Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #701
UKIENDA CHINA UKISIKIA ADHANA HUULIZI NI KWENDA MSIKITINI TU MAANA LUGHA YA IBADA NI MOJA TU DUNIAN NI KIARABU
SASA WEWE MKRISTO HATA SIO MBALI NENDA SOMALIA TU HAPA KANISANI KAMA UTAAMBULIA KITU
KWAHY HUO NI MUUJIZA WA ALLAH KWA VIUMBE WANAO SILIMU NI WENYE AKILI TU
YEHOVA NI LUGHA GANI SASA CHUKUA BIBLIA YA KICHINA UANGALIE KAMA WAMEANDIKA YEHOVAZaidi ya Tanzania uliwahi enda wapi Mkuu?
Nimekupa Aya inayosema Mungu wa Ibrahim, Isaka na yakobo aliitwa Yehova, mpaka sasa nenda Kwa Wayahudi wenye dini ya kiyahudi waulize Mungu wao anaitwa Nani watakujibu.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Kumbuka Nabii mkubwa kwenye dini ya Uyahudi ni Ibrahim na Musa.
Acha kudanganya kijanaHakuna Mtume wala nabii ambaye hakiwa Muislamu, wote walikuwa Waislamu.
Leo hii Yesu akija atawashangaa sana na Ukristo wenu hakuacha Ukristo Yesu.
😂😂😂 Alie andika Koran alikuwa mjinga Sana , yupo surah ya 5 alafu anasema kakamilisha dini 😂😂😂🤣Kuhusu mfumo kamili wa maisha ...Quran ....Leo nimekukamilishieni dini yenu, na kukutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni uislamu uwe dini Yenu...(5:3)..
MUNGU WA CHINA NDIO MUNGU WAKO NA MUNGU WANGUUnajua uislam uliingia lini China?
Unajua wachina mungu wao anaitwa Nani?
Kitu ambacho kinanithibitishia kabisa kuwa, Yesu Kristo hajawahi kuwa Muislamu, ni kauli ya MUHAMMADI, yeye anasema.Yesu ni Muislam na hu ndio ushahidi kuwa Yesu ni Muislam
Yohana 17:3 (KJV)
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Mtu yoyote anayeamini kuwa Mungu ni wa pekee na huyo Mungu wa pekee ndio amewatuma manabii kama Yesu na wengine huyo ni Muislam
Kama wewe unao ushahidi unasema Yesu alikuwa dini nyingine tofauti na uislam weka hilo andiko tulione
Bibilia ni faile lililokusanya vitabu vya maneno ya manabii na maneno ya watu Mungu hajaleta kitabu kinachoitwa Bibilia
Hilo andiko katika kitabu Cha Yohana ni maneno ya Yesu na maneno ya Yesu ni Injili na Injili ni kitabu cha Mungu alicho mfunulia Yesu
Quran 3:3
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili
Yohana 17:1Haya kipindi Cha Musa Sasa waliambiwa hivi waelekee huko nyuso zao huko na waende huko Je SEHEMU HII NI WAPI KATIKA UKRISTO
maana sisi tunaelekea KIBRA YAANI ULIKKO MSIKITI MTAKATIFU WA MAKKA NA PIA TUNAENDA KWA IBADA YA HIJA VIPI NYIE WAKRISTO WAP MNAENDA KWA MUJIBU WA HILI ANDIKO?
Lakini mahali atakapochagua Bwana, Mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe wende huko;
Kumbukumbu la Torati 12:5
Nikurekebishe kidogo.Unajua uislam uliingia lini China?
Unajua wachina mungu wao anaitwa Nani?
Kitu ambacho kinanithibitishia kabisa kuwa, Yesu Kristo hajawahi kuwa Muislamu, ni kauli ya MUHAMMADI, yeye anasema.kama haujui Kuanzia Adam mpaka nabii Muhammad wote walikuwa kitu kimoja
MUNGU WA CHINA NDIO MUNGU WAKO NA MUNGU WANGU
UISLAMU CHINA ANAJUA MUNGU ULIINGIA LINI
TUCHUNGE SANA MIDOMO YETU HAYA TUNAYOYAANDIKA IPO SIKU TUTAYAKUTA KWA MUUMBA WETU SISI SIO CHOCHOTE ILA NI VIUMBE DHAIFU SANA KWAHY USISEME KILE USI HOKUWA NA ELIMU NACHO USIJE UKAJUTIA MBELENI😂😂😂 Alie andika Koran alikuwa mjinga Sana , yupo surah ya 5 alafu anasema kakamilisha dini 😂😂😂🤣
Nikurekebishe kidogo.
Imani au dini ndio zina Mungu na miungu.
Wabudha, Wayahudi, Waislamu, Wahindu, Wafreemasons nk. Ndio wana miungu au Mungu.
Katika Wachina kuna Wakristo, Waislamu, Wabudha nk. Na wanaabudu Mungu na miungu mbali mbali.
Biblia haitufundishi kuwa Yesu alikuwa Mwislamu inatuambia Yesu ni mwana wa Mungu soma (Mathayo 3;16-17,Yohana 17;1,8;54,)aidha Tunafundishwa kuwa Bwana Yesu ndiye mwanzilishi wa kanisa katika Mathayo 16;18 anasemaمَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَٰكِنْ كَانَ حَنِيفًا مُسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ
Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
surat bakarah
mungu Allah alikuwa anamshushia pedophile ruhusa ya dhambi tena anamsifia kabisaNimekuuliza jambo hapa INAKUWAJE BIBILIA INA MITUME AMBAO WANA PANDE MBILI YAANI UPANDE MOJA WEMA NA UPANDE MWINGINE WAOVU SANA LAKINI QUR'AN INAWAELEZEA WAKIWA NA TABIA NJEMA NA YA HALI YA JUU KABISA HALAFU UJE NA DAI QUR'AN IMENAKILI KWENYE BIBILIA????
Yaani source iwe shallow kuliko nakala 😂😂😂😂😂😂😂
Biblia haitufundishi kuwa Yesu alikuwa Mwislamu inatuambia Yesu ni mwana wa Mungu soma (Mathayo 3;16-17,Yohana 17;1,8;54,)aidha Tunafundishwa kuwa Bwana Yesu ndiye mwanzilishi wa kanisa katika Mathayo 16;18 anasema “Nitalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu haitalishinda”Yesu aliyasema hayo kabla Muhamad hajazaliwa wala uislamu haujaanza aidha ufunuo wa Yohana sura ya pili yoote Yesu anazungumza na kanisa na anatofautisha na sinagogi. Hivyo Kanisa limeanzishwa na Bwana.Hakuna Mtume wala nabii ambaye hakiwa Muislamu, wote walikuwa Waislamu.
Leo hii Yesu akija atawashangaa sana na Ukristo wenu hakuacha Ukristo Yesu.
Nithibishe mim au uthibitishe wewe, waislamu huwaga mna vitukoThibitisha ya kuwa Ibrahiim hakufika Makka.
Umeelewa lakini nilichokimaanishaMungu ni aliye umba mbingu na nchi ndio maana Torati imeandika.
Kumbukumbu la Torati 5:7 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Hapo hapaja andikwa
Miungu wengine bali
miungu wengine
Hakuna jina la Miungu, bali
miungu
Acha uoga wa hivyo,TUCHUNGE SANA MIDOMO YETU HAYA TUNAYOYAANDIKA IPO SIKU TUTAYAKUTA KWA MUUMBA WETU SISI SIO CHOCHOTE ILA NI VIUMBE DHAIFU SANA KWAHY USISEME KILE USI HOKUWA NA ELIMU NACHO USIJE UKAJUTIA MBELENI
Apa unaonekana kabisa unabishana sio mtu wa fact.. nenda kapitie vitabu vyote alafu urudi kwa style hii utashindwa kuwaelewa watetezi wa pili,Soma hoja katika Uzi utaelewa kuwa Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi walivyoandika mitume na manabii Kwa nyakati zao.
Lakini Muhammad badala aeleze mambo ya wakati wake ana-copy visa vya wenzake na kuvifanya kanakwamba yeye kashushiwa kanakwamba havikuwepo.
L
Kwa Hilo Akili hawanaKijana kwanini inakuwa muongo kiasi hicho ? Umejibiwa swali vizuri sana.
Nyinyi habari za Yesu mmezipata Toka kwa ndugu zake Yesu ? Au mmeandikiwa na watu ambao hata kumuona hawajawahi kumuona na wala si nabii ? Ila mnawaamini. Mnatumia nini kufikiri ?
Leo hii si mnasoma Biblia na hamjui lugha ya Yesu wala Matini ya Injili ya Yesu hamna, lakini mnaamini. Hivi mnaakili nyinyi ?
Swali la msingi na ungeonekana una akili kidogo ungejadili ukweli wa kile alichokisema Mtume wa Allah. Kisha ukipinge kwa hoja.