Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ifike wakati Tuwaambie tu Waislamu Ukweli... Tutadaiwa Roho zao huko mbele, Aliyeteremsha Quran ni SHETANI full stop,

huyo ndo adui wa Jibril. NO hadithi ni longo longo... labda kama wanampinga allahView attachment 2403211
Al baqara 97 whoever is an enemy of Gabriel should know that he revealed this(Qur'an) to your heart by Allah's will, confirming what came before it, a guide and good news for the believers
 
Quran na uisilamu ni mfumo wa maisha na ni katiba na sheria unapoipeleka mahakamani unatumia Quran kuijudge ama man made laws?

kuna Nchi kibao zinafuata mfumo wa Quran japo si 100% ila zina mafanikio makubwa sana. Kuanzia Nchi za Gulf mpaka Asia ya mashariki kama Kina Brunei na Malyasia, ila sijaona Nchi ama hata wakristo wanaofuata Bible, kwa Wengi Bible ni Spiritual book na sio way Of life, Hakuna uchumi wa Biblia, Mahakama za Biblia, mabenki ya Biblia etc ila utakuta Mahakama za Uisilamu, mabenki ya Uisilamu, Mabucha, uchumi kwa ujumla etc vyote hivi vinabase na Quran.

So Quran imeprove practically inachosema, na sio kuongelea kwenye makaratasi tu.
 
Hhhhhhhhhhhh baada ya kukubana kule na hoja zetu ukakimbilia kuanzisha uzi wako hhhhhhhhhh
Maria Nyedetse amekukamata na hoja zake umemkimbia
Naomba kama kweli ni mjuvi kama unavyojinasibu utoke kwenye GENERAL UENDE KWENYE SPECIF....

Lakini pia NAKUSHANGAA UNAVYOITOA BIBILIA KUTOKA MANENO YA MUNGU KUWA MASIMULIZI YA WATU KAMA YALIVYOWATOKEA... JE UNATAKA KUWEKA KWENYE MIZANIA MASIMULIZI YA WATU NA MANENO YA MOLA MLEZI AKIELEZEA JINSI ALIVYOWAANGAMIZA WALIOMKADHIBISHA AU ALIVYOWANUSURU WALIOMWAMINI
KAMA IBRAHIMU DHIDI YA KUCHOMWA MOTO, NUHU DHIDI YA GHARIKA AU MUSSA DHIDI YA FIRAUNI AU YESU DHIDI YA KUSULUBIWA? lakini Mola Mlezi haishii kusimulia tu BASI ANATOA BISHARA KWA YETU ATAKAYECHUKUA NJIA YA KUNDI LOLOTE KATI YA HAYO YALIYO PITA BASI AJUE KABISA NDIVYO YATAKAVYOKUWA MAFIKIO YAKE SAWA NA HAO WALIOPITA....

Lakini TOFAUTI na visa na matukio ya waliopita MOLA MLEZI AMEELEZA MAADA MBALIMBALI KWENYE QUR'AN KAMA;
1. Embryology rejea SURATUL muuminun aya za mwanzo

2. Akaelezea uumbaji wa mbingu na ardhi, mabadiliko ya usiku na mchana kama ishara ya uwepo wake...

3. Akaelezea masuala ya sheria kama MARRIAGE yupi na yupi wanaweza kuoana na yupi na yupi hawawezi kuoana, akaelezea masuala ya mirathi wanaopasa kurithi mpaka na viwango vyao,

4. Ameelezea masuala ya biashara na vilivyokatazwa katika biashara..

5. Ameelezea hali ya siku ya HUKUMU na watakavyokuwa watu siku hiyo....

6. Ameeleza juu ya HUKUMU ya vitu ZAKA NA MAKUNDI YANAYOPASWA KUPEWA HIYO ZAKA TOFAUTI NA BIBILIA AMBAYO HUWEZI KUPATA MGAWANYO HUO NA MATOKEO YAKE ZAKA NI YA VIONGOZI PEKEE...

7. Kwenye QUR'AN MOLA MLEZI Ameonya juu ya tabia mbaya kama UNAFIQ na mafikio yao, upunguzaji wa mizani katika mauziano, Uchawi n.k LAKINI HUWEZI KUKUTA VITU HIVYO WITH CLARITY AND CONSISTENT kwenye BIBLE...

8. Ameelezea mitume waliopita, mitihani walioipata kutoka kwa watu wao, yakini yao kwa Mola Mlezi na jinsi alivyowaokoa na MADHILA LAKINI PIA ANATOA BIDHARA KWETU SISI... Je unataka KUWEKA KWENYE MIZANI NA BIBILIA AMBAYO ndani anasimuliwa Mitume kwa uovu kama IFUATAVYO:
1. Abraham anatuhumiwa uzinzi
2. Nuhu anatuhumia Ulevi [Alcoholism]
3. Luti anatuhumia kuzini na binti zake
4. Daudi kuzini na mke wa kamanda wake na kumuua mwenye mke..

Uhalisia wa mambo hata tungechukua sample za matukio na kuyalinganisha kama yalivyosimuliwa na vyanzo vyote viwili utagundua kimoja hakiko consistent wala facts based na kingine simulizi ziko very clear, consistent and facts based...

1. Mfano nikikuambia lete simulizi ya Yusuf Alayhim Salam kama ilivyosimuliwa kwenye bibilia na kwenye Qur'an utaona utofauti


2. Malezi ya Maria mama wa Yesu, baba yake, mama yake, mlezi wake baada ya kufa kwa wazazi wake Mtume wa Allah Zakariah, miujiza yake kama kupokea chakula kutoka peponi/mbinguni, kuzaliwa kwa Yahaya, kuzaliwa kwa Yesu, miujiza ya Yesu kuwasemeza watu akiwa KICHANGA yako very clear, consistent na facts based kuliko unavyoweza kuyapata kwenye bibilia.

3. Matukio kama vijana wa pangoni na miujiza ya muda waliokuja pangoni, idadi yao na mbwa wao angalia kwenye BIBILIA na JINSI YALIVYO KWENYE QUR'AN ni mbingu na ardhi...

LAKINI PIA MPANGILIO WA MANENO YA BIBILIA NA QUR'AN:
1. Bibilia inajumuisha records za matendo na maneno ya Yesu pamoja na Maneno ya watu wengine KAMA MTUME PAULO ambyo sii maneno ya Yesu wala ya MUNGU lakini QUR'AN NI MANENO YA MOLA MLEZI KILA SURA INAANZA KWA JINA LAKE NA NANI MOLA MLEZI ANATUZUNGUMZISHA SISI WANAADAM


Note: USISOMA SURA YA 53 [NAJM] Mola Mlezi anaeleza haya HAYAKUWA NI MASIMULIZI YA MUHAMMAD ila ni WAHAY utokao Kwake YEYE


Nimechoka ngoja nifanye majukumu MENGINE
 
Utata ni mwingi sana.
Mungu wa kweli kama yupo na anapatikana kwenye vitabu hivi vya dini kwanini aliruhusu kitabu kingine kije ambacho ni cha uongo mfano kama bible ni ya kweli kwanini aliruhusu Quran ije ambayo inapotosha au kama Quran ni kweli Mungu kwa nini alishindwa kuiteketeza bible ambayo ni uongo!?
Licha ya hayo Mtu pekee anayeeeza kukwambia Mungu wangu ni wa kweli ni mwanadamu ambaye naye anasoma kitabu kinacho jieleza kuwa kimetokana na Mungu wa kweli iwe bible au Quran nje ya vitabu hivyo sina hakika kama kunasehemu unaweza kuthibitisha kuwa vitabu hivo ni kweli.
Ajabu nyingine pia katika vitabu vyote huwa kuna inaibuka makundi(watu) ambayo yana tafasri kwa hivyo vitabu kwa mtazamo tofauti na ule wa wengine na makundi hayo yakipata wafuasi yanakuwa madhehebu iwe kwenye ukristo au uislam ni maajabu.
Nacho fikiri kwa sasa huenda watu walionyuma ya hizi dini ambao ndio waanzilishi wa hizi dini wakirudi leo hii pengine kunavitu vingi wangebadilisha au ķuvipinga kwan vitakuwa tofauti na mitazamo yao au mitazamo yao itakuwa imebadilika.
Pia wafuasi wengi wa hizi dini hawajui hata misingi ya imani zao naona dini ni silaha hatari zaidi kuwahi kutokea.
Nime fuatilia kwanini afrika tuko tulivo hasa Tanzania sababu ni dini waislam wanawakaririsha Quran watoto wakristi wanawakaririsha biblia watoto na mwisho wa siku watoto waanamini sehemu pekee yenye umuhim ni mbinguni huko kuna raha zote na dunia ni sehemu sawa tu kwa chochote kitakachotokea.
Kwa wenzetu wanasayansi wakubwa wote tunaowasoma waliofanya makubwa ni watu waliokuwa wanashinda maabara au pengine kusoma kwao ndio ilikuwa tumaini lao la kwanza.
Naahangaa sana watu ambao wanaona kuwekeza katika sayansi ni kama kumkana Mungu wakati huo huo wanatumia technologia zilizo tengenezwa kwa kiasi kikubwa na wanasansi ambao wengi wao hawaamini katika hizi dini.
 
Tambua hamna biblia iliyosushiwa yesu kama unayo leta iyo imechukua vitabu vya torat na zaburi..na qur an ipo kweny series ya vitabu vya mungu lazima isadifu yaliyopita na kuendeleza taratibu za imma huu.
SASA BASI, kama kweli Injili ilitiwa MKONO, naomba mnijibu maswali yafuatayo.

1. Nileteeni Injili ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran.

2. Nileteeni Taurat ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Taurat iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?

3. Nileteeni Zaburi ambayo haijatiwa mkono iliyo teremshwa kabla ya Quran. Kumbuka mimi sina muda na aya za Quran kwasababu Quran sio BIBLIA - Mkusanyiko wa vitabu. Ipo wapi Zaburi iliyo teremshwa kabla ya Quran na inayo thibitishwa na Injili?
 
Mkuu binafsi huwa naheshimu sana maandiko yko mengi ila hili nimekushusha thamani mpk kwenye 0 kiukweli,yan mpk nimerud tena juu nihakiki kma ni kweli ndo wewe uliyeandika hv,sijaamini kma ndo wewe unaweza kuandika nonsense kma hv.
Hv unaijua Quran sawasawa mkuu?
Ulishawahi kuisoma vzr ukaielewa?
Unajua Quran ni nini na ni maneno ya nani?
Unajua Muhammad yale si maneno yake?
Unawafahamu walioiandaa hiyo bible?Unaelewa makusudio yao?
Yan leo umeandika kama mtoto wa std7 aisee.....Kaa chini usome Quran uelewe sio unakurupuka tu
 
ILI IONEKANE UNASEMA KWELI... HEBU NJOO TUTHIBITISHIE HATA JINA "BIBLIA" KAMA LIPO POPOTE LILIPOANDIKWA NDANI YA BIBLIA.. ACHANA NA COVER...
 
Mimi simo, kwa kile unachokitafuta kwa bibi yetu wa Jf
 
Anatumia zaidi akili yake na utashi wake bila ya elimu ya hicho anachokiandika
 
QUR'AN ILIKOPI SEHEMU ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA [YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI ]

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

SWALI LETE ANDIKO MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA HAMJAKOPI BIBLIA

[emoji818]Mwanzo 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.

¹⁰ Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

MUNGU WETU ALIZIPA BAHARI MIPAKA YAKE USHAHIDI HUU HAPA KABLA YA MUHAMMAD KUZALIWA NA KABLA YA QUR-AN YENU KUANDIKWA

[emoji818]”Mithali 8:29 “Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;

[emoji818]Zaburi 24 (Biblia Takatifu)

¹ Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

² Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

PAUL NDIYE WA KWANZA KUFIKA HAPO KABLA YA MUHAMMAD WENU KWENYE BAHARI CHUMVI NA BAHARI TAMU USHAHIDI HUU HAPA KASOMA MATENDO 27:1-44[emoji16][emoji16]

[emoji818]Matendo ya Mitume 27:41 “Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi.

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]

QURAN IMEKOPI BIBLIA NA IMEKOPI ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI USHAHIDI HUU HAPA

[emoji818]SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA SI KOPI YA KUTOKA KWA PAULO MATENDO 27:41

[emoji818]Quran 55:18-20

18. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?

19. Anaziendesha bahari mbili zikutane;

20. Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane

[emoji818]Quran 25:53. Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho

[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]ASALAAM ALEIKUM
 
Nimekuelewa sana hapo juu.
 
ILI IONEKANE UNASEMA KWELI... HEBU NJOO TUTHIBITISHIE HATA JINA "BIBLIA" KAMA LIPO POPOTE LILIPOANDIKWA NDANI YA BIBLIA.. ACHANA NA COVER...
QURAN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU USHAHIDI HUU HAPA

MAANA YA NENO QUR'AN TUNALIPATA HAPA CHINI

QUR'AN MAANA YAKE NI MASHAIRI YA KIARABU YENYE KUKARIRIWA NA MTU YEYOTE:

Qur'an 43:2 Naapa kwa Kitabu kinacho bainisha

Ufafanuzi wake

Kiarabu kilichotumiwa ni Qur'ani ambayo inamaana ya mashairi ya Kiarabu yenye maana ya kusomwa kwa kukaririwa kirahisi*

القرآن 43: 2 أقسم بالكتاب الذي يوضح
تعريفه
اللغة العربية المستعملة هي المصحف الذي يعني الشعر العربي الذي يعني التلاوة بالتلاوة:

 
Ifike wakati Tuwaambie tu Waislamu Ukweli... Tutadaiwa Roho zao huko mbele, Aliyeteremsha Quran ni SHETANI full stop,

huyo ndo adui wa Jibril. NO hadithi ni longo longo... labda kama wanampinga allahView attachment 2403211
Mimi nilidhani kule pangoni alikuja Jibril, kumbe ni adui yake Ibris.

Ndio maana hakujitambulisha na kumkaba mtume.

Jibril miaka yote huwa anajitambulisha.

Luka 1:30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

32 Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.

Hadi ktk maisha ya leo.
Adui kamwe hajitambulishi.

Mwizi huwa hajitambulishi.

Wachawi hawajitambilishagi.

Kuficha utambulisho ni hila za shetani.

Mgeni mwema huwa anajitambilisha bila shaka yoyote, na wakati wote na kujibu maswali yote.

Shetani Ibris huwa hajitambulishi hadi hii leo.

Tafakari chukua hatua.
 
Kumbe ni mashairi ya kutungwa tu basi.

Nawauliza Waislamu

Hivi kwanini aliyemtokea mtume pangoni hakujitambulisha ?

Ni nani hasa huyo kiumbe aliyeishia kumpiga na kumkaba mtume hadi akaugua majeraha ya kipigo ?

Nipo pale nimekaa nasubiri jibu.
 
Hoja yako ni dhaifu Mno na inaonesha ni kiwango gani usichojua unachokizungumza....

1. Muasisi wa jambo hawezi kuwa ndiye anayeelekezwa YEYE pamoja na wafuasi wake

2. Pia angejikita zaidi kijitukuza kwenye mambo yake..

3. Chain ya urithi na Utawala ungejikita zaidi kwenye kizazi chake... ikiwa ni pamoja na kuacha mrithi

4. Muda aliutumia MUHAMMAD Rehema na amani ziwe juu yake kama MTUME ni miaka 23 pekee lakini UJUMBE ALIOUSIMAMIA Umebobea kwenye utawala, thelojia, biashara, social norms, laws, military, geography, embryology, n.k kiasi kwamba no human being yeyote awaye anaweza au atatokea atakaye weza kuwa na ufahamu huo...
 
Kuna ukweli, lakini ngoja waje wenyewe watoe majibu, maana wakali kama nyuki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…