuelewa utabak na ubish kwaio we endelea kuamn utakavyoamini tu. Wala hakuna shida.
Mapepo ni waislamu na wanashauri mema ya kiislamuMaana ya hadith ni kwamba kila mtu anakua na shaitan ambae anamfuata kila kona na lengo lake ni kumpotosha, sio kwamba watu wanaongozana nayo kwa wema au yanawalinda. Na ndo maana tumefundishwa dua tuwe tunazisoma kila mda na kujilinda na shaytwan na vitimbi vyake.
Sasa ww hata nikikuelekeza hutataka kuelewa utabak na ubish kwaio we endelea kuamn utakavyoamini tu. Wala hakuna shida.
Sasa mbona hafith inajieleza hiyo mzee nini huelewi hapo ??Mapepo ni waislamu na wanashauri mema ya kiislamu
Abdullah ibn Mas’ud reported: The Muhammad, said, “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” They said, “Even you, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “Even me, yet Allah helped me against him until he embraced Islam. He does not order me to do anything but good.”
Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2814
Umeshaelewa usirudie tena kudanganya humu kwamba waislamu ndugu zenu sio mapepoSasa mbona hafith inajieleza hiyo mzee nini huelewi hapo ??
Majini mliyonayo Muhammad kasema ni ndugu zenu na ni walinzi wenu pia , mm jini ata kunisogelea haliwezi
Wakristo tunalindwa na Malaika
Ila muhimu pia kuelewa kwamba waislamu hawaamini kwamba Majini asili yao ni malaika waliyoasi, maana hapo ndio tatizo linapokuja.Umeshaelewa usirudie tena kudanganya humu kwamba waislamu ndugu zenu sio mapepo
Malaika hawa asi kwa muumba wao. Allah amewaumba malaika kwa namna ya kua ni watiifu tu, hawa aswi wala kubisha. Ila bina adam na majin nd tuliopewa uhuru wa kuchagua ku.asi au kutwii.Ila muhimu pia kuelewa kwamba waislamu hawaamini kwamba Majini asili yao ni malaika waliyoasi, maana hapo ndio tatizo linapokuja.
Ndio nasema kwamba jini ni kitu tofauti kwa jinsi inavyojulikana kwa uislamu na ukristo, kwamba wakristo huamini jini asili yake ni malaika na waislamu huamini jini ni kiumbe aliyeumbwa na Mungu na hivyo jini si katika malaika wala binaadamu.Malaika hawa asi kwa muumba wao. Allah amewaumba malaika kwa namna ya kua ni watiifu tu, hawa aswi wala kubisha. Ila bina adam na majin nd tuliopewa uhuru wa kuchagua ku.asi au kutwii.
Ndoivo basi.Ndio nasema kwamba jini ni kitu tofauti kwa jinsi inavyojulikana kwa uislamu na ukristo, kwamba wakristo huamini jini asili yake ni malaika na waislamu huamini jini ni kiumbe aliyeumbwa na Mungu na hivyo jini si katika malaika wala binaadamu.
La ndama lipo kwenye vitabu vyao , unaweza kuonesha la uzer