Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Malaika hawa asi kwa muumba wao. Allah amewaumba malaika kwa namna ya kua ni watiifu tu, hawa aswi wala kubisha.
Walivyo muhoji Allah kwamba anaumba binadamu watamwaga damu na Allah akawaambia ni waongo , walikuwa wanafanya Nini ?
 
Mimi naelewa mkuu ndio nasema kwamba wakristo wao wanaamini malaika hufanya dhambi kama viumbe wengine na hivyo kwao majini ni katika hao malaika waliyoasi, kwa muktadha huo ndio maana wao wanaona hakuna jini mzuri kwa sababu majini wote ni MALAIKA waliyoasi.
 
Walivyo muhoji Allah kwamba anaumba binadamu watamwaga damu na Allah akawaambia ni waongo , walikuwa wanafanya Nini ?
Hawa jamaa wanayatetea Majini kwa nguvu zao zote.
Kwakuwa tu Muhammadi kawaambia ni ndugu zao.
Majini hata Qurani imeandika yaliasi na yakafukuzwa Mbinguni. Na kila yakitaka kurudi yanapigwa na Vimondo.
Kwanini Allah ayatandike na vimondo ?
Kwanini yalifukuzwa toka huko yaliko kaa zamani ?

Surah Al-Djini Ayah 9
ΩˆΩŽΨ£ΩŽΩ†Ω‘ΩŽΨ§ ΩƒΩΩ†Ω‘ΩŽΨ§ Ω†ΩŽΩ‚Ϋ‘ΨΉΩΨ―Ω Ω…ΩΩ†Ϋ‘Ω‡ΩŽΨ§ Ω…ΩŽΩ‚ΩŽΩ°ΨΉΩΨ―ΩŽ Ω„ΩΩ„Ψ³Ω‘ΩŽΩ…Ϋ‘ΨΉΩΫ– ΩΩŽΩ…ΩŽΩ† يَسۑΨͺΩŽΩ…ΩΨΉΩ Ω±Ω„Ϋ‘Ψ£Ω“Ω†ΩŽ يَجِدۑ Ω„ΩŽΩ‡ΩΫ₯ Ψ΄ΩΩ‡ΩŽΨ§Ψ¨Ω—Ψ§ Ψ±Ω‘ΩŽΨ΅ΩŽΨ―Ω—Ψ§
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Wanasingizia eti kuna Majini Mema na Mabaya.
Kwani hayo Majini Mabaya yanatubu wapi kama sio humo humo misikitini kama wanavyotubu Waislamu watu waovu.

Muhamadi kuchukua Dini ya Majini kawabambikia watu.
Hii ni hatari sana.
Binadamu unaabudu nyumba moja ya ibada na Majini kama, Jini Popobawa, Jini mahaba na Jini Subiani Nk. Na unajisifia kuwa uko salama.
 
Walivyo muhoji Allah kwamba anaumba binadamu watamwaga damu na Allah akawaambia ni waongo , walikuwa wanafanya Nini ?
Walimwambia katika mazingira ya kuonyesha udhaifu wa mwanadamu ila sio kupinga uumbaji wa Mungu.

Kwamba wao malaika wanamuabudu Mungu na huyo mwanadamu atakuja kufanya madhambi kibao kama kumwaga damu, kuzini ...Mwishoe Mungu alipomuumba mwanadamu aliwaamrisha wamsujudie kama kiumbe bora wakatii na aliyegoma ndo akapewa sifa ya ibilis(shetani).

Malaika sifa yake hana dhambi kama yupo anayetenda dhambi basi hana sifa ya malaika ndo maana hata mtoto anayezaliwa leo akiwa bado mdogo hana dhambi anaitwa "Malaika"
 
Majini kama unamini wapo basi wazuri pia wapo !
 
Ila wewe mkristo majini umeyajulia wapi hivi biblia imeelezea hao majini kweli? Nijuavyo mkristo hawezi kuelezea majini pasina kutumia vyanzo vya kutoka kwa waislamu.
 
Na ishu hata sio kuwepo majini wazuri, hata wakiwa wote wabaya ila hoja hapa huo ubaya wao ni wa asili au ni hiari?
Mfano shetani automatically ni kiumbe kibaya kwamba ni sifa mbaya kabisa..

ila majini ni viumbe kama watu wana sifa tofauti wapo wabaya na wazuri...Yaani majini na watu wameumbwa ili kuja kuabudu ila wapo wabaya na wazuri.

Akitokea mtu akakumbia anawajua majini wote sijui anawafuga basi tambu ni shirki.
 
Tunaposema majini wazuri na wabaya, ni ubaya upi unaoukusudiwa na uzuri upi?
 
Tunaposema majini wazuri na wabaya, ni ubaya upi unaoukusudiwa na uzuri upi?
wazuri wanaofuata sheria za Mungu na wabaya wanaonda kinyume chake...Hapo wasiofuata sheria za Mungu ndo wanafanya maovu yote
 
wazuri wanaofuata sheria za Mungu na wabaya wanaonda kinyume chake...Hapo wasiofuata sheria za Mungu ndo wanafanya maovu yote
Unadhani binaadamu pia tumeganyika kama hivyo kwamba tupo makundi mawili tu kwamba wenye kufanya maovu yote na wenye kufanya mema tu?
 
Hichi kisa ni Cha kijinga Sana , na kinachekesha Sana , Eti anawaambia Malaika wasujudu alafu anamuadhibu iblis na iblis sio Malaika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Hichi kisa ni Cha kijinga Sana , na kinachekesha Sana , Eti anawaambia Malaika wasujudu alafu anamuadhibu iblis na iblis sio Malaika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Shetani (ibilis ) ni cheo tafuta maana yake ni miongoni mwa malaika ila alipewa baada ya kukaidi amri ya Muumba.
 
Shetani (ibilis ) ni cheo tafuta maana yake ni miongoni mwa malaika ila alipewa baada ya kukaidi amri ya Muumba.
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Hiyo Imani umeitoa wapi? Kwamba jini ni Malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…