Naam katika Elimu hili ni jambo sahali sana. Shida yenu hamsomi na hamuishi katika ulimwengu wa Kielimu.Kwa hiyo muarabu Muhammad ndio anaweza kuwa na taarifa za Wayahudi kuliko Wayahudi wenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam katika Elimu hili ni jambo sahali sana. Shida yenu hamsomi na hamuishi katika ulimwengu wa Kielimu.Kwa hiyo muarabu Muhammad ndio anaweza kuwa na taarifa za Wayahudi kuliko Wayahudi wenyewe?
swali dogo tu kipindi Cha Musa biblia ilikiwepo na kama haikuwepo kulikuwa kitabu ganTatizo hawataki.
Mungu WA Biblia ni Yehova
Mungu WA Quran ni Allah ambaye ni Mungu wa waarabu.
Manabii wote wa kiyahudi walimuabudu Yehova lakini Quran inapotosha ati aliyeabudiiwa ni Allah.
Huoni hapo kuna hoja ya kujadiliwa
Lakini Biblia kiujumla ina mambo mengi ambayo ni kinyume na yaliyo kwenye Qur'an na mengine mengi hayapo kwenye Qur'an na kwenye Qur'an yenyewe ni hivyo hivyo kwamba ina mambo mengi ambayo ni kinyume na yaliyo kwenye biblia na mengine mengine biblia haijaeleza.Hata ivo Quran ni zao kutoka kwa Bible
Ushawahi kujiuliza kwanini Mayahudi walikiamini kile alichokuwa anakisema Mtume ila tu hawakukifata ? Jibu walijua ya kuwa yule ni mkweli na muaminifu sababu Mayahudi walikuwa na Elimu juu ya vitabu vilivyoshushwa kwao ila tu walikuwa wapindishaji wa maandiko.Imani ni kitu kibaya Sana yaani kinaondoa akili kabisa.
Muhammad ambaye hajawahi ishi Bethlehem na Jerusalem,
Am aye hajui hata tamaduni za Wayahudi,
Ambaye hajawahi kuona hata kitukuu cha mitume au manabii wa kiyahudi ndio umuite primary source wako Kwa kuelezea vitu asivyovijua Kama Mimi na Wewe hapa.
kama hakuwa Muislam kwahy alikuwa dini GaniUislamu umeanza mwaka 600's YESU amezaliwa mwaka 1 amefariki mwaka 33 ebu tumia akili anawezaje kuwa muislamu
Hili bibie mpaka mnakufa hamuwezi kuthibitisha. Huwa najiuliza Wakristo kwanini wepesi wa kuamini amini mambo msiyo kuwa na ushahidi nayo ?Hata ivo Quran ni zao kutoka kwa Bible
QURAN kapewa nabii MUHAMMADUmesoma ukaelewa hizo Aya.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Embu soma maneno yaliyokolezwa hapo.
Mungu anatambulisha jina lake Kwa Musa.
Ndio Cheo chake ni Mungu lakini jina lake anaitwa Nani?
Ndio anasema jina lake ni Yehova/Jehova/Yahwe.
Hivi unaelewa Uzi huu unahus nini?
Hatujadili kuhusu ni ipi dini ya kweli hapa.
Tunajadili vitabu viwili Yaani. biblia na Quran
Mungu ni jina la pekee, sababu anapotajwa Mungu humaanishwa yule aliye umba mbingu na Ardhi, ndiyo maana kinyume na hao husemwa ni miungu wa uongo. Muwe mnasoma lugha na asili ya maneno na jinsi ya kuyatumia.
Alikutana wapi na Majini hadi akaongea nayo ?Surat Al Jini, imeandikwa na maswahaba kwa muongozo wa Mtume, Rejea kitabu Al Itiqaad fi Ulumil Al Qur'aan Cha Imam Suyuti na kadhalika Rejea kwenye kitabu Cha Tafsir ya Ibn Kathiri.
Wakristo huwa nawaona wajinga pale ambapo hamuujui Uislamu lakini mnauzungumzia kwa kujidai mnaujua.
QURAN kapewa nabii MUHAMMAD
BIBLIA KAPEWA NAN?
Nimecheka sana, Uislaamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allah kwa kumtii na kumpwekesha yeye peke yake pasi na kumshirikisha na yoyote na chochote.Unaona ulivyochanganyikiwa.
Ili uwe muislam itakupasa ushike nguzo kuu tano za uislam.
Hata embu niambie Musa, Yusufu, Yakobo, Daudi na Yesu walishika nguzo hizo?
Je walihiji?
Je walitoa shahada kuwa Mungu ni Allah pekee? Wakati wao Mungu wao ni Yehova?
Je walitoa shahada Muhammad ni Mtume WA Mungu maana lazima Muislam atoe shahada hizo mbili?
Je walifunga Ramadhani, ilhali Ramadan imeanza kuazimishwa baada ya Muhammad, na hii ni kuadhimisha kuteremshwa Kwa Quran katika mwezi wa Tisa wa kiarabu?
Je waliwahi hata siku moja kwenda kuhiji?
Je walitoa Zaka?
Maana tunaona mtu wa Kwanza kutoa Fungu la kumi ni Yakobo, Kwa hiyari Yao na wala sio amri ya Mungu.
Ilikuwa agano lake na Mungu wake/Yehova.
Watu wa pili ni waisrael wakiamrishwa Musa hiyo zaka ni kwaajili ya kabila la Lawi watakaotumika madhabahuni!
Pengine haujui hata sababu ya watu kutoa Zaka kihistoria.
Alafu unasema Ati mitume wote walikuwa Waislam, 😀😀
Yaani hujui hata unachokiongea.
YESU alizaliwa kwenye familia iliyokua inaabudu dini ya kiyahudikama hakuwa Muislam kwahy alikuwa dini Gani
QURAN kapewa nabii MUHAMMAD
BIBLIA KAPEWA NAN?
SI USEME TU UNAOGOPA NN KUWA MWANADAMU NDIO KAKUSANYA ?Soma hoja katika Uzi utaelewa kuwa Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vingi walivyoandika mitume na manabii Kwa nyakati zao.
Lakini Muhammad badala aeleze mambo ya wakati wake ana-copy visa vya wenzake na kuvifanya kanakwamba yeye kashushiwa kanakwamba havikuwepo.
L
Ibrahimu hakuwah kufika huko makka alizaliwa Urdu ya caldayo (Iraq) na akaamia kaanani ambayo Leo ndo nchi ya Israel na PalestinaNimecheka sana, Uislaamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allah kwa kumtii na kumpwekesha yeye peke yake pasi na kumshirikisha na yoyote na chochote.
Hika ilikuwepo na Ibrahim alihiji na ndiyo mjenzi wa Ile nule Msikiti wa Makka.
Tofauti iliyo kuwepo baina ya mitume Hawa ni Sheria ila Imani Yao ni Moja.
Uislamu umegawanyika sehemu juu mbili, Uislamu wa ujumla huu ni Ile Imani na Uislamu khasa ambao aliokuja nao Mtume kwa maana ya Sheria tofauti.
Hata Musa alikuwa ana Hiji na anafunga na alikuwa ana Sali kwa mujibu wa Sheria yake aliyo pewa na Allah.
Kuhusu suala la Shahada, Shahada yetu ya Leo haiwezi kuwa sawa na ya walio pita sababu kila umma ulipewa utaratibu wake na Sheria zake.
Kadhalika zaka walitoa.
Biblia imeandikwa na wanadamu kwani nani anayebishaSI USEME TU UNAOGOPA NN KUWA MWANADAMU NDIO KAKUSANYA ?
Nakuambia hao wanajitoaga ufahamu.Kweli shule muhimu.
Kama hukupelekwa shule haya ndio matokeo yake.
Kwa hiyo Kwa akili yako, mungu Yahwe na Allah au Buddha ni mmoja[emoji23][emoji23]
Neno Mungu ni Cheo haimaanishi Mungu yupi,
Kamuulize mwalimu wako WA dini maana naona hapa unawadhalilisha wenzako.
Au fuatilia waarabu kabla ya Muhammad walikuwa wanaabudu miungu ipo uone Kama Allah Hakuwa miongoni mwa hiyo miungu.
Kumbuka Mungu ni umoja alafu Miungu ni wingi.
Ni Sawa useme mtu ni jina la pekee wakati ni Cheo.
Mungu aliumba mtu alafu akamuita jina lake Adamu. Huelewi hata mantiki ya hoja.
Sasa swali lazima liulizwe ni Mungu yupi aliyemuumba Adamu?
Yaani jina la huyo Mungu
QURAN kapewa nabii MUHAMMAD
BIBLIA KAPEWA NAN?