hija532
Member
- Sep 3, 2022
- 56
- 8
Kwa akili Yako uwezo wa kufikiri umefikia hapoQur an ni daftari ambalo marehemu Muhammad alijifunzia kuandika.
Leteni ushahidi wa maandishi juu ya myasemayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili Yako uwezo wa kufikiri umefikia hapoQur an ni daftari ambalo marehemu Muhammad alijifunzia kuandika.
Sijui unamiaka mingapi ila upeo wako ni mdogo sana ALLAH ni lugha ya kiarabu ELOI ni Sasa ya kiyunani Mungu ni lugha ya kiswahili God ni kizungu
Kwenye biblia hakuna mtu anayeitwa nabii Muhammadkama haujui Kuanzia Adam mpaka nabii Muhammad wote walikuwa kitu kimoja
Ishu sio miaka ishu ni Akili yako ipo chini.
Mungu Kiswahili
God kingereza
Eloi kiyunani
Sasa tunataka majina personal ya mungu wa waarabu au ndio huyo Allah?
Maana Mungu wa Ibrahim ni Yehova/Jehova/Yahwe.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
YEHOVA lugha Gani sasaIshu sio miaka ishu ni Akili yako ipo chini.
Mungu Kiswahili
God kingereza
Eloi kiyunani
Sasa tunataka majina personal ya mungu wa waarabu au ndio huyo Allah?
Maana Mungu wa Ibrahim ni Yehova/Jehova/Yahwe.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
Tatizo la hawa watu wamekariri vitu vingi sana ndo maana hata ku-reasoning ni tatizoIshu sio miaka ishu ni Akili yako ipo chini.
Mungu Kiswahili
God kingereza
Eloi kiyunani
Sasa tunataka majina personal ya mungu wa waarabu au ndio huyo Allah?
Maana Mungu wa Ibrahim ni Yehova/Jehova/Yahwe.
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
KihebraniaYEHOVA lugha Gani sasa
Mfuasi wa pedophile umesha activate panic mode 😂😂I think you are psychotic related to marijuana! Haujui chochote na hauniambii chochote umbw we
Sijui unamiaka mingapi ila upeo wako ni mdogo sana ALLAH ni lugha ya kiarabu ELOI ni lugha ya kiyunani Mungu ni lugha ya kiswahili God ni kizungu
Kwenye biblia hakuna mtu anayeitwa nabii Muhammad
Kwahy Mungu ni WA kiebrania au asili yake ni ibrania ? kama SAWA ni mungu wa waebrania sio Mungu wa watu wote maana umesema Allah ni Mungu wa waarabu Kwa kuwa jina ni la lugha ya kiarabuKihebrania
Hujajibu nilichokiuliza. Hizi unaletwa stori tena zinahitaji kuthibitishwa.Kuhusu Danieli ,nabii zake zimetimia kwa kustajaabisha
Hata Isack Newton alichunguza kitabu Cha Daniel ,na alikichambua kuliko hata Calculas
Kupitia kitabu Cha Daniel hata Alexander mkuu alipokisoma akasema hakika huu Unabii unanihusu Mimi
Kitabu Cha Daniel pekee huwez kufananisha hata robo na Quran nzima
Acha kabisa mzee ,
Ndio kitabu kinaonesha Historia nzima ya Ulimwengu Hadi MWISHO
Ndio kitabu kilitabiri Hadi Hizi G7, UMOJA WA MATAIFA, 666,
Ndio kitabu kilitabiri kwa usahihi Hadi mwaka Aliokufa na kusulubiwa Yesu
(Ukitaka ushahidi wa kutosha na kihistoria nakupa)
Ndio kitabu kina kitu kinaitwa DANIEL FEAST , ambayo Daniel alifunga Siku 10 akila Vegetables na maji ,Nyuso zikawa nzuri kuliko waliokula Haram Kule babeli
(Ingia Google andika DANIEL FEAST utapewa ratiba ilivyo halafu jaribu)
Mzee baba,Biblia Ni tamu Sana, hapo nakueleza Kuhusu Daniel book tu kidogo, sijagusia vitabu Kama Isaya ,Yeremia , Ezekiel Kuna madini hatari Sana humo
Unajua GOGU NA MAGOGU?
Unafahamu Unabii wa Ninawi ambao aliuzungumzia Nabii Nahumu ,ambao umedumu mpaka leo?
Acha kabisa , Nimeisoma Quran Sana maana nilikuwa muislamu mzuri tu, Uislamu una loophole kubwa Sana, Kabla ya Muhammad hakuna ushahidi wa ki archeolojia au kimaandishi kuliwahi kuwepo dini inaitwa uislamu au jengo linaitwa msikiti , Siku nilipouacha uislamu niliuacha mbele ya masheikh niliwauliza hili swali ,wakaleta bla blaa eti uislamu Ni unyenyekevu ,hivo manabii walikuwa wanyenyekevu hivo uislamu ulikuwepo toka adamu[emoji1787][emoji1787]
Niliishia kucheka tuView attachment 2404567View attachment 2404570View attachment 2404568View attachment 2404569
Nani alikwambia Mungu ni Cheo ? Unajua maana ya jina na maana ya Mungu na maana ya Cheo ?Kwa hiyo Kwa akili yako Mungu WA wagiriki anaitwa Eloi?
😂😂😂
Mungu ni jina la Cheo sio personal name.
Ni Kama useme Rais na president hiyo inarejelea maana moja ya Cheo cha juu ya kiutawala.
Lakini ukisema Rais Samia Suluhu alafu ukasema Rais Uhuru Kenyatta unazungumzia watu wawili wenye vyeo vya Urais.
Ndio maana nikakusihi umuulize mwalimu wako wa dini akuambie neno Allah ndio inamaanisha Cheo au personal name ya mungu wa waaraby
Kijana kwanini inakuwa muongo kiasi hicho ? Umejibiwa swali vizuri sana.Nakuuliza swali lingine unajibu vitu vingine.
Unastaajabisha sana.
Wazungu wanahusiana nini na Yesu Kristo?
Kwani Muhammadi hakuwahi kupopolewa mawe na Waarabu wenzake kule Madina hadi akang'oka meno ?
Vita vya Albadri Muhammadi alipigana na akina nani ?
Waarabu Wakristo wanamkubali Muhammadi kuwa ni Nabii wa kweli ?
Na kwanini ?
Kwahiyo Muhammadi ni Nabii wa Uwongo kwakuwa alipingwa kwa kupigwa mawe na Waarabu wenzake sio.
Uwezo wako wa kujadiri hoja ni wa kiwango cha chini sana.
Mfia dini umepanik pole sana..kurwani ni mawazo ya muhamad ya kuunga unga ili kujitengenezea dini yake.
Ndio mana leo hii hakuna mkristo ambaye anaifahamu kurwani wala kuiihitaji kuisoma..ila hakuna mwislamu ambaye hajasoma biblia ili kupata rejea ya visa na matukio ya kuunga unga yaliyosimuliwa na mudi.
#MaendeleoHayanaChama
Kweli wakristo hawaifahamu Qur'an na hawataki kuisoma na hiyo siku zote huwa inaleta changamoto kwenye mitazamo yao kuhusu Qur'an pamoja na kwenye majadiliano yenye kuhusishwa hivi vitabu viwili vya Biblia na Qur'an.Mfia dini umepanik pole sana..kurwani ni mawazo ya muhamad ya kuunga unga ili kujitengenezea dini yake.
Ndio mana leo hii hakuna mkristo ambaye anaifahamu kurwani wala kuiihitaji kuisoma..ila hakuna mwislamu ambaye hajasoma biblia ili kupata rejea ya visa na matukio ya kuunga unga yaliyosimuliwa na mudi.
#MaendeleoHayanaChama
Kihebrania
YEHOVA lugha Gani sasa
MSILETE NGONJERA HAPA LETENI MAANDIKO KUWA DINI YA KWELI NI UKRISTO BAC KAMA HAUNA SUBIRI UELEWESHWE
Hakuna Mtume wala nabii ambaye hakiwa Muislamu, wote walikuwa Waislamu.Eti toka Adam,
Achen kudanganya watu
Yaani tuna ujinga mwingi sana. Yaani kupoteza muda kubishania kipi ni cha kweli na kipi ni uongo ili hali hakuna aliyekuwepo kipindi hicho. Wenzao Qatar na UAE wako busy kuendeleza nchi zao sisi hata hela ya kula ni shida tunabishania dini. Hili nalo ni janga kama majanga menginekitu ambacho waafrika tutatumia karne nyingi kuchomoka ni kwenye ili janga la dini, tumekuwa brain washed mazima. waliozileta wenyew wanakula maisha kinoma,
wazungu, waarabu yan wanaishi kama wapo pepon. mwafrika akishika dini bas itamlazimu aishi kienyeji enyeji
Uislamu uliokuja baada ya miaka 500 YESU kupaaHakuna Mtume wala nabii ambaye hakiwa Muislamu, wote walikuwa Waislamu.
Leo hii Yesu akija atawashangaa sana na Ukristo wenu hakuacha Ukristo Yesu.
Yohana mwanafunzi wa Yesu alikuwa ni mdogo wake Yesu Kristo.Kijana kwanini inakuwa muongo kiasi hicho ? Umejibiwa swali vizuri sana.
Nyinyi habari za Yesu mmezipata Toka kwa ndugu zake Yesu ? Au mmeandikiwa na watu ambao hata kumuona hawajawahi kumuona na wala si nabii ? Ila mnawaamini. Mnatumia nini kufikiri ?
Leo hii si mnasoma Biblia na hamjui lugha ya Yesu wala Matini ya Injili ya Yesu hamna, lakini mnaamini. Hivi mnaakili nyinyi ?
Swali la msingi na ungeonekana una akili kidogo ungejadili ukweli wa kile alichokisema Mtume wa Allah. Kisha ukipinge kwa hoja.