Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Tena pale Bakhresa ukienda interview kama hauitwi Salim au Saidi ujue hupati kazi...na Kama unaitwa John hata ukipata kazi, kwa jinsi utakavyobaguliwa haumalizi mwezi unaresign.
Sidhani kama kuna kampuni lenye itikadi za hivi kwa wakristo.
Hakunaga sisi tunawaajiri wote tu nawanakaa kwa raha
 

Onyesha ufafanuzi ulioutoa kupitia maandiko ya Quran, au hayo ni maoni yako?

Hapo ndipo hoja ya kuwa utatu mtakatifu wa Wakristo unapopata nguvu Kwa Aya za namna hiyo.
 
Waislam huwa siamini kabisa kama kichwani wana akili.....huku Zanzibar kila kukicha vitoto kutwa nzima vipo madrasa, lakini kwenye mitihani ya kitaifa vikifeli wazenji utasikia "watanganyika wanafelisha kwa maksudi watoto wetu" wapumbavu sana hawa watu.
 
naona mna pekenyua ili muaminishe watu ukafiri wenu ila dini yahaki ni uislam kwingine niuasi mtupu.

Wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kuku thibitishia wewe kafiri ambae Moto utakua malipo yako milele na milele
 
naona mna pekenyua ili muaminishe watu ukafiri wenu ila dini yahaki ni uislam kwingine niuasi mtupu. Wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kuku thibitishia wewe kafiri ambae Moto utakua malipo yako melele na milele

Badala ujibu hoja zilizopo Kama upo mahakamani wewe unaleta upuuzi wa mihemko yako.

Unafikiri humu kila mtu anaamini kuna Moto wa milele?
Hapa vinavyojadiliwa ni vitabu, sio hayo maoni yako
 
Onyesha ufafanuzi ulioutoa kupitia maandiko ya Quran, au hayo ni maoni yako?

Hapo ndipo hoja ya kuwa utatu mtakatifu wa Wakristo unapopata nguvu Kwa Aya za namna hiyo.
Kwa wasioelimu ni sawa kwao kuamini hivyo unavyotaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Badala ujibu hoja zilizopo Kama upo mahakamani wewe unaleta upuuzi wa mihemko yako.

Unafikiri humu kila mtu anaamini kuna Moto wa milele?
Hapa vinavyojadiliwa ni vitabu, sio hayo maoni yako
unaweka hoja kwenye vitu ambavyo huvijui nyau wee
 
Kwa wasioelimu ni sawa kwao kuamini hivyo unavyotaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwa hiyo kwaajili yako mungu wa waarabu/Allah ili aonyeshe utukufu na nguvu zake ndio maana anatumia wingi katika kujieleza? 😀😀
Naomba usijibu swali hili maana najua huna maarifa nalo,

Nilikuuliza swali kwenye Uzi wa Jana, kabla Muhammad hajawa Mtume alikuwa anaabudu mungu yupi?
Hukunijibu,

Wakati bi. Khadija anaenda Kwa padri walaga unafikiri hapakuwa na vitabu vinavyosimulia habari za Kina Musa, Yesu, Yusuf, Daudi na Suleiman?

Maana ni kosa kubwa kudhani Muhammad ndiye mtu wa Kwanza kuzungumza visa vya Wayahudi ilhali vilikuwepo na yeye ni mtu wa Mbali mno kinasaba na kisimulizi Kwa habari za visa alivyosimulia.

Hujajibu hoja hata Moja, yaani Uzi huu bado hajatokea anayejibu hoja zilizotolewa, kila mmoja akija anakuja na mambo yake mapya ambayo hayajaletwa kwenye Baraza.
 
Bottom line ni kwamba awe mwislamu au mkiristo, bila kumpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yetu tutakosa uzima ujao. Yeye pekee ndiye mwokozi wa kutuokoa na hukumu iliyoko mbele yetu na moto wa milele. Ukweli ndio huo hata tukipinga ni kazi bure tu maana alichoamua Mungu hakuna wa kupinga. Yesu ndiye amepewa vyote na Baba (Mungu) na ndiye pekee ambaye ni mwokozi wa roho zetu.

Someni maandiko yaliyo chini. Nimeona waislamu wengi tu wametokewa na Yesu Kristo na sasa wanahubiri injili ya kweli na wamekuwa wakifundisha vizuri tu bila kuwakwaza ndugu zao waislam na wanajaribu sana kuwaeleza kiheshima njia ya kweli. Tafuteni kwenye YouTube.

Maombi yangu ni kwamba tusibishane sana labda tumwombe Mungu atuonyeshe njia iliyo ya kweli.

