Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Jibu liko wazi

Jibu swali sasa Kwa mujibu wa Quran unipe nukuu.
Mfano tunasema Nyerere alikuwa Rais wa Tanganyika kisha baadaye Tanzania kisha akamuachia Mwinyi, alafu akaishi maisha yake mpaka kifo kilipompata akiwa na miaka 77 huko uingereza, akaja kuzikwa kwao butiama.
Sasa nakuuliza hao niliokutajia hapo juu Kwa mujibu wa Quran waliishi miaka mingapi? Na walikufa Maeneo gani?
 
Allah alishindwa kujua swala lepesi , starehe kwenye kupiga machine ni tuzaane , na hapa ndio napigilia msumari Muhammad alikuwa anatunga na kuunga unga na kuiba maandiko ya watu
 
Soma isaya 42:8 hyo ni mungu wa bibilia anavo jitambulisha
😀😀😀 Huu mjadala ushakuwa mzito kwako Mkuu. Nakushauri nenda Kwa mwalimu wako WA dini
Isaya 42:8
Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu.

Msikilize Musa maana Hakuwa mjinga, anajua anaongea na Mungu lakini anamuuliza huyo Mungu jina lake,
Kutoka 3:13
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?

Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.

Kutoka 3:15
Tena Mungu akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli maneno haya, BWANA, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, amenituma kwenu; hili ndilo jina langu hata milele, nalo ni kumbukumbu langu hata vizazi vyote.

Mungu anaendelea huku Sura ya 6 ya kutoka
Kutoka 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;

Kutoka 6:3
nami nilimtokea Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.
 
Allah alishindwa kujua swala lepesi , starehe kwenye kupiga machine ni tuzaane , na hapa ndio napigilia msumari Muhammad alikuwa anatunga na kuunga unga na kuiba maandiko ya watu
Mimi nataka kuuliza hicho kipengele cha kupewa wanawake 72 kule katika Pepo ya Waislamu.

Je kutakuwa na kuzaliana watoto na hao Bikra 72.
Au itakuwa ni swala la kustarehe nao tu hao Bikra 72 ?
 
Na nataka nipeleke ushahidi mahakamani.
Kwamba

Ikiwa Muhammadi mwenyewe alitamka kwa kinywa chake na kuthibishwa na wahadhiri wa dini ya kiislamu hadi kuandika hilo tukio kwenye kitabu cha Maisha ya Muhammadi kuwa.

Kwamba baada ya kutokewa pangoni na kiumbe asiye mjua, na kumshambulia hadi kupelekea Muhammadi kuugua homa, na alipo ulizwa na Mkewe Hadija na Padri Waraqa kuwa hivi ni nani alikutokea kule pangoni.

Muhammadi alijibu, kwa kinywa chake kwamba "Nahisi kuwa nilizugwa na Mashetani kule pangoni"

Sasa kauli ya kuwa, ulitokewa na Malaika Jibrili, iliyo tamkwa na Waraqa, Waraka aliitoa kwa nani?

Nasubiri Jibu.
 
Mimi nataka kuuliza hicho kipengele cha kupewa wanawake 72 kule katika Pepo ya Waislamu.

Je kutakuwa na kuzaliana watoto na hao Bikra 72.
Au itakuwa ni swala la kustarehe nao tu hao Bikra 72 ?
[emoji16][emoji16]tulia watu tupo kuswali

Paradise is not a place for reproduction
Ibaki tu tuamini kuwa tutapewa mabikra 72 tuwashughulikie iyo ndo moja wapo katika starehe ambazo tumewekewa wazi na inafikirika japo kuwa mambo hayatakuwa kama uku duniani hakuna mkongo kule yani ni kula tu watoto wazuri... Kuna mtu hapendi hii kitu ?

Nyie mtaendelea kusifu na kuabudu sisi mtuache tukale mabikra kila mtu apewe anachoamini[emoji28][emoji28]
 
Safi sana nilitaka wa2 wajue hyu yehova ni nani apo umetupa somo zuri LA yehova sasa swali duniani kuna mungu wangap maana hats yehova kwenye Quran limesemwa ila ni kwa luga ya kiarabu likiwa na man a ya huu
 
Dhumuni la kupiga machine ni kuzaa , Allah alishindwa kuelewa hilo,
 
Kama Quran imetimia embu tuambie
Wahusika hawa Kwa mujibu wa Quran walizaliwa wapi? Wakaishi na kufa wakiwa na miaka mingapi?
Musa,
Yusufu
Ibrahimu
Daudi,
Suleiman
Yakobo
N.k.

Kama kweli unataka kitabu cha Quran kitumike Kama rejea kuu
Yusuf Israel miak 147
Ibrahim Iraq miaka 1000 ilio pita kwa mujib wa hadithi
Daudi miaka 200
Yakubu 180 Iraq
Suleiman 100 Iran
 
Koran imeshindwa kutoa majibu?
Tofautisha kati ya Quran ilikuja na lengo LA kujua mungu sio kumjua nani ana miaka mingap kaishi WAP hayo utayakuta kwenye vitabu vingine vya hadithi za mitume na maisha yao huwez kuta katiba ya Tanzania ukakuta na maisha ya viongozi
 
Tofautisha kati ya Quran ilikuja na lengo LA kujua mungu sio kumjua nani ana miaka mingap kaishi WAP hayo utayakuta kwenye vitabu vingine vya hadithi za mitume na maisha yao huwez kuta katiba ya Tanzania ukakuta na maisha ya viongozi
Muhammad alikuwa ana copy tu character anawapachika haweki taarifa za kutosheleza
 
Dhumuni la kupiga machine ni kuzaa , Allah alishindwa kuelewa hilo,
Kwa mujibu wa uelewa wako mdogo ila kama utatumia akili utajua kuwa ukiachana na kuzaa kupiga machine ni starehe una level gani kwanza ya elimu kijana?

Unashindwa kutumia akili ya kawaida ingekuwa dhumuni ni ilo basi kusingekua na menstrual circle kwa upande wa wanawake ingekua kipindi chochote ukipiga machine anapata mimba au wangekuwa kama wanyama yani wanapata joto kipindi flani tu alafu kipindi kingine hawawezi kutiana lakini tofauti yani kipindi cha kushika mimba ni kifupi kuliko cha kustarehe, waulize wanawake kwani hawapati utamu siku ambazo sio za hatari??
 
Tuliache , kama Allah alishindwa kuelewa embryology, na hili lilimshinda
 
Hivi unajua tokea umeandika huu Uzi hadi Sasa hilo andiko linalosema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe haujalitoa

Umeatoa andiko linalosema amevikwa nguo akalazwa katika hori la ng'ombe tena wameenda hapo katika hori baada ya kukosa nafasi nyumba ya wageni

Kwahiyo huko nyumba ya wageni Mariam alipokosa nafasi alienda na mimba?

Sasa kama upo Mahakamani unaambiwa toa ushahidi wa andiko linalosema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe badala yake wewe unatoa andiko linalosema Yesu amevikwa nguo akalazwa katika hori la ng'ombe huo ushahidi utapokelewa ?

Umekutana na kitu kizito ulikuwa hujui kuwa mnaposema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe mnadanganyana


Luka 2:7
akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Kama unalo andiko linalosema Yesu amezaliwa katika hori la ng'ombe toa

Ila ukweli ni kwamba Yesu amezaliwa chini ya Shina la mtende na ushahidi huu apa

Quran 19:23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

Quran :25.
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
 
Its true ingawa Alexanda mkuu ametajwa kwenye quran kama Dhurkanain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…