Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ibilisi ni malaika?
Alikuwa malaika ila hana sifa ni ibilisi kwamb kalaaniwa hakuna malaika ambaye yupo against na Mungu...Hiko cheo chake ni moja kwa moja kweny adhabu ndo maana akaitwa ibilisi
 
Alikuwa malaika ila hana sifa ni ibilisi kwamb kalaaniwa hakuna malaika ambaye yupo against na Mungu...Hiko cheo chake ni moja kwa moja kweny adhabu ndo maana akaitwa ibilisi
Acha kujichanganya iblis hajawahi kuwa Malaika Kwa mujibu wa Imani Yako
 
sio malaika ni majini ...

Rejea kweny Qur an tumeumba majini na watu ili waniabudu.

Hapa ndugu kuna elimu ya kuwajua malaika na majini
Kwa mafunzo ya uislamu yanasema malaika hufanya mema tu hawamuasi Mungu, ndio nauliza kama majini wamegawanyika kwa makundi mawili wema na waovu je, hao majini wema wanakuwa kama malaika ambao hufanya mema tu?
 
Alikuwa malaika ila hana sifa ni ibilisi kwamb kalaaniwa hakuna malaika ambaye yupo against na Mungu...Hiko cheo chake ni moja kwa moja kweny adhabu ndo maana akaitwa ibilisi
Sasa kama angekuwa malaika asingeasi. Halafu unasema alikuwa malaika ina maana huo umalaika ulimuondoka tena? Hiyo si inakuwa kama wakristo wenye kuamini malaika waliasi na kugeuka majini na sio malaika tena.
 
Kwa mafunzo ya uislamu yanasema malaika hufanya mema tu hawamuasi Mungu, ndio nauliza kama majini wamegawanyika kwa makundi mawili wema na waovu je, hao majini wema wanakuwa kama malaika ambao hufanya mema tu?
hapana jini sio malaika ..
 
Sasa kama angekuwa malaika asingeasi. Halafu unasema alikuwa malaika ina maana huo umalaika ulimuondoka tena? Hiyo si inakuwa kama wakristo wenye kuamini malaika waliasi na kugeuka majini na sio malaika tena.
Nadhani unanielewa akiwa malaika automatically hana dhambi na anamtii mungu akienda againts anaweza kuwass shetani na kupewa cheo kinginr cha hovyo.

Malaika na majini wapo tofauti malaika wanaishi mbinguni katika mamlaka ya Mungu na hata katika vitabu vyingi wametajwa malaika ..
 
Mimi ni mkristo ila hapa umebugi hizi mambo zililetwa kwetu hatujui kama kweli au uongo unaposema waislamu wataangukia pua unakosea kwakua hakuna yeyote kati yetu alieanzisha ukristo wala uislamu wala hakuna alieandika kitabu hatabkimoja kwenye vitabu vya Mungu. Tuwe makini sana kusema ya wenzetu wakati hata yetu hatuyaelewi hakuna aliebora kumzidi mwenzake wala hakuna mkweli kumzidi mwenzake ukristo wenyewe ni dini ya kifakeni kama mafakeni wengine tu vitu vya kuja na majahazi ya wapelelezi sio vya kumkosolea mwingine
 
Qur'an ni maneno ya Allah (Mwenyezi Mungu).

Mwenyezi Mungu awe na "hearsay" tena?

Unaonesha kuwa ni "highly ignorant" linapokuja suala la Qur'an. Nakushauri anza kwa kuisoma Qur'an kwa kuielewa kabla ya kuja na "hypothesis" zako au za kujazwa ujinga.
 
Unachanganya mambo, malaika ni cheo/sifa au kiumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…