Walivyo muhoji Allah kwamba anaumba binadamu watamwaga damu na Allah akawaambia ni waongo , walikuwa wanafanya Nini ?Malaika hawa asi kwa muumba wao. Allah amewaumba malaika kwa namna ya kua ni watiifu tu, hawa aswi wala kubisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walivyo muhoji Allah kwamba anaumba binadamu watamwaga damu na Allah akawaambia ni waongo , walikuwa wanafanya Nini ?Malaika hawa asi kwa muumba wao. Allah amewaumba malaika kwa namna ya kua ni watiifu tu, hawa aswi wala kubisha.
Mimi naelewa mkuu ndio nasema kwamba wakristo wao wanaamini malaika hufanya dhambi kama viumbe wengine na hivyo kwao majini ni katika hao malaika waliyoasi, kwa muktadha huo ndio maana wao wanaona hakuna jini mzuri kwa sababu majini wote ni MALAIKA waliyoasi.Ndoivo basi.
Kama umeelewa hapo, bas naamin pia utaelewa kwann waislam wana amini kuna majin waislam na wasiokua waislam.
Kuna majin wema na wasio kua wema wakiongozw na huyo baba yao Iblis alayhi laana.
Kama tulivyo sisi binadam, wapo waislm na wasiokua waislm
Wapo wema na wasio kua wema.
Nao majin ni viumbe kama viumbe vingine vya Allah. Ulimwengu wao ni tofaut na wa kwetu binadam.
Shetani kwa upande mwingine ni sifa.
Shetan wapo wa kijini na pia wapo shetani wa kibinadamu.
Unaeza ukawa binadamu lkn kwa sifa zako mbaya za kila aina basi wewe ukawa shetani.
Pia kwa upande wa majini halkadhalika.
Vipi hapo umeelewa mzee. Au kama na ww utavalia jezi ya ubish pia ni sawa.
Hawa jamaa wanayatetea Majini kwa nguvu zao zote.Walivyo muhoji Allah kwamba anaumba binadamu watamwaga damu na Allah akawaambia ni waongo , walikuwa wanafanya Nini ?
Walimwambia katika mazingira ya kuonyesha udhaifu wa mwanadamu ila sio kupinga uumbaji wa Mungu.Walivyo muhoji Allah kwamba anaumba binadamu watamwaga damu na Allah akawaambia ni waongo , walikuwa wanafanya Nini ?
Majini kama unamini wapo basi wazuri pia wapo !Hawa jamaa wanayatetea Majini kwa nguvu zao zote.
Kwakuwa tu Muhammadi kawaambia ni ndugu zao.
Majini hata Qurani imeandika yaliasi na yakafukuzwa Mbinguni. Na kila yakitaka kurudi yanapigwa na Vimondo.
Kwanini Allah ayatandike na vimondo ?
Surah Al-Djini Ayah 9
وَأَنَّا كُنَّا نَقۡعُدُ مِنۡهَا مَقَٰعِدَ لِلسَّمۡعِۖ فَمَن يَسۡتَمِعِ ٱلۡأٓنَ يَجِدۡ لَهُۥ شِهَابٗا رَّصَدٗا
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
Wanasingizia eti kuna Majini Mema na Mabaya.
Kwani hayo Majini Mabaya yanatubu wapi kama sio humo humo misikitini kama wanavyotubu Waislamu watu waovu.
Muhamadi kuchukua Dini ya Majini kawabambikia watu.
Hii ni hatari sana.
Binadamu unaabudu nyumba moja ya ibada na Majini kama, Jini Popobawa, Jini mahaba na Jini Subiani Nk. Na unajisifia kuwa uko salama.
Ila wewe mkristo majini umeyajulia wapi hivi biblia imeelezea hao majini kweli? Nijuavyo mkristo hawezi kuelezea majini pasina kutumia vyanzo vya kutoka kwa waislamu.Hawa jamaa wanayatetea Majini kwa nguvu zao zote.
Kwakuwa tu Muhammadi kawaambia ni ndugu zao.
Majini hata Qurani imeandika yaliasi na yakafukuzwa Mbinguni. Na kila yakitaka kurudi yanapigwa na Vimondo.
Kwanini Allah ayatandike na vimondo ?
Surah Al-Djini Ayah 9
وَأَنَّا كُنَّا نَقۡعُدُ مِنۡهَا مَقَٰعِدَ لِلسَّمۡعِۖ فَمَن يَسۡتَمِعِ ٱلۡأٓنَ يَجِدۡ لَهُۥ شِهَابٗا رَّصَدٗا
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
Wanasingizia eti kuna Majini Mema na Mabaya.
Kwani hayo Majini Mabaya yanatubu wapi kama sio humo humo misikitini kama wanavyotubu Waislamu watu waovu.
Muhamadi kuchukua Dini ya Majini kawabambikia watu.
Hii ni hatari sana.
Binadamu unaabudi nyumba moja ya ibada na Majini kama, Jini Popobawa, Jini mahaba na Jini Subiani Nk. Na unajisifia kuwa salama.
Na ishu hata sio kuwepo majini wazuri, hata wakiwa wote wabaya ila hoja hapa huo ubaya wao ni wa asili au ni hiari?Majini kama unamini wapo basi wazuri pia wapo !
Mfano shetani automatically ni kiumbe kibaya kwamba ni sifa mbaya kabisa..Na ishu hata sio kuwepo majini wazuri, hata wakiwa wote wabaya ila hoja hapa huo ubaya wao ni wa asili au ni hiari?
Tunaposema majini wazuri na wabaya, ni ubaya upi unaoukusudiwa na uzuri upi?Mfano shetani automatically ni kiumbe kibaya kwamba ni sifa mbaya kabisa..
ila majini ni viumbe kama watu wana sifa tofauti wapo wabaya na wazuri...Yaani majini na watu wameumbwa ili kuja kuabudu ila wapo wabaya na wazuri.
Akitokea mtu akakumbia anawajua majini wote sijui anawafuga basi tambu ni shirki.
wazuri wanaofuata sheria za Mungu na wabaya wanaonda kinyume chake...Hapo wasiofuata sheria za Mungu ndo wanafanya maovu yoteTunaposema majini wazuri na wabaya, ni ubaya upi unaoukusudiwa na uzuri upi?
Unadhani binaadamu pia tumeganyika kama hivyo kwamba tupo makundi mawili tu kwamba wenye kufanya maovu yote na wenye kufanya mema tu?wazuri wanaofuata sheria za Mungu na wabaya wanaonda kinyume chake...Hapo wasiofuata sheria za Mungu ndo wanafanya maovu yote
NdioUnadhani binaadamu pia tumeganyika kama hivyo kwamba tupo makundi mawili tu kwamba wenye kufanya maovu yote na wenye kufanya mema tu?
Hichi kisa ni Cha kijinga Sana , na kinachekesha Sana , Eti anawaambia Malaika wasujudu alafu anamuadhibu iblis na iblis sio Malaika 😂😂😂🤣Walimwambia katika mazingira ya kuonyesha udhaifu wa mwanadamu ila sio kupinga uumbaji wa Mungu.
Kwamba wao malaika wanamuabudu Mungu na huyo mwanadamu atakuja kufanya madhambi kibao kama kumwaga damu, kuzini ...Mwishoe Mungu alipomuumba mwanadamu aliwaamrisha wamsujudie kama kiumbe bora wakatii na aliyegoma ndo akapewa sifa ya ibilis(shetani).
Malaika sifa yake hana dhambi kama yupo anayetenda dhambi basi hana sifa ya malaika ndo maana hata mtoto anayezaliwa leo akiwa bado mdogo hana dhambi anaitwa "Malaika"
Shetani (ibilis ) ni cheo tafuta maana yake ni miongoni mwa malaika ila alipewa baada ya kukaidi amri ya Muumba.Hichi kisa ni Cha kijinga Sana , na kinachekesha Sana , Eti anawaambia Malaika wasujudu alafu anamuadhibu iblis na iblis sio Malaika 😂😂😂🤣
😂🤣🤣🤣 Hiyo Imani umeitoa wapi? Kwamba jini ni MalaikaShetani (ibilis ) ni cheo tafuta maana yake ni miongoni mwa malaika ila alipewa baada ya kukaidi amri ya Muumba.
wapi nimekuambia jini ni malaika? Nionyeshe!😂🤣🤣🤣 Hiyo Imani umeitoa wapi? Kwamba jini ni Malaika
Sasa hapo tofauti yetu na malaika ni ipi?Ndio
Ibilisi ni malaika?Shetani (ibilis ) ni cheo tafuta maana yake ni miongoni mwa malaika ila alipewa baada ya kukaidi amri ya Muumba.
sio malaika ni majini ...Sasa hapo tofauti yetu na malaika ni ipi?
Si mnasema ni malaika waliyoasi.😂🤣🤣🤣 Hiyo Imani umeitoa wapi? Kwamba jini ni Malaika