Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unaweza kueleza hapa kwa nn alisema kwa vile kaumbwa na udongoSababu ya Ibilisi kukataa kumsujudia Adamu alishaieleza yeye mwenye kuwa aliona yeye ni bora kuliko Adamu kwa sababu yeye(Ibilisi) ameumbwa kwa moto na Adamu kaumbwa kwa udongo.
Ni kwamba udongo ni material dhalili kabisa katika uumbaji wao wakaona kama huyu nimsujudie hapana mimi nipo juu ka Mungu siwez kufanya hivyo hiki ni kiumbe dhaifu.
kufanya hivyo na kuprove kwamba yeye yupo juu kuna watu wanamfuata shetani na kumuabudu kama Mungu wao unabisha?
Duniani kajipa mamlaka kama ya Mungu maana alishaahidi kumkalia pande zote nne mwanadamu ili amfuate ndo unaona mambo ya uzinzi ,wizi,uuaji ,ubakaji ,ulevi .
Haya yote yapo chini ya mamlaka ya shetani ukifanya hivi automatically unamtukuza na kumuabudu shetani
Fanya kutafuta baadhi ya mitume walifanyiwa majaribia na shetani ili waache kumfuata Mungu.