Flp 2:10-11​

ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.

Yesu anajibu hivi: “Mimi ndiye njia na kweli na uzima.” Mtu anaweza kuingia katika nyumba ya Baba yake wa mbinguni ikiwa tu atamkubali Yesu, mafundisho yake, na kuiga maisha yake. Yesu anasema: “Hakuna mtu anayekuja kwa Baba bila kupitia kwangu.”—Yohana 14:6.

Yohana 3:16
16 “Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Ufunuo wa Yohana 21:8
[8]Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Maombi yangu ni kwamba wote mnaobisha kwa vitu msivyovijua, Mungu wa Mbinguni awape macho ya kuyaona haya na masikio ya kusikia kabla siku zako hazijaisha katika ulimwengu huu maana baada ya kifo ni hukumu na hakutakuwepo tena nafasi ya kutubu.

Ukiristo na Uislamu ni dini tu na tukiwa kwenye hizo dini zetu tupo wengi tunaendelea kutenda maovu na tumekuwa chukizo mbele za Mungu huku tukienda makinisani na misikitini.

Na hapo juu tumeona watendao maovu wote watakwenda kwenye moto wa milele.
 
Hahahaaa eti mungu ana huo muda... concept ya mungu kwako ikoje!?..yaani mungu ni nini kwako!?...muda ni wewe binaadam umeweka ili uhesabu
 
Kwa hiyo yesu mungu au!?..palikua na haja gani mungu kumtoa mwanae wa pekee ili kituokoa!?...yeye mwenyewe hawezi kituokoa?
 
Hahahaaa eti mungu ana huo muda... concept ya mungu kwako ikoje!?..yaani mungu ni nini kwako!?...muda ni wewe binaadam umeweka ili uhesabu

Kwa hiyo Kwa akili yako Mungu aliandika torati au zaburi au Injili au hiyo Quran? Ndio akili yako inavyoelewa hivyo?

Kwa kukusaidia tuu. Nenda kasome Historia vizuri ya Religious figures na nyakati walizokuwa nazo Enzi hizo. Alafu ndio uje Hapa.

mungu wa Muhammad kabla hajapewa utume alikuwa akiitwa Nani?
Yaani Muhammad akiwa na miaka 39 Kurudi chini alikuwa anaabudu mungu yupi?

Je mungu aliyekuwa anaabudiwa na kabila la Muhammad kabla ya Muhammad hajapewa utume anaitwa Nani?
Fuatilia hiyo,
Kabla ya Muhammad hajawa Mtume ni Nabii gani katika kabila au taifa Lao alikuwepo kama reference ya Ibada zao?

Ni ipi dini ya Muhammad kabla hajaanzisha uislam?
Hapo ndipo Ulipo msingi wa Quran
 
Unahoja ipi?
Au unapangua hoja ipo Kati ya zilizoainishwa kwenye Uzi?
Nimemuonesha huyo alio weka aya ya maono ya daniel, ili aone bible ilivyo shikwa shikwa, ingeachwa kama ilivyo andikwa tusinge kuwa na mijadala kama hii
 
KUTOKA 31:18
mwenyezi mungu alipomaliza kuongea na Musa mlimani Sinai,alimpatia Musa vile vibao viwili vya mawe ambavyo yeye mungu aliviandika kwa mkono wake
 
Umeandika pumba tupu ila tambua kuwa Hauna hoja za kupinga Aya za Quran iwe kwa kutumia Bibilia, Mahakamani au kwa kutumia akili yako ya kibinaadamu

Mimi nakujibu pumba yako Moja tu

YESU AMEZALIWA WAPI?

Hakuna andiko lolote katika Bibilia lililotaja sehemu alipozaliwa Yesu Yani (Lebor ya Yesu)

Luka 2 (KJV)
6 Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
7 akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Hili andiko halisemi kama Yesu amezaliwa katika hori la ngombo linasema amevikwa nguo akalazwa katika hori tena amelazwa hapo baada ya Mariam kukosa nafasi nyumba ya wageni inamaana wangepata nafasi nyumba ya wageni hapo katika hori la ngombo wasingefika

Yani kama hospital hapo katika hori ni warding sehemu ambayo wazazi wanaenda kupumzika na watoto wao baada ya kutoka Labor

Sasa je Lebor ya Yesu ili kuwa wapi ? Kwa mujibu wa Quran Lebor ya Yesu ni chini ya Shina la mtende

Quran 19:23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

25.
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.

Hamuna uwezo wa kuipinga Quran kwa hoja na ndio maana Allah aliwambia asiye itakata Quran na achukue kamba AJINYONGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…