Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Embu toa ilmu ya embryology inasema Kuna mda Kuna mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi πŸ˜‚
 
Unajua attlest kwako tunapata kitu tofaut na wengine huo ni mujibu wa hadithi uku kwetu
Hapa mahakamani inayojadiliwa na Quran na Biblia sio kitabu au hadithi nje ya hivyo.

Embu kuwa kama upo mahakamani Mkuu
 
Hapa mahakamani inayojadiliwa na Quran na Biblia sio kitabu au hadithi nje ya hivyo.

Embu kuwa kama upo mahakamani Mkuu
APA kwa mahakamani ni Quran inakua kama shahid wa mwisho kesi iishe maana utofaut umekuja APA kwa isa au yesu na Muhammad awaa wa2 wawili ndio kuna kitu
 
¹⁢ Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Hapa pia Kuna Boko Moja la Hatari. Yakobo yupo hata Musa alikuwa si mwenye kutajwa, halafu unasema Yakobo akamzaa Yusufu, Yusufu alikuwa mumewe Mariamu aliye mzaa Yesu. Wakristo mkiitwa wajinga mkasirike.

Nataka Chain ambayo haijakatika popote na iwe na uhalisia.
 
Embryology ya Allah
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke.

Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama! Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!
 
Kijana hapa hakuna Chain aliyo andika kijana. Labda kama hamjui maana ya Chain, Chain lazima iungane, chain yenu imekatika. Yesu hawezi kuwa mwana wa Daudi na kadhalika Yesu hawezi kuwa mtoto Yusu ambaye ni mtoto wa Yakobo.

Mnachekesha sana Wakristo. Hili najua hamliwezi.
 
Tatizo lako ni kwamba unaona hizo starehe hazikufai wewe ila kiukweli izo starehe zina run hii dunia usizungumzie kabisa habari za mitungi yani mpaka watu wanaimba, kula ndizi tutaweka kwenye kundi la matunda japo kuwa matunda yalitajwa ni mengi mengi sijui kwanini imeku touch ndizi[emoji16], kula nyama ni bonge moja la starehe we mwenyew unaelewa ukija kwenye kutiana apo ndo kabisaa alafu ivo vitu vyote umevitaja kwenye pepo yetu haviwi kama vya duniani yani kama pombe hailewesh, mwanaume ataongezewa nguvu yani mambo yatakua on fire[emoji91]

Alafu mwisho wa siku unaambiwa izo starehe huwezi kuzifikiria kwa akili ya kawaida yani ni nje ya uwezo wetu wa kufikiri

Malaika kaumbwa tofauti na binadam kila mtu na material yake

Yani itakua ni bata mpaka Allah anawauliza niwape nini tena ? binadamu anasema inatosha yani binadamu asiyeridhika siku iyo ananyosha mikono kuwa inatosha

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kupanga ni kuchagua
 
Wew
Embryology ya Allah
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke.

Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama! Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!

Embryology ya Allah
Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke.

Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama! Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama dah!
Kwan mwenzetu sayansi gan ambayo imekuzaa ya Allah au ya nani maana umezaliwa na mwanamke ndio ukatoka au uumbaji wako uko wa kitofaut na sisi ulishuka tuu Allah ni mjuz wa mambo apo huna jibu
 
Wew

Kwan mwenzetu sayansi gan ambayo imekuzaa ya Allah au ya nani maana umezaliwa na mwanamke ndio ukatoka au uumbaji wako uko wa kitofaut na sisi ulishuka tuu Allah ni mjuz wa mambo apo huna jibu
Hii topic usimfungulie umu anajua kwakuipata tatizo hawasomi hoja kwakujifunza ni basi tu ilimradi abishane
 
Ha..ha...ha.

Inaonekana nyinyi wenzetu mtaenda Peponi kwenu na miili yenu hii hii ya mlivyo sasa.

Sisi katika Mbingu yetu hatutakuwa na miili hii.
Hii miili yetu itaoza makaburini.

Bali tutavikwa miili mipya mitakatifu ambayo haita kuwa na mahitaji ya Kibaiolojia.

Yaani haita kuwa na tabia ya wanyama ambao wanahitaji kula na kunywa na kudinyana.

Sisi maumbo yetu yatakuwa ya Kiroho hivyo tutakuwa na mahitaji ya Kiroho ambayo sio ya kula na kunywa tena.

Tutaishi kama Malaika, yaani tutakuwa Wana wa Mungu.

Ila sio mbaya tutakuwa tukiwaangalia mnavyo kula na kunywa huku tukitabasamu tu.

Cha pili. Mimi binafsi situmii hizo Asali, Maziwa na Pombe. Kwahiyo Pepo yenu siihitaji kwakweli maana kama ndo nigefika huko ningekuwa mpweke tu.

Wakati wenzangu mpo top na baada ya kuzama kwenye mto wa Kevant, na kuibuka mkiyumba yumba na kucheza mziki, mimi nitakuwa sina raha yoyote huko kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…