Embu toa ilmu ya embryology inasema Kuna mda Kuna mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi 😂[emoji28][emoji28] ungepata mtu ambaye angekuelewesha vizuri swala la embryology kwa mujibu wa quran ungetafuta weakness nyingine yani mascholar wakubwa wa upande wako wenye uadui mkubwa na quran wamelishindwa ilo wameliacha sio kama wewe tia maji tia maji ambaye huna misingi istoshe washikaji zako waislam na mnaishi poa tu huwezi kuleta hoja za msingi utajikanyaga sana na material ya google