Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kitu kuwa sawa baina ya Quran na Biblia ni kawaida kumbuka Quran imekuja ku update hivyo vitabu baada ya kuwa corrupted.

Hivyo si jambo la ajabu kitu ambacho kipo corrupted kuwa na mambo mengine sahihi na mengine sio sahihi.

Nitakupa mfano kwenye Quran Aya zote zinazomhusu Yusuf zinamtambulisha kiongozi wa Egpty kama Mfalme, na Aya zote zinazomhusu Musa zinamtambulisha kiongozi wa Egpty kama pharaoh. Ila kwenye Bible kipindi cha Yusuf ama Musa kote anaitwa pharaoh.

Gunduzi za karibuni baada ya watu ku decipher ancient Egpty language zinaonesha Pharaoh ni cheo cha kidini, kipindi cha Yusuf mfalme alitoka Syria na alikuwa na miungu yake tofauti na Ya Egpty na aliikataa miungu ya Egpty hivyo hakuwa Pharaoh.

So kihistoria Quran ipo sahihi mfalme wa Egpty kipindi cha Yusuf hakuwa Pharaoh, pharaoh alikuwa kipindi cha Musa, hivyo unaona hapa Quran ime correct kosa la Bible.

Si hii tu kuna Story nyingi sana za Nyuma ambazo tech ya sasa ime prove Quran ipo sahihi na Bible haijaelezea, ukipata Muda pia pitia Story ya Ibrahim na miungu ya watu wake kama Moon, sun na Venus, Quran ipo specific kabisa waliabudi Venus, kitu ambacho Tafiti za sasa zinakubali.
 
 
Haya anasema nani!?..wewe uliyeshiba mihogo na kachumbari!!?
 
Biblia ipi unaizungumzia? Kuna ya wakatoliki, waorthodox, waprotestant n.k.

Humo pia kuna matoleo tofauti kuna King James Version, New King James Version, New International Version.
Kila siku wanafanya 'updated'.

Pia kuna New Revised Standard Version cha 2021. Kwa mtu mwenye akili ndogo atasema zipo sawa, ila kuna baadhi aya zimefutwa na nyingine zimebadilishwa kabisa.
 
QURAN 10: 37-44

37. "Na haiwezekani Qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hii inathibitisha (vitabu) vilivyotangulia; na ni mfafanuo wa Kitabu kisicho na shaka ndani yake, kutoka kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote.

38. Je! Ndiyo wanasema ameizua? Sema: Hebu leteni na nyie japo sura moja mfano wake na muwaite (kukusaidieni) muwawezao, asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnasema kweli(kwamba Muhammad kaizua hii Quran).

39. Bali wameyakanusha wasio yaelewa elimu yake kabla hayajawajia maelezo yake. Kadhalika walio kabla yao walikanusha vile vile. Basi angalia jinsi ulivyo kuwa mwisho wa madhaalimu hao.

40. Na miongoni mwao wapo wanao iamini, na miongoni mwao wapo wasio iamini. Na Mola wako Mlezi anawajua vyema mafisadi.

41. Na wakikukanusha wewe, sema: Mimi nina matendo yangu, na nyinyi mna matendo yenu. Nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo.

42. Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza. Je, wewe unaweza kuwafanya viziwi wasikie ijapo kuwa hawafahamu?

43. Na wapo miongoni mwao wanao kutazama. Je, wewe utawaongoa vipofu ingawa hawaoni?

44. Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini watu wenyewe wanajidhulumu nafsi zao.”
 
Mhhh

Ila kama ungefahamu kuwa Quran haikuja kuipinga torati wala Injili ila kuzikamilisha nadhani 98% ya andiko hili lisingekuwepo yangebaki maneno
“ Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam”
 
😂😂😂Defensive mechanism cha kwanza we hujui chochote upo tu..ukienda kweny forex utakuta kitabu kinaitwa candle bible...turejee kweny maana ya biblia na je biblia ilishushwa au aliandika na Paulo na watu wa Italy.


Bible ni mkusanyiko means vitabu vilikusanywa na sio sehemu ya kitabu cha mungu ila walikusanya vitabu kwa kubadilisha kwa maana iyo hata mimi naweza kukusanya vitabu vya chemistry ,physics na biology kikawa kitabu kimoja nikaita "science bible

Hatubishani wala hatueleti maongezi mengi maana Aya za qur an huzitaki basi tutumie common sense na upeo wa akili.

Mimi nakuambia bible sio kitabu cha mungu kwa asilimia 100 kabisa ..

Ntakuonyesha series ya vitabu kama vitabu kama torat ,zabur ,injili na qur an .hivyo ni vitabu vya mwenyewe mungu.

Ndo maana qur an imekuja kusadifu yaliyopita ..je izo habari za huko nyuma walijuaje kupitia bible kama mtoa mada anavyosema kwamba walikuwepo wakati yanatendeka 😂😂😂hao mitume zama zao zilipita kwa kipind fulani ambacho ni ngumu kwa mtu kuona mitume yote katika zama zote tangu Adam.


Vitabu vimeshushwa kuleta muendeleo ndo maana Kuna mitume mingi walishushwa kutokana na zama ...

Ntakupa baadhi ya hints biblia imeandikwa kupotosha sio kitabu cha mungu ..ndani ya biblia hakuna neno ukristo ni dini, hakuna sehemu kwamba yesu ni mungu ,Kuna sehemu mungu kaitwa mpumbavu
 
Mleta mada ndugu Robert angekutana na maandiko haya kabla 98% ya maandiko yake hapa yasingekuwa na maana.
 
Swadaqta!!
 
Dohh[emoji16][emoji16] msiba huu Qurani tukufu ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake ..kabla sijaenda mbali nitafutie mstari ndani ya biblia version zote zinazosema kuwa ukristo ni dini?
 

Biblia haijaandikwa na mtu mmoja ama jamii moja.. ni collection of books kutoka kwa watu tofauti tofauti.

Biblia imeunganishwa vitabu vya waandishi wengi kwa zaidi ya miaka 1600
 
Wapi kasema yesu kaandika kitabu kwa makini wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…