Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #841
Wewe ndio unabisha kuwa Arabuni haijapokea ufunuo thibitisha hoja Yako bac usikane bila sababu toa sababu tuione
Heeeh huo ni utabiri Kwa mamb yajayo Kwa kipindi kile Cha nabii Isaya usidanganye watu kakaHivi wewe Uelewa wako katika kuandika upo chini eeh!
Nabii Isaya hapo anapokea Ufunuo juu ya Arabuni, na sio kuwa kutakuwa na ufunuo utakaoshushwa arabuni.
Kwa mfano;
Isaya 13:1
Ufunuo juu ya Babeli; maono aliyoyaona Isaya, mwana wa Amozi.
Isaya 13:2
Haya! Juu ya mlima usio na miti inueni bendera, wapazieni sauti zenu, wapungieni mkono, kwamba waingie katika malango ya wakuu.
Huo ni ufunuo aliopewa Nabii Isaya kuhusu Babeli ambayo ni Iraq ya leo.
Ulisikia kuna Nabii kutoka jamii ya Wamedi/wairaq?
Embu jiongeze.
3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.
Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!😀😀
Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.
HALAF MNASEMA UISLAMU KAJA NA NABII MUHAMMAD KAAAAH
4 Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa.
Mambo ya Walawi 16:4
Huyo ni Kuhani wa Kiyahudi hayo ndio mavazi Yao.
Dini ya kiyahudi ndio ipo hivyo.
Na ndio tunasema Quran imeiba na kufanya plagiarism katika Aya za kiyahudi na kuunda Quran.
Alafu anayeagiza hayo mavazi ni Mungu WA kiyahudi aitwaye Yehova, sio Allah mungu wa waarabu.
Wapi hauelewi.
Lazima uelewe hayo maelezo anayatoa Nani? Kama ungeulizwa mahakamani ungejibu anayeongea hapo ni Allah?MBN
MBN UNAHAMISHA MADA SASA JIBU SWALI LANGU LILE USINITOE KWENYE MCHEZOHuyo ni Kuhani wa Kiyahudi hayo ndio mavazi Yao.
Dini ya kiyahudi ndio ipo hivyo.
Na ndio tunasema Quran imeiba na kufanya plagiarism katika Aya za kiyahudi na kuunda Quran.
Alafu anayeagiza hayo mavazi ni Mungu WA kiyahudi aitwaye Yehova, sio Allah mungu wa waarabu.
Wapi hauelewi.
Lazima uelewe hayo maelezo anayatoa Nani? Kama ungeulizwa mahakamani ungejibu anayeongea hapo ni Allah?
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.Hivi wewe Uelewa wako katika kuandika upo chini eeh!
Nabii Isaya hapo anapokea Ufunuo juu ya Arabuni, na sio kuwa kutakuwa na ufunuo utakaoshushwa arabuni.
Kwa mfano;
Isaya 13:1
Ufunuo juu ya Babeli; maono aliyoyaona Isaya, mwana wa Amozi.
Isaya 13:2
Haya! Juu ya mlima usio na miti inueni bendera, wapazieni sauti zenu, wapungieni mkono, kwamba waingie katika malango ya wakuu.
Huo ni ufunuo aliopewa Nabii Isaya kuhusu Babeli ambayo ni Iraq ya leo.
Ulisikia kuna Nabii kutoka jamii ya Wamedi/wairaq?
Embu jiongeze.
Luka 2:7Hiyo taarifa ukiangalia ni yauongo Kwa sababu,
Haionyeshi Yesu alizaliwa Sehemu gani, hivyo unaweza sema Yesu alizaliwa hapa DAR es salaam,
Haionyeshi Kwa nini Yesu alizaliwa nje chini ya mtende?
Haya embu soma Biblia uone inavyoweza kutumika Mahakamani kwasababu inajibu in full details
1. Yesu alizaliwa wapi? Eneo
Jibu: Bethlehem ya uyahudi.
2. Alizaliwa wapi( labour yake)?
Jibu; kwenye Hori la ng'ombe
3. Alizaliwa muda gani?
Jibu; alizaliwa usiku
4. Kwa nini alizaliwa kwenye hori la ng'ombe kwani hakuna nyumba?
Jibu; Ilikuwa ni kipindi cha Sensa ya uyahudi hivyo wayahudi wengi walirudi kuhesabiwa mpaka wengine wakakosa nyumba za wageni. Mariam na Yusufu walikuwa sehemu ya waliokosa sehemu ya kukaa. Ndio maana Uchungu ulipomshika akazaliwa kwenye hori la ng'ombe.
5. Yesu alizaliwa wakati WA utawala wa Nani na Dola gani?
Jibu; Yesu alizaliwa nyakati za Dola la Tumi, n Mfalme wa eneo lile aliitwa Herode.
Hiyo ni Biblia ambayo mahakamani inaweza kusikilizwa, lakini Quran haina data hizo na sio kosa Kwa sababu mwandishi wake hakuwepo wakati huo na hapajui hata anapopasimulia.
Soma;
Luka 2:6
Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Luka 2:11
maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.
Luka 2:12
Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng’ombe.
Mathayo 2:1
Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,
Mathayo 2:2
Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.
Mathayo 2:3
Basi mfalme Herode aliposikia hayo, alifadhaika, na Yerusalemu pia pamoja naye.
Mathayo 2:4
Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?
Mathayo 2:5
Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Uyahudi; kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii,
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda,
Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda;
Kwa kuwa kwako atatoka mtawala
Atakayewachunga watu wangu Israeli.
Mathayo 2:7
Kisha Herode akawaita wale mamajusi faraghani, akapata kwao hakika ya muda tangu ilipoonekana ile nyota.
Mathayo 2:8
Akawapeleka Bethlehemu, akasema, Shikeni njia, mkaulize sana mambo ya mtoto; na mkiisha kumwona, nileteeni habari, ili mimi nami niende nimsujudie.
Heeeh huo ni utabiri Kwa mamb yajayo Kwa kipindi kile Cha nabii Isaya usidanganye watu kaka
Kwanza inatakiwa ujue vitabu vyote vilivo shuka ni Qur'an pekee ndio kitabu kisicho na shaka yeyote na huwez badili neno at a moja ili kupata maana yako na huwez kuhusisha neno moja na kipande kingine iliilete maana ni WAP biblia imejithibitishaa?Quran imeelezea vitabu ambavyo tayari vilikuwepo.
Jipya la Quran ni lipi?
Au hujui kila kitabu kinalengo lake kuu?
Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
Wewe unajua kiswahili kweli Kuna sehemu hapo imeandikwa amezaliwa katika hori ya kulia ng'ombe?
Au kuvikwa nguo na kulazwa ndio kuzaliwa?
Andiko lako linasema mtoto amelazwa katika hori sio kuzaliwa tena amelazwa hapo baada ya Mariam kukosa nafasi nyumba ya wageni Ina maana angepata nafasi nyumba ya wageni hapo katika hori asingefika hapo ni sehemu ya kupumzika ( warding)
Toa andiko linalosema Lebor ya Yesu ilikuwa wapi?
Muhama kaiba maandiko mpaka ya wapagani , kaiba mpaka fairy tale story za wayahudi, kama zile Suleiman anapaa na zulia mara kaongea na siafuKwanza inatakiwa ujue vitabu vyote vilivo shuka ni Qur'an pekee ndio kitabu kisicho na shaka yeyote na huwez badili neno at a moja ili kupata maana yako na huwez kuhusisha neno moja na kipande kingine iliilete maana ni WAP biblia imejithibitishaa?
HUJAJIBU HOJA NAONA TU KULALAMIKA SIJAONA HOJANinyi Waislam hamna mnachojua mambo ya unabii Kwa sababu hamjui historia ya Dunia.
Huo unabii wa Nabii Isaya ulitimia hata kabla ya Yesu kuzaliwa,
Yesu kazaliwa kwenye utawala wa Roma, unabii wa Isaya kuhusu Babeli umetumia nyakati za utawala wa Mfalme Nebukadreza mkaldayo mpaka Dario Mmedi/Muiraq.
Biblia imeandikwa Kwa mlolongo Kwa kufuata nyakati na tawala za dunia.
Quran haujui hata historia ya Dunia imekaaje.
Sio ajabu hata wasomaji wake hawajui historia ya Dunia.
Mtu akisoma Biblia hata kama hajaenda shule anaijua dunia ilipotoka. Kwa sehemu
WAISLAMU NA MANABII WALIOPITA HATUNA SHIDA KABISA NYIE SASAMuhama kaiba maandiko mpaka ya wapagani , kaiba mpaka fairy tale story za wayahudi, kama zile Suleiman anapaa na zulia mara kaongea na siafu
Kwanza inatakiwa ujue vitabu vyote vilivo shuka ni Qur'an pekee ndio kitabu kisicho na shaka yeyote na huwez badili neno at a moja ili kupata maana yako na huwez kuhusisha neno moja na kipande kingine iliilete maana ni WAP biblia imejithibitishaa?
HUJAJIBU HOJA NAONA TU KULALAMIKA SIJAONA HOJA
HALAF MNASEMA UISLAMU KAJA NA NABII MUHAMMAD KAAAAH
4 Ataivaa ile kanzu takatifu ya kitani, atakuwa na zile suruali za kitani mwilini mwake, atafungwa ule mshipi wa kitani, naye atavaa ile kofia ya kitani; hayo ndiyo mavazi matakatifu, naye ataoga mwili wake majini, na kuyavaa.
Mambo ya Walawi 16:4
Kuna tofaut Surat maryam aya ya 22 ad 35 yesu au isaa kazaliwa chini ya mtendeeUnajua Yesu alizaliwa muda gani?
Huo muda aliozaliwa Yesu ungemruhusu azaliwe kwenye mtende?
Biblia na manandiko yapo wazi, hori la ng'ombe ni zizi la ng'ombe na ndipo Mariam alipomzalia huyo Mtoto Yesu.
Haya niambie Quran imesema Yesu alizaliwa Mkoa gani? Au kazaliwa Dar es salaam?
Nasubiri andiko la Fundisho jipya la Muhammadi.
Hadi kesho kama sijajibiwa nitaleta ushahidi kwanini Muhammadi alikuja bila fundisho jipya la maana.
Kuna tofaut Surat maryam aya ya 22 ad 35 yesu au isaa kazaliwa chini ya mtendee
Kuna tofaut Surat maryam aya ya 22 ad 35 yesu au isaa kazaliwa chini ya mtendee
Thibitisha kwa ayaa tuone ni wapiMuhama kaiba maandiko mpaka ya wapagani , kaiba mpaka fairy tale story za wayahudi, kama zile Suleiman anapaa na zulia mara kaongea na siafu