Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Aya hizo unazipata biblia ipi ?

Sema kanisa lako usione aibu please
Waislamu wanakutegemea unawaangusha ,
Umepewa uhuru wa kutumia biblia unayotaka wewe na kanisa unalotaka wewe hutaki huo Uhuru, nimekupa biblia moja utumie umekataa , unaruka ruka kama ngedere

Umeshikika pabaya
 
Aya hizo unazipata biblia ipi ?

Sema kanisa lako usione aibu please

Hiyo ndio itaondoa hoja nilizozitoa?
Ikiwa ndivyo, ngoja nikujibu,

Biblia; KJV King James Version
Kanisa; Seventh Day Adventist church.

Haya pangua hoja za Kule juu.
 
Waislamu wanakutegemea unawaangusha ,
Umepewa uhuru wa kutumia biblia unayotaka wewe na kanisa unalotaka wewe hutaki huo Uhuru, nimekupa biblia moja utumie umekataa , unaruka ruka kama ngedere

Umeshikika pabaya
Ndilo kanisa lako hilo? Na aya ya biblia iliyokuwa plagiarized ndiyo hiyo?
 
Hiyo ndio itaondoa hoja nilizozitoa?
Ikiwa ndivyo, ngoja nikujibu,

Biblia; KJV King James Version
Kanisa; Seventh Day Adventist church.

Haya pangua hoja za Kule juu.
Kwa hivyo wewe hutumii BHN Bible?
 
Sasa nakuuliza ,wewe unatumia biblia ya QJV ?

Ndio natumia,
Hivi unajua hizo Version zinamaanisha nini?

Hata Mimi nikienda kutafsiri Biblia itakayotoka
Itaitwa Taikon Bible Version TBV
Tatizo mkiambiwa muende shule hamtaki.

Hata Quran ukiitafsiri kuja Kiswahili wanaotafsiri wanaweza kusema hiyo ni version ya Sheikhe Fulani ili kui-label na ku-appreciate kazi yake.
Hapo ndio utajua tofauti ya watu wenye akili na watu wajinga.

Nakushauri hakikisha watoto wako unawapeleka shule za uhakika wasome mpaka vyuo vikuu ili wasiwe wajinga Kama wewe babayao
 
Mimi nilitaka kujuwa unatumia au hutumii? Kwa hivyo kama unatumia QJV ina maana unaamini ni maneno ya Mungu au vipi?
 
Mimi nilitaka kujuwa unatumia au hutumii? Kwa hivyo kama unatumia QJV ina maana unaamini ni maneno ya Mungu au vipi?

Wazazi wako walivyokupeleka shule wewe ulikuwa unarukia madirishani, sasa laana zao ndio hizi unakuja kujidhalilisha humu.

Somo la Kiswahili Kidato cha tatu au cha nne kuna Mada inaitwa "Utafsiri na ukalimani"
Kasome hiyo topic au mtafute mwanafunzi WA madarasa huyo akuelezee.
Maana unawatia aibu wenzako
 
Nimekusikia sasa jibu swali

Wewe umesema unaitumia QJV , jee unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu ?
 
Nimekusikia sasa jibu swali

Wewe umesema unaitumia QJV , jee unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu ?
Ungejibu hoja ya muuliza swali , wewe tumia biblia uliyonayo sema uliyonayo ni ipi na Haina alichosema mtoa mada unaweka na rejea unamaliza kazi
 
Nimekusikia sasa jibu swali

Wewe umesema unaitumia QJV , jee unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu ?

Nakupa mfano, kama wewe na shule ni paka na panya.

mfano Kitabu kina title isemayo "money is a source of evil"
Alafu Juma akatafsiri hiyo title " pesa ni chanzo cha maovu"
Rashid akatafsiri hiyo title " Hela ni chanzo cha ushetani"

Peter akatafsiri hiyo title " hela ni kitovu cha ushenzi"

Alafu Amina akatafsiri hiyo title " Pesa ni mzizi wa mabaya"

Haya Kwa Uelewa wako utaamini title ya Juma na hautaamini Title ya Amina?

Hivyo ndivyo swali lako jinsi lilivyo.

Mwisho, Rudi shule Kwanza ukapate walau elimu ya Msingi ili watoto wako angalau wajivunie kuwa na Baba mwema, lakini kama utaendelea hivi nakuhakikishia hata mkeo atakudharau
 
Jibu swali langu,

Wewe umesema unaitumia QJV , jee unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu ?
 
Ungejibu hoja ya muuliza swali , wewe tumia biblia uliyonayo sema uliyonayo ni ipi na Haina alichosema mtoa mada unaweka na rejea unamaliza kazi
Nimekusikia sasa jibu swali

Wewe umesema unaitumia QJV , jee
Unaiamini kuwa ni maneno ya Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…