Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Yoda na Retired bakini kule kule kwenye jukwaa la siasa ...Huu Uzi hamuuwezi ...ndio mana Tindo na brazaj na akina @Johnthebatist hamuwaoni huku...Wanalinda heshima zao...sio Kama Uzi hawauoni ila una kina kirefu....
Mkuu mambo mengi muda kidogo.

Pana mambo ya kusaka haki bila kukoma. Kwa wengine hayo ni kipaumbele.

Ya Quran, biblia na ya dini ubaya gani kujipanga kwenda kumwuliza Mungu mbinguni live?

Cc: Tindo, johnthebaptist
 
Unaibua hoja mpya ambayo tukisema tuanze kuijadili tutaondoka katika hoja nilizozianisha hapo juu.

Ngoja nitafungua Uzi mwingine unaohusu kupungua Kwa vitabu au Baadhi ya Aya za Biblia na sababu zake kisha tutakuja kujadiliana hapa.

Kwa sasa jibu hoja zilizowasilishwa
 
Unaweza peleka katiba ya Tanzania kenya ikashtakiwe?

Ila tunaweza kuishtaki Kenya Kwa kutumia Majina ya watu wetu au kuiba Stori zetu na kuzifanya ni zao.

Waarabu wameiba Stori na Majina ya Wayahudi alafu wanajitia wao ndio wawe Reference wakati dunia nzima inajua walifanya plagiarism
 
Fikiria Mimi ambaye sijamuona Nyerere ati nijafanye namuelezea Nyerere na kushinda Wakina Kikwete waliowahi kufanya Naye KAZI.
Alafu watu wakaniamini Mimi kuliko Kikwete😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Yesu unajua Hata Muhammad anamheshimu?
Kwa hiyo kumuita Yesu Tapeli ni kumdharau mpaka Muhammad.

Hata hivyo sio kosa mtu kuwa na mtazamo Kama wako ikiwa ndivyo uonavyo
Mtu kufahamiana na mzazi wangu hamkuzii kuwa mwongo, maana dhana ya utapeli ni uwongo, Hivyo Yesu alifundisha uwongo, ambao waaumini wake, huutumia kuwadanganya wenzao.

Eti ukitoa 50 utapata mia, alafu eti hiyo 50 unampa Mwamposa siyo mtu asiejua kesho kwa lolote lile, si utapeli kama utapeli mwingine tu.
 
HIKI SI NDIO KICHWA CHA UZI WAKO?

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua​

Na mimi nikaleta hoja ya kwanza kabisa ya Jina BIBLIA kwenye BIBLIA yenyewe wapi BIBLIA INAWEZA KUTHIBITISHA JINA LAKE LENYEWE? UKASEMA HUWEZI KUPATA?

SASA TUKIANZIA HAPO KWENYE JINA TU, KITABU GANI KIMEANGUKIA PUA?

Post yangu ya mwisho nairudia hapa... Post no. 421 nikijibu comment yako MFU.

Hizo ni blaa blaa tu bado...BASI NIPE HATA ANDIKO LA BIBLIA YA KIEBRANIA AU KIYUNANI ILIYOSEMA HIYO TAFSIRI YA BIBLIA KAMA ULIVYO ELEZA HAPO...

Kama huwezi pata JINA KITABU ndani ya KITABU CHENYEWE... KITABU GANI KIMEANGUKIA PUA HAPO?

Sasa jambo dogo kama hilo umeshindwa kulithibitisha hapa... Huu mjadala umeufungua kwa kujiaminisha nini...unaanzisha MVUA YA MAWE HALI WAISHI KWENYE NYUMBA YA VIOO.

KAWAIDA YA MUNGU HUWA NI MWENYE UWEZO WA KUJIELEZA YEYE MWENYEWE PAMOJA NA MATENDO YAKE... Nadhani hapa tunakubaliana...

SASA KAMA HAYO MANENO YA MUNGU MWENYEWE HAYAJITOSHELEZI KUJIELEZEA YENYEWE... BASI SIO MANENO YA MUNGU HAYO...

TUNACHOTAKA ANDIKO KWENYE BIBLIA IWE YESU IWE MUSA IWE YOHANA IWE MATHAYO WANAELEZA KUWA HII BIBLIA NI MKUSANYIKO WA VITABU VYA MUNGU...

KAMA HUWEZI KUPATA ANDIKO HILO... BASI HUU MJADALA WAKO UFUNGE... UMEKOSA UHALALI WA KUENDELEA KUJADILIWA... KWA SABABU BIBLIA HIYO UNAYOISIFIA IMEKOSA KUJIELEZA YENYEWE KWA MAANDIKO YAKE NA KUJITETEA NA KUJITHIBITISHA HATA JINA LAKE.

CASE CLOSED.

(WAISLAAM NENDENI MKADISCUSS MAMBO MENGINE KWENYE THREADS NYINGINE... HANA HOJA HUYU.)
 
Alafu kingine unataja Waislam wakati kinachojadiliwa ni kitabu cha Quran na sio dini au waumini wa kiislam. Ndio maana nashangaa hata HAO Wakristo wanajua kuparangana hapa.

Unataaluma yoyote ya uandishi wa vitabu? Au mambo ya uandishi?
Maana unataka kuleta hoja ambazo zipo mbali na Mada?

Mtu ushaambiwa kuwa Biblia ni mkusanyiko wa vitabu au maandiko matakatifu, mwenzako mmoja kasema haya nimpe hata Aya inayosema maandiko matakatifu nikampa, Wewe hujui hata unachokieleza.

Niambie Quran Kwa Kiswahili tafsiri yake ni nini?
 
Kosa ambalo wengi wanalifanya ni kujaribu kuonesha kwamba imani ya watu fulani ni bora na kukosoa au kuiona imani ya wengine haifai, masuala ya imani yanatokana na mtu au watu kuamini, hivyo ni jambo la hatari sana na la kijinga, kumwambia mtu kwamba imani yako ni mbaya na ikithibitishwa mbele ya mahakama, 'itaangukia pua'.

Masuala ya imani huwa hayashindanishwi hata siku moja, imani ni aina fulani ya ufuasi au ushabiki, kwa kawaida imani au ushabiki hauna mantiki, yaani mchukue shabiki wa Yanga na umwambie kwamba Yanga ni timu mbovu na kwamba Simba ni timu bora kuliko Yanga, hatakuelewa kwamba yeye anaamini hivyo, na hahitaji mantiki.

Wewe kama una imani yako na unaamini kwamba imani yako ni bora kuliko za wengine basi, baki na imani yako na achana na kukosoa au kuona imani za wengine hazifai.
 
Ndio maana tuna challenge Quran ina uongo na haina ithbat kwa mahakama.

Bila shaka jibu lako limeikinaisha mahakama na kuiona haina hatia.

Swali la pili:

Kutoka kwa mshtakiwa ambae ni Quran.
 
Hizo ni blaa blaa tu bado...BASI NIPE HATA ANDIKO LA BIBLIA YA KIEBRANIA AU KIYUNANI ILIYOSEMA HIYO TAFSIRI YA BIBLIA KAMA ULIVYO ELEZA HAPO...

Kama huwezi pata JINA KITABU ndani ya KITABU CHENYEWE... KITABU GANI KIMEANGUKIA PUA HAPO?

Sasa jambo dogo kama hilo umeshindwa kulithibitisha hapa... Huu mjadala umeufungua kwa kujiaminisha nini...unaanzisha MVUA YA MAWE HALI WAISHI KWENYE NYUMBA YA VIOO.

KAWAIDA YA MUNGU HUWA NI MWENYE UWEZO WA KUJIELEZA YEYE MWENYEWE PAMOJA NA MATENDO YAKE... Nadhani hapa tunakubaliana...

SASA KAMA HAYO MANENO YA MUNGU MWENYEWE HAYAJITOSHELEZI KUJIELEZEA YENYEWE... BASI SIO MANENO YA MUNGU HAYO...

TUNACHOTAKA ANDIKO KWENYE BIBLIA IWE YESU IWE MUSA IWE YOHANA IWE MATHAYO WANAELEZA KUWA HII BIBLIA NI MKUSANYIKO WA VITABU VYA MUNGU...

KAMA HUWEZI KUPATA ANDIKO HILO... BASI HUU MJADALA WAKO UFUNGE... UMEKOSA UHALALI WA KUENDELEA KUJADILIWA... KWA SABABU BIBLIA HIYO UNAYOISIFIA IMEKOSA KUJIELEZA YENYEWE KWA MAANDIKO YAKE NA KUJITETEA NA KUJITHIBITISHA HATA JINA LAKE.

CASE CLOSED.

(WAISLAAM NENDENI MKADISCUSS MAMBO MENGINE KWENYE THREADS NYINGINE... HANA HOJA HUYU.)
 
Kinachojadiliwa sio Imani Bali vitabu viwili yaani Biblia Vs Quran.

Je kipi kinaweza kuwa Rejea kuu , ndio hoja zimetolewa hapo.
 
USHAJIDHIHIRISHA KUWA HUNA AKILI WALA HOJA... UNABWABWAJA TU... UMEANZISHA HOJA UNASHINDWA KUITETEA... HOFLES KABISA...
 
HII HOJA HUWEZI JIBU UNARUKA RUKA TU...

Hizo ni blaa blaa tu bado...BASI NIPE HATA ANDIKO LA BIBLIA YA KIEBRANIA AU KIYUNANI ILIYOSEMA HIYO TAFSIRI YA BIBLIA KAMA ULIVYO ELEZA HAPO...

Kama huwezi pata JINA KITABU ndani ya KITABU CHENYEWE... KITABU GANI KIMEANGUKIA PUA HAPO?

Sasa jambo dogo kama hilo umeshindwa kulithibitisha hapa... Huu mjadala umeufungua kwa kujiaminisha nini...unaanzisha MVUA YA MAWE HALI WAISHI KWENYE NYUMBA YA VIOO.

KAWAIDA YA MUNGU HUWA NI MWENYE UWEZO WA KUJIELEZA YEYE MWENYEWE PAMOJA NA MATENDO YAKE... Nadhani hapa tunakubaliana...

SASA KAMA HAYO MANENO YA MUNGU MWENYEWE HAYAJITOSHELEZI KUJIELEZEA YENYEWE... BASI SIO MANENO YA MUNGU HAYO...

TUNACHOTAKA ANDIKO KWENYE BIBLIA IWE YESU IWE MUSA IWE YOHANA IWE MATHAYO WANAELEZA KUWA HII BIBLIA NI MKUSANYIKO WA VITABU VYA MUNGU...

KAMA HUWEZI KUPATA ANDIKO HILO... BASI HUU MJADALA WAKO UFUNGE... UMEKOSA UHALALI WA KUENDELEA KUJADILIWA... KWA SABABU BIBLIA HIYO UNAYOISIFIA IMEKOSA KUJIELEZA YENYEWE KWA MAANDIKO YAKE NA KUJITETEA NA KUJITHIBITISHA HATA JINA LAKE.

CASE CLOSED.

(WAISLAAM NENDENI MKADISCUSS MAMBO MENGINE KWENYE THREADS NYINGINE... HANA HOJA HUYU.)
 
Haya mavitabu yote yaliyoletwa kwenye majahazi ni ya hadithi za kutunga tu, HAKUNA cha biblia eti ndio sahahi wala sijui Hiyo Quran, zote ni hadithi za kuletwa na majahazi tu.

We hebu fikiria, mzungu kaondoka Africa bado anaitamani, halikadhalika mwarabu, wamekamata watumwa, wamewaua, wamewaf...r.a sana tu, wameteka kisaikolojia wanarudi kukupa Habari za manabii wao wakutunga wanakukataza kuamini mila zako, wanaziita za kishenzi, wanawakataa watu wenye unabii kama Akina Mwanamalundi, Kinjekitile, Mkwawa, Mtemi Nyundo, na wabashiri waliobashiri uwepo wa mvua, njaa au vita wakawaita wachawi, Akina Yesu fundi seremala, na mwamedi mfanyabiashara ya kuvamia misafara ya watu na kupora mali eti ndio manabii wa Mungu!! How pathetic!

Huu ndio utumwa wa fikra ambao ndio utumwa mbaya kuliko yote! Bro, wake up, dini ni utumwa mpya, achana na hayo mavitabu yatakupotezea muda, we tenda wema, usiibe, usiue, usidhulumu, tembelea wagonjwa, wape misaada, saidia mayatima, wajane na wagane wazee na wasiojiweza, usimtendee jambo ambalo we mwenyewe usingependa kutendewa basi utaishi vema, mavitabu yako tupa kureeee!
 
Kinachojadiliwa sio Imani Bali vitabu viwili yaani Biblia Vs Quran.
Je kipi kinaweza kuwa Rejea kuu , ndio hoja zimetolewa hapo.
Kwani Biblia na Quran zinawakilisha imani/dini zipi? Unawezaje kuzungumzia vitabu vya kiimani (Biblia na Quran) bila kuhusisha imani zenyewe?
 
Kweli Quran imewakamata na hamuna pakutokea Hadi mnatamani muipeleke Mahakamani?
 
Mathayo, Yohana wote walioandika Injili walikuwa wanafunzi wa Yesu.
Walimshuhudia wakasimulia.
Hiyo mathayo alikuwa msomi WA mahesabu ya ushuru na tozo.

Unaposema hakuna ushahidi wao ndio waliandika hiyo Injili lakini muda huohuo unamuamini Muhammad ambaye anasimulia Stori ambazo hazimuhusu Kwa namna yoyote Ile.
Sio myahudi lakini anasimulia habari za Wayahudi.

Hajawahi kuishi uyahudini lakini anaandika mambo ya nchi ambayo hajawahi kuiona.

Yaani Wewe ni hao Wakristo Nani mwenye matatizo ya kufikiri?

Kuanzia kitabu cha Mathayo mpaka kitabu ufunuo wa Yesu Kwa Yohana vitabu vyote vimeandikwa na wanafunzi wa Yesu.

Huyo Paulo ambaye Waislam walimpinga Hakuwa mwanafunzi WA Kwanza wa Yesu(yaani wale 12 wa awali) lakini Paulo alifanya kazi na wanafunzi waliomshuhudia Yesu, hao kina Petro.

Barua za Paulo zote zimebeba Majina ya wakati huo WA Maeneo ya Uturuki, ugiriki, n.k.

Haya embu jadili hoja zilizopo kwenye Uzi
 
Fikiria Mimi ambaye sijamuona Nyerere ati nijafanye namuelezea Nyerere na kushinda Wakina Kikwete waliowahi kufanya Naye KAZI.
Alafu watu wakaniamini Mimi kuliko Kikwete😀😀
Tatizo linakuja pale unapomuelezea Nyerere tofauti na walivyomuelezea akina Kikwete waliokuwepo.

Tatizo kubwa zaidi ni kwamba unapata na wafuasi wanaoamini stori yako, na wanakuunga mkono kwamba akina Kikwete waliokuwepo walikosea kumuelezea.
 
Hakika, ila tatizo kubwa la dini ni hisia zaidi hutumika kuliko critical thinking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